Napingana na wewe juu ya hili, Mimi kwa mawazo na imani yangu binafsi naamini yaliyomkuta Dr. Mvungi sio Lack of security , it was politic mater
NALAANI KITONDO HICHO & R.I.P Dr. Mvungi
Mkuu, samahani, hapo ccm imeingiaje?dah?!
ccm ni zaidi ya shetani!