Ni kweli Dk.Mvungi amefariki nimezungumza na Mmoja wa watangazaji wa kituo cha Star Tv Ivona Kamuntu kutoka huko Jijini Mwanza nasema taarifa hizo zimewafikia kwenye kituo chao na itakuwepo hewani saa 8:00 usiku kwenye taarifa ya habari,hakutaka kuingia kwa undani zaidi.