TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Ni moja ya pigo kubwa sana kwa Taifa letu. Hakika nchi imepoteza jembe, mpiganaji, mwanaharakati wa kweli na mpiganaji kweli kweli. Mungu awape wepesi, ndugu, jamaa, marafiki, wanachama na wapenzi wa NCCR-Mageuzi na watanzania kwa ujumla, na hasa wale wapenda mabadiliko.
 
Inasikitisha sana, hii nchi usalama hakuna tena.
 
Tanzania tunaelekea wapi jamanii.....
R.I.P Dr Mvungi
 
kuna mtu namweleza habari hata hampati mvungi so kama kuna mtu anapicha yake aiweke jamani ili nimweleweshe rafiki yangu amjue japo ameshatutoka
 
Mwili ni moja kati ya Magamba ya ROHO.
Muda unapowadia ni lazima tuuvue ili kuendelea na safari yetu ambayo mahitaji yake tunakua tumeyaandaa wakati tumeuvaa..
APATE AMANI KATIKA MAPUMZIKO YAKE KADIRI YA MATENDO YAKE na AJAALIWE NAFASI NJEMA ZAIDI ATAKAPOZALIWA TENA.
AMEN
 
Napingana na wewe juu ya hili, Mimi kwa mawazo na imani yangu binafsi naamini yaliyomkuta Dr. Mvungi sio Lack of security , it was politic mater
NALAANI KITONDO HICHO & R.I.P Dr. Mvungi

Labda mimi nipingane na wewe kwa sababu nilishawahi kuwa muhanga wa yaliyomkuta mvungi ! Sema kwa kuwa wahanga wanakua ni watu wa kawaida polisi wanapiga kimya ,!! Nikiwa nyumbani kwangu kibamba nilivamimwa na majambazi wakatukata mapanga nyumba nzima, isingekuwa wazo la kuweka mikono kichwani basi ,probably nisingekuwa hapa kuandika posti hii hata hivyo nimepoteza vidole viwili mhimu mkono wa kulia .
Lakini kuna mazingira yanapromote sana aina hii ya ujambazi ,ikiwemo kujenga mbali na majirani au kujenga karibu na watu wanaomiliki maeneo makubwa bila kuyaendeleza,
 
ooo my God, so sad may his soul rest in eternal peace.
 
he was geneus, smarter, talented, etc RIP DR MVUNGI.
 
==> Uuuuhh...!!! mamaaa.....eeeehhh....mmmhh....!!!!
 
Back
Top Bottom