Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu,jamaa,marafiki na watanzania wote tumehuzunika.kama taifa watawala kuna ufa mkubwa ktk ulinzi,ongezeni bajeti ya ulinzi.punguzeni magari ya kifahari,ongezeni magari,vipuri na mafuta kwenye ulinzi.sasa watu muhimu wanadhuliwa kina sisi je? mnaona fahari,kuonesha mapanga yalioua, badala ya bunduki , mbwa ,farasi, na askari waliozuia mauaji.hakika taifa lina mashetani.kiongozi unashupaa kuonyesha mapanga?
Hali ya uhalifu inatisha! tuache kutoa tu RIP bali kulaani uzembe wa mfumo wa ulinzi! Doria isiwe kazi ya Polisi tu hata JWTZ na magereza watumike ili kupunguza matukio ya uhalifu.
Hata Dr Mvungi pengine alikuwa anapuuza kama mimi na wewe.Hali ya ulinzi na usalama ni mbovu wahalifu wanafanya wanavyotaka.
Mimi bado niko na majambazi waliohusika:
Je watu walioshikwa ni wenyewe kweli?