TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

Kpifo hichi ni ngumu kikitenganisha na serikali! Dk Mvungi, profesa Mwaikusa, vifo vyao ni vya kuuliwa na majambazi... Tutakukumbuka Dk Mvungi..

Ngoja kwanza- umesema- kifo cha Prof Mwaikusa, Dr Mvungi ni vya kuuliwa na majambazi? Na kile cha Kapinga? Inaonekana majambazi wana shida na wanasheria magwiji na hasa walio kwenye siasa!!! Oh Nimeelewa sasa.

RIP Dr Mvungi- Kioo cha Mageuzi na Dira ya Amani Tanzania! Mwana-mapinduzi na shujaa wetu!
 
Hata mimi nakubaliana na wewe, kwa nini itokee wakati huu wa kungojea rasimu ya pili? Why?
 


Hapa umenena kitu Mkono
 
Last edited by a moderator:
Hii Day Care ya Kova kwa kweli sijui itaisha lini?! Mtu unawaza hujuma ya nchi zinazofanyika unakosa la kifanya!! Laiti ingewezekana kutokea kundi lenye utaalamu wa kijasusi wa hali ya juu, ikawateka waendesha day care kama huyu kova na kwenda kuwawajibisha, nakwambia hii nchi ingekuwa mbali sana!!
 
Hujuma na ufedhuli kama huu usingekuwepo!! Mbona nchi zilizoendelea haya mambo hayapo kihivyo?! Huku kwetu kajamba nani ndio yamejaa tele!!
 
Angeuwawa TUNDU LISU sijui Makamanda na vyombo vya Habari vya kibongo wangesemaje?
 
A hero of Democracy reforms, the true sons and daughters of this nation will always remember him.
R.I.P Dr. Your legacy is sacred.
 
RIP Dr,mwanamageuziwa ukweli,i curse those devils who shortened your life,Karma will haunt them soon.Nimeumia sana.
 
R.I.P. Dr Mvungi.Waliohusika katika mauaji haya wanyongwe hadi kufa.:tape:
 
Huzuni sana miongoni mwetu,huzuni isiyo mfanowe kwa familia yake......tunaiombea familia kuwa na moyo wa imani na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu......Dr Mvungi amefika nyumbani hasa,huko ndio kwetu hasa....duniani tu wapitaji.......R.I.P DR MVUNGI.
 
R.I.P DOCTOR it is too sad but your ideas is still alive.
 

Mkuu (R.I.P) Dr Mvungi kwa wimbo huu tunaendelea kuwapoteza watu muhimu kwa taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…