TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

RIP Dr. Mvungi! Pole familia, pole wanamageuzi, poleni watanzania!

Nimatumaini yangu kuwa damu yake haikumwagika bure, wanaohusika na kuhakikisha usalama wetu, damu hii iwanyime usingizi ili itusaidie kuiweka Tanzania salama zaidi!
 
Dr Sengondo Mvungi amefariki leo majira ya Saa tisa na nusu katika Hospitali ya Milpark huko Afrika Ya Kusini. Mungu ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi.

Source: HusseinBashe Tweets

R.I.P.Dr
 

Attachments

  • Screenshot_2013-11-12-18-48-07.jpg
    Screenshot_2013-11-12-18-48-07.jpg
    98.9 KB · Views: 279
  • Screenshot_2013-11-12-18-45-10.jpg
    Screenshot_2013-11-12-18-45-10.jpg
    66.2 KB · Views: 264
for ow long will this on? and they get away with murder...!!! nawashauri wamama wakazane kuzaa akina Mvungi wengine mpaka kileweke
 
A.PE.PE! dr. Mvungi. Nayakumbuka sana maneno yako uliyoniambia tulipokutana mtwara kwenye kukusanya maoni.
Very sad news jamani.!
 
Rest in eterna peace Dr Mvungi!kazi yako kwa taifa ili itakumbukwa daima!pia nakumbuka kazi yako nzuri kupitia South Law Chambers uliyotupigania katika kesi dhidi ya TGNP kwa zaidi ya miaka kumi bila kuchoka,nimeumizwa,nimesikitishwa na nimefeedheshwa sana kutokana na kifo chako,pole kwa Deogratius Mwarabu,Natujwa na wana familia wote!tangulia Dr na sisi tuko nyuma yako!
 
...juzi alikuwa Ulimboka,jana Kibanda,leo dr Mvungi,kesho sijui kama nitaamka salama...
"UKO WAPI MAMA YETU TANZANIA MBONA WANAO TUNAANGAMIA"
 
So sad aisee!!!! Nakumbuka aliwahi kunisaidia ku 'certify' vyeti vyangu pale UDSM bure kabisa. RIP Dr. Mvungi.
 
Kwanza kabisa nitoe pole kwa familia ya dr mvungi, mungu awatie wepesi katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wenu, pili nitoe pole kwa tume ya mabadilko ya Katiba chini ya mwenyekiti jaji warioba Kwan wapepoteza mjumbe muhimu aliyekua na nia ya dhati katika kuakisha katiba mpya kwa maslahi ya wote inapatikana,tatu ni kwa chama chake cha nccr-mageuzi,wanasiasa pamoja na wadau wa sheria Kwan ni ukweli usiopingika Kia tumepotza mtu muhimu katika kada hiyo.mwenyezi mungu ailaze peps peponi roho ya dr. Yeye mbele ss nyuma R.i.p Dr mvungi.
 
Very sad sana, kama ni kweli apumzike kwa amani.
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
Hivi ni sahihi kusema Bwana ametwaa katika mazingira haya? Wataalam wa Theologia tusaidieni tuseme nini kwa watu wanaoondolewa uhai wao kwa mapenzi ya binadamu? R.I.P Dr Mvungi
 
Back
Top Bottom