Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 101
Umeandika mengi, hujajibu hoja zangu.
Unakataa ranking ya TIMES? Ambayo ndio iko kwenye website ya shule yenu?? Naomba unijibu tu hilo and my conscious will be clear.
LSC WEBSITE - UWIC RANKING ACCORDING TO TIMES
Naijua LSC, international marketing manager wao anaitwa Nigyar Moussabekova. Anatoka Azeirbeijan. Mwanamke mmoja kafungasha kiafrika. Piga simu, mwulizie, ongea naye, nendeni mkamwone.
Mtu ukizoea majina yanayoeleweka, ukasikia LSC, na kwavile una-expect mtu asome LSE, it can pass you by. It sounds similar if spoken quickly. Na college zenu mnajaribu kutafuta majina yanayovutia, zingine zinadrop Oxford ndani yake, au London (kwavile kila mtu anajua London).
JAMANI EEEH, NYIE WOTE MASHAIDI WANGU; NAOMBENI MMSISTIZIE AJIBU SWALI LANGU HAPO JUU NA HAPA CHINI NARUDIA. NAMWANDIKIA KWA SIZE 6, IN RED, AONE NA MUONE. KAMA ASIPOJIBU, NAOMBA MWINGINE AMWULIZE.
JE, BADO UNAKATAA RANKING YA TIMES? AMBAYO IKO KWENYE WEBSITE YENU NA KWENYE BROCHURE YENU? WITH MARKETING STRATEGY YA 'THE BEST NEW UNIVERSITY (UWIC) - 2004', WAKATI TUKO 2009. NA TIMES HAO HAO KWENYE OVERALL RANKING WAMEWAWEKA CHINI YA 77?