TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Auwaye kwa upanga................
Inatia uchungu sana kuwauwa watetezi wa taifa kwa sababu ya maslahi ya haohao wanaokufa kesho badala ya kutizama mbele zaidi kwamba hata vizazi na vizazi vingeufaidi mchango wa marehemu. Ee mungu tunakuomba umpokee mja wako na utupe mbadala katila harakati hizi.
 

Ni wakati mgumu kwa familia.Tunawapa pole.Kwa nchi, kifo hiki kilete kitu chanya miaka mingi ijayo--the law of unintended consequences--kama wanadhani walikuwa wanamnyamazisha!
 
R I P DK Mungu akupumzishe kwa amani *siri kali* ichukue jukumu lake na si kujihangaisha hangaisha kama ilivyofanya kwa ulimboka na kibanda.
 
R.I.P Dr. Mvungi. Tumetokwa na mpiganaji wa kweli..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka

Najaribu kukutathimini ulivyo,namuona mtu mwenye jinsia ya kiume aliyepaka lipstick,aliyevaa sketi na sidiria wakati hana 'manyonyo'.Namuona mwanaume anayefurahi na kujivunia sana anapofananishwa na Wema Sepetu!
 
This is shocking news to me and the Nation. We needed Dr Mvungi at this time than any other time before!! Through him and his colleagues in the Warioba Commission, we expected and we still expect, to get a New costitution that will put us together as a nation and through it and our hard work, have a prosperous nation.

RIP our fallen heroe.

Thanks Ezekiel Maige.

Dunia yetu ni mapito tu, na ipo siku tutaondoka kwa namna moja au nyingine.

Mungu awatie nguvu wafiwa na kuwafariji.
 
Last edited by a moderator:
jamani tunaomba watu mtuteremshie lolote mnalolijua kuhusu Dr. Wetu huyu kuanzia kuzaliwa kwake hadi kufa kwake.

Alikuwa anatofautiana vikali kiitikadi na CCM, mpaka watu wanaenda kumuua alikuwa anamchango mkubwa kuisuka rasimu ya katiba ambayo CCM wanaipinga, alikuwa anauhusiano mzuri na Tundu lisu hivyo huenda walikuwa wakipeana utaalam wa kulikomboa Taifa kupitia katiba mpya, kiusalama sijui alikuwa anajilinda vipi ila nina hisi usalama wa Taifa wanafaham madhaifu yaliyokuwepo
 
Mungu mwenye heri na huruma tele ahirehemu roho ya Dr. Mvungi na ampumzishe mahala pepa katika ufalme wake. Amen
 
Ni huzuni kwa Taifa kwani masahibu yaliyopelekea umauti yanatokana na kazi ya kuhuisha roho ya Taifa (Katiba ya Nchi). Mungu ailaze roho yake mahala pema.
Amekufa kutokana na kazi ya kuhuisha roho ya taifa? Ina maana hao waliomvamia wamefanya hivyo kwa sababu ya ujumbe wake wa katiba? Kwani Mvungi ni nani hadi awe na sababu ya kuuawa na asiwe Warioba au jaji Ramadhani?

Hali ya ujambazi ni ya kutisha nchi nzima, na watu wanakufa kila kunapokucha, sema tu kwamba huku mitaani kwetu tukifa, wanaonekana wamekufa panya tu, si polisi wala viongozi wa serikali wanaojitokeza kuonyesha japo maskitiko yao kutokana na kitendo hicho. Juzi tu nilikuwa majohe huku maeneo ya pugu, ujambazi uliopo huko unatisha. Nenda maeneo ya Chanika na rudi ukonga, hadi huko mbezi na kimara. Watu wanazika kila siku kutokana na kuuawa kwa mapanga au risasi. Ila sema tu kwa kuwa hakuna serikali basi tumekuwa tukijizikia ndugu zetu kimyakimya, na hakuna yeyote anayekamatwa kuhusiana na matukio hayo. leo kwa kuwa ameuawa Mvungi tunasema ameuawa kutokana na kazi yake. Hawa wengine wanaokufa kila siku wenyewe huwa wanauawa kutokana na nini? kwanini tusikubali tu kuwa usalama wa nchi hivi sasa ni mbaya? Tukubali ukweli kwamba hali ya nchi yetu ni mbaya, na tunahitaji kuchukua hatua makini kukabiliana nyao na si kusingizia halbari ya kazi yake.
 
Dr Seng'odo Mvungi. Pamoja na kuwa mate wangu UDSM kwa mwaka mbele lakin wote tulikuwa tukikaa hall No 2. Nimekumbuka sana ucheshi, umahiri wako katika kujenga hoja lakin mwisho kwa kufanya sherehe yako ya kuzaliwa na kutulisha chakula cha wapare (Kishumba). Na siku zote katika uhai wake nilizoea kumwita mzee wa kishumba.

Mola akulaze pahala panapo stahiki.

Dr Hamza

Imekuaje kuaje !
Mbona hakuna madokezo ili wasio na taarifa waelewe !?.......kuna maana gani kuanzisha uzi uko mkavu mkavu !

Embu Dr. Hamza tusaidie wasifu wake kwa ufupi.
Mimi namkumbuka kwa umahiri wake wa kujenga hoja na kujieleza. Wakati wa Mazishi ya Prof. Mwaikusa yule ambaye alishambuliwa na Majambazi nyumbani kwake, yeye ndiye aliyesoma shairi la Shakespeare na MC alikuwa Prof. Palamagamba Kabudi.

May his soul rest in eternal life.Amen!
 
Nimemuumba mwanadamu.Nikampatia dunia nzuri na vitu vizuri ndani yake.Nikampa na wanadamu wenzake ili afurahi,apende,iwe kwake faraja.Na miti yote,mimea,bahari na milima viko pale pale,vikifuata amri ya muumba wake.Lakini wewe mwanadamu mwenye akili timamu,umeiacha njia yako na sheria yako.Unafisha yote niliyokupa,hata wanadamu wenzio.Nami nasema wewe mwanadamu,kwa kuwa unaangamiza wale niliokupa,basi nitakunyima vyote,mvua haitanyesha,bahari itavuka mpaka wake,milima itasogea,ardhi itatetemeka,na roho yako itakukimbia,katika siku niifanyayo,siku nitakapotoka,na kuja kuitikisa sana dunia na wote waikaao,naam,siku ya hasira yangu!naam,siku nitakayokomesha vilio hivi vya wanadamu,maana ardhi imejaa vilio,nami nitaisafisha,na kukomesha vilio!
 
Najaribu kukutathimini ulivyo,namuona mtu mwenye jinsia ya kiume aliyepaka lipstick,aliyevaa sketi na sidiria wakati hana 'manyonyo'.Namuona mwanaume anayefurahi na kujivunia sana anapofananishwa na Wema Sepetu!

najaribu kuvuta taswira kichwan mwangu namuona kajirita anashikwa makalio ametulia tuli haangaiki,naona mwanaume mwenzie anakuja anamuwekea dushelele lake
 
RIP Dr. Mvungi!

Ndg Watanzania wenzangu, kila kukicha tunashuhudia mauaji ya watanzania wenzetu wasio na hatia, tena raia wa kawaida! swali la kujiuliza ni; Kama ujambazi umeongezeka sana hapa nchini ni kwanini wananchi wa kawaida tena wale wanaoonekana kupingana na serikali ndio wanaumizwa? Kwanini mtu kama Lukuvi, Wassira, Pinda tusisikie wamejeruhiwa? wengine watakuja na hoja mufilis kuwa hao viongozi wanalindwa, je vp kuhusu Nape, Nchemba, Ridhiwan, Sendeka na wahuni wengine wa CCM na serikali yao?

Kumbe hawa wahuni wanalindwa na kodi zetu alafu asante yao ni kuwadhuru na kuua raia walipa kodi wa nchi hii?

Ndg zangu watanzania, mtakumbuka kuwa hapajawahi kutokea mauaji ya kinyama ya aina hii unaofanywa na serikali ya ccm katika awamu zote isipokua hii ya huyu FISADI KIKWETE!-shame on him! Hivi huyu mbumbavu hudhan yeye hatokufa? Atakua Rais maisha? Hato-face mkono wa sheria?

Hata Kikwete acheze vipi kete ya mwisho ya kuwapatia wananchi KATIBA eti kama ndio zawadi, nasema hatokwepa mkono wa sheria aslani! DR. MVUNGI sio mtu wa kumpoteza katika kipindi hiki muhimu sana kwa nchi yetu kuelekea kupata Katiba mpya!

DR. mvungi, nenda salama, pumzika kwa amani lakini usijali, maana umewa-grom wengi, tupo mia mamilioni wenye mtazamo kama wako. Walidhani wakikuondoa katika uso wa hii dunia, basi watafanikiwa kumbe kazi ndio kwanza imeanza!

Tumejawa na hasira, Hasira ya kusonga mbele daima kurudi mwisho! Kifo cha DR. Mvungi shujaa wetu, kiwe ni alama ya ukombozi wa taifa mama Tanzania kutoka kwa wakoloni weusi ccm!

Kifo cha DR. Mvungi, ni ishara ya kuzaliwa mamilioni kama MVUNGI. We are very, very close! Tusikate tamaa!!
 
Kinusu ata kufa mama ako utasema ni CDM usitake kutuaribia siku
 
“Dkt. Mvungi alikuwa mwanasiasa mwenye misimamo ambaye hakuwahi kukihama chama chake tangu alipoanza siasa za mageuzi nchini. Ni kati ya wasomi wachache waliokuwa na ujasiri na kuthubutu kujiunga na vyama vya upinzani tangu mapema.


Hivi yule wa Arusha alikuwaga chama gani vile?? kwa hiyo Mbowe anatuaminisha Lema hakuwa na msimamo eeee??? ahsante Kamanda Mbowe kwa ufafanuzi huu

RIP dk Mvungi

Tatizo la kutolelewa na wazazi ,hujuh ni wakati gani uongee nini na wakati gani ufiche ujinga wako.
 
Back
Top Bottom