chadema ndio wanaotakiwa kujibu issue ya dr kupigwa mapanga sha,wao ndo watakuw wahusika wakuu wa hili tukio!huu ni mwendelezo wa ile muvi ya kuteka watu na kuwatesa kama walivyofnya ulimboka
This is shocking news to me and the Nation. We needed Dr Mvungi at this time than any other time before!! Through him and his colleagues in the Warioba Commission, we expected and we still expect, to get a New costitution that will put us together as a nation and through it and our hard work, have a prosperous nation.
RIP our fallen heroe.
jamani tunaomba watu mtuteremshie lolote mnalolijua kuhusu Dr. Wetu huyu kuanzia kuzaliwa kwake hadi kufa kwake.
Amekufa kutokana na kazi ya kuhuisha roho ya taifa? Ina maana hao waliomvamia wamefanya hivyo kwa sababu ya ujumbe wake wa katiba? Kwani Mvungi ni nani hadi awe na sababu ya kuuawa na asiwe Warioba au jaji Ramadhani?Ni huzuni kwa Taifa kwani masahibu yaliyopelekea umauti yanatokana na kazi ya kuhuisha roho ya Taifa (Katiba ya Nchi). Mungu ailaze roho yake mahala pema.
Dr Seng'odo Mvungi. Pamoja na kuwa mate wangu UDSM kwa mwaka mbele lakin wote tulikuwa tukikaa hall No 2. Nimekumbuka sana ucheshi, umahiri wako katika kujenga hoja lakin mwisho kwa kufanya sherehe yako ya kuzaliwa na kutulisha chakula cha wapare (Kishumba). Na siku zote katika uhai wake nilizoea kumwita mzee wa kishumba.
Mola akulaze pahala panapo stahiki.
Dr Hamza
Imekuaje kuaje !
Mbona hakuna madokezo ili wasio na taarifa waelewe !?.......kuna maana gani kuanzisha uzi uko mkavu mkavu !
Jamani...CCM inahusikaje hapa?
Najaribu kukutathimini ulivyo,namuona mtu mwenye jinsia ya kiume aliyepaka lipstick,aliyevaa sketi na sidiria wakati hana 'manyonyo'.Namuona mwanaume anayefurahi na kujivunia sana anapofananishwa na Wema Sepetu!
Serikali hii inashindwa kutoa ulinzi kwa watu muhimu kama Dk Mvungi? Kweli, hii ndo ccm! Ee Mungu tunusuru..
Dkt. Mvungi alikuwa mwanasiasa mwenye misimamo ambaye hakuwahi kukihama chama chake tangu alipoanza siasa za mageuzi nchini. Ni kati ya wasomi wachache waliokuwa na ujasiri na kuthubutu kujiunga na vyama vya upinzani tangu mapema.
Hivi yule wa Arusha alikuwaga chama gani vile?? kwa hiyo Mbowe anatuaminisha Lema hakuwa na msimamo eeee??? ahsante Kamanda Mbowe kwa ufafanuzi huu
RIP dk Mvungi