Hunishindi nimelia kama vile nlishawahi kumuona,,huyu Dk Mvungi alikua na somethng special kwenye hii katba yetu,ole wae auae kwa upanga naye. Atakufa kwa upanga!pumzika kwa aman Dk Mvungi!
Mungu ailaze roho yake mahali pema.watz tumwezi kwa kuhakikisha yale yote mema aliyoyatetea kwenye katiba yanakuwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kumwenzi ndugu yetu huyu ambaye alikuwa na nia nzuri ya kujenga taifa lililo kwenye misingi bora