TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

r i p dr mvungi mungu akulaze mahali pema,watoto wako wa ustawi wa jamii tutakuombea daima
 
Hali ya uhalifu inatisha! tuache kutoa tu RIP bali kulaani uzembe wa mfumo wa ulinzi! Doria isiwe kazi ya Polisi tu hata JWTZ na magereza watumike ili kupunguza matukio ya uhalifu.

Hata Dr Mvungi pengine alikuwa anapuuza kama mimi na wewe.Hali ya ulinzi na usalama ni mbovu wahalifu wanafanya wanavyotaka.
 
Tumefika sehemu mbaya sana
katika historia ya Nchi hii... Ulimboka na Kibanda wametufikisha hapa kwa tabia mbaya waliyoifanya ya kuficha ukweli....
 
===>Majambazi wa nchi hii huwa hawakamatiki kabisa,tena hasa wakivamia maene fulani fulani hivi
1---Waliompiga Kibanda walipatikana?
2---Na hawa walioshikwa hawa utakuja kusikia ni Raia wa Malawi
 
Ni kweli Dk.Mvungi amefariki nimezungumza na Mmoja wa watangazaji wa kituo cha Star Tv Ivona Kamuntu kutoka huko Jijini Mwanza nasema taarifa hizo zimewafikia kwenye kituo chao na itakuwepo hewani saa 8:00 usiku kwenye taarifa ya habari,hakutaka kuingia kwa undani zaidi.
 
I hope they will find real culprit this time! They killed, never on earth this stupidity should be tolerated. Ndugu Kova kamata wenyewe sio sinema tena wakanyongwe.
 
Back
Top Bottom