Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi

Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi

Umeandika mengi, hujajibu hoja zangu.

Unakataa ranking ya TIMES? Ambayo ndio iko kwenye website ya shule yenu?? Naomba unijibu tu hilo and my conscious will be clear
.

LSC WEBSITE - UWIC RANKING ACCORDING TO TIMES

Naijua LSC, international marketing manager wao anaitwa Nigyar Moussabekova. Anatoka Azeirbeijan. Mwanamke mmoja kafungasha kiafrika. Piga simu, mwulizie, ongea naye, nendeni mkamwone.

Mtu ukizoea majina yanayoeleweka, ukasikia LSC, na kwavile una-expect mtu asome LSE, it can pass you by. It sounds similar if spoken quickly. Na college zenu mnajaribu kutafuta majina yanayovutia, zingine zinadrop Oxford ndani yake, au London (kwavile kila mtu anajua London).

JAMANI EEEH, NYIE WOTE MASHAIDI WANGU; NAOMBENI MMSISTIZIE AJIBU SWALI LANGU HAPO JUU NA HAPA CHINI NARUDIA. NAMWANDIKIA KWA SIZE 6, IN RED, AONE NA MUONE. KAMA ASIPOJIBU, NAOMBA MWINGINE AMWULIZE.

JE, BADO UNAKATAA RANKING YA TIMES? AMBAYO IKO KWENYE WEBSITE YENU NA KWENYE BROCHURE YENU? WITH MARKETING STRATEGY YA 'THE BEST NEW UNIVERSITY (UWIC) - 2004', WAKATI TUKO 2009. NA TIMES HAO HAO KWENYE OVERALL RANKING WAMEWAWEKA CHINI YA 77?
 
Rejea post zangu zote kila kitu nimeeleza acording to my point of view. Post yangu ya mwisho nimekujibu kwa mtiririko wa Namba ili ikuwie rahisi kuelewa ambacho nilisahau ni kuhusu why APPLICATION ZA WTZ & WAKENYA ZINAPITIA KWA ALLY. na ndiyo ninayokujibu hapa chini.

1. Marketing Manager wao ni Mr. Andy ambaye ni Muhindi na Senior wake ni mzungu (jina silikumbuki) hizo data zako ni kama za Rostam Azizi. Huyo mama namfahamu naye anaripoti kwa huyo incharge niliyemtaja paragraph No.3 hapo chini na manager wao ni Mr Andy

2. Room No. 14, ni cha maafisa masoko wapo karibia 18 wa nchi tofauti tofauti, baadhi ninao wafahamu yupo mjapani anadili na Japani, Mkameruni anadili na kameruni, Ally anadili na TZ & Kenya, kuna anayedili na China, wapo wanaodili na India na nchi zilizojirani na India, wengine Eastern Europe, Uganda yupo Mhindi ambaye zamani alikuwa anadili na TZ N.K NA INCHARGE WAO NI MUHINDI BONGE (Jina nimelisahau)

3. Ni kweli application za Kenya na TZ zinapitia kwa Ally kwa sababu Ally anapaswa awafanyie interview ili ajiridhishe kama kweli wataweza kumudu gharama za ada na living expenses. Ndiyo sababu huwa anawauliza nani atakaye lipia hizo gharama. Japo wanajaza kwenye fomu ILA HUWA ANAPASWA KUWAHOJI HATA KWA SIMU na kwenye submission zake huwa lazima aeleze kama amewainterview. PIA ALLY ANAFAHAMU KISWAHILI HIVYO NI MBINU YA KUBORESHA MAWASILIANO.

4. Kuhusu UZEMBE wa mtu kudhani LSC NI LSE nadhani nimejibu vizuri na kwa mfano kwenye post yangu na nimeipa namba hiyo paragraph otherwise unataka malumbano yasiyo na tija.

HITIMISHO
Kama mapungufu wanaweza wakawanayo kama vile UDSM amabavyo inaweza ikawa na mapungufu BUT si katika perception unayoiwasilisha. Nadhani unafahamu hakuna kilichokamilika na NDIYO MAANA KILA TAASISI KILA BAADA YA MUDA FLANI HUWA INATAKIWA IFANYE REVIEW YA CORPORATE PLAN YAKE. Wataalamu wa Menejiment wanafahamu vema.

Nina post nyingi katika hii mada nimejitahidi KUZINGATIA ISSUE ILIYOPO MEZANI, CRITERIA, ACCURACY AND CONSISTENCE. SOMA KWA UMAKINI POST ZANGU.
 
kanda2,

..hivyo vielelezo ulivyopewa na jamaa yako vinaonyesha Dr.Shayo ana 1st degree gani na toka chuo kipi? what about his masters and PhD?
Vinaonesha na nimetihitisha ni mtu wa mazingira.aache kupose kama mchumi na asigawe business card kama mchumi.
 
Ally namjua sana Kamaliza hapo MBA in International Marketing of UWIC, na kwa sasa anamalizia disertation yake ya Msc in Consultancy Management ya UWIC. Pia ni Marketing Officer wa LSC na LST.

Nimeshawaambia wafafanue wenyewe. Nadhani nitamshawishi Ally ajiunge hapa Jamvini.

LSC haimo ndani ya shopping centre, kama ni hivyo na hiyo basi na stesheni ya underground trains nayo imo ndani ya shoping Centre maana jengo lake limeungana kama mnavyoiona picha iliyowekwa.. LSC wapo karibu sana na hiyo shopping center. NYUMBA ZA HUKU ZIMEUNGANA (SI ZOTE).

Nimesema awali hapo Elephant & Castle ni eneo kubwa na lina EXIT nyingi maana lina subways (underground), pana vyuo mbali mbali na bus stop nyingi. Pia pana ofisi nyingi. Kikanda hapo ni kati kati ya zone 1 na zone 2.

Kwa habari ya wajamaica sina hakika na nimesikia hapa JF ila nijuavyo ni eneo aghali.

Labda ikawa kweli, ila ni mpakani mwa Zone 1 na zone 2. NI mjini kabisa.

Mengine wasubirini wenyewe ila chuo hicho kinaviwanga na kina mtambo maalumu wa kumonitor mahudhurio, umeanza kutumika April 2009 na ni chuo pekee kwa UK chenye huo mtambo mpaka dakika hii. Hiyo ni indicator ya ubora.

Ila ukisema hakina viwanja vya kuchea mipira hapo sawa, Pia hapa London mtu unamiliki jengo kama umemaliza kulipa morgaji NA SI ARDHI. Naomba nisiibue mjadala mwingine TUBAKI KWENYE HOJA YA MSINGI

Mtambo wa kumonitor mahudhurio sio issue,swali kama chuo hakina library ya kutosha, majengo yao hayakidhi Health and safety regulations lakini wana recruit maelfu ya wanafunzi katika mazingira hayo elimu bora itapatikana?

Chuo ulikipa taarifa juu ya damage ya reputation yake inayofanyika hapa JF more than 24 hours hadi sasa, na wameshindwa ku ACT haraka.ikiwa mwanafunzi amekwama airport na watu wa uhamiaji wanataka more information jee chuo kitachukua zaidi ya masaa 24? kinashindwa kuja hapa kuwajibu watanzania ambako ndio kwenye soko lao hivi sasa,inajulikana wazi bila watanzania chuo hiki kinakufa, nchi kama Nigeria na Ghana ambao ndio wanaongoza kwa kuchangamkia elimu chuo hiki hakina agent wala marketing officer kwenye nchi hizo kwani Wanigeria na waghana wameamka huwezi kuwadanganya na college isiyokidhi viwango.
 
[/SIZE]

Zakumi,

..mimi siyo Shayo.

..naona kanda2 anataka kuwa cyber-bully ndiyo maana nimeamua kufunga kambi hapa.

..anajua kabla hajatoa madai yake alipaswa kutueleza huyo Shayo amehitimu katika fani gani kwa shahada zote tatu alizonazo.

..kila ukimuuliza hatoi jibu la uhakika kama kweli anamjua Shayo kiasi cha kuweza kumtolea lawama za kiwango hiki.

..maelezo yako ni kuhusu hizi credentials ni mazuri sana. binafsi nimemuuliza kanda2 kwamba inasemekana Shayo ana masters ya development studies, sasa masters hiyo ilitolewa na dept ya economics au sociollogy?

..pia hivi mtu hana ruhusa ya kuchangia mjadala wowote ule hata kutokana na uzoefu wake? kwa mfano mtaalamu mwenye masters ya foundation eng, hana ruhusu ya kuchangia ktk mjadala wa stuctrural eng hata kama huko ndiko alikospend muda mwingi wa kazi. je, huyo utamwita mtaalamu/bingwa wa foundation eng, au structural engineering?

NB:

..nadhani Mnozya na Nzoka wana point za maana sana kuliko haya mambo trivial aliyoleta kanda2.

Development studies sio Uchumi,if that is the CASE then hon.Lowassa ni mchumi kwani anayo hiyo toka BATH University.

Nzoka na Mnozya wanaendeleza mjadala nilioanzisha mimi ila kichwa cha mjadala ni Shayo na wote kwa pamoja wamemponda Shayo soma posts zao.

nimeeleza toka post ya kwanza kuwa DR.Shayo ni nguli wa Mazingira na elimu ya mazingira kwa kiwango cha PhD,kipi usichoelewa?nikikubana sana utakimbilia kuwa unaonewa kwa kabila lako au dini yako. usitumie kinga hizo kwa kupose kuwa ni mchumi.mtu ambaye mambo ya Valentine's Day umekopi na kupaste,andika Journals kama kweli ni Associate professor wa uchumi.

Kulikuwa na mada nyingine aliweka kwenye michuzi kuwa Tanzania ingefaidika na kombe la dunia ila ubalozi wa Tanzania UK haukuchangamkia.

kama Shayo una mapenzi na Tanzania kwanini usifuatilie na kuwapa taarifa ubalozi wetu?ulipoona mambo yameharibika ndio ukaanza kulaumu.kwanini uwe mtu wa kulaumulaumu bila kutoa solutions?
 
Mtambo wa kumonitor mahudhurio sio issue,swali kama chuo hakina library ya kutosha, majengo yao hayakidhi Health and safety regulations lakini wana recruit maelfu ya wanafunzi katika mazingira hayo elimu bora itapatikana?

Chuo ulikipa taarifa juu ya damage ya reputation yake inayofanyika hapa JF more than 24 hours hadi sasa, na wameshindwa ku ACT haraka.ikiwa mwanafunzi amekwama airport na watu wa uhamiaji wanataka more information jee chuo kitachukua zaidi ya masaa 24? kinashindwa kuja hapa kuwajibu watanzania ambako ndio kwenye soko lao hivi sasa,inajulikana wazi bila watanzania chuo hiki kinakufa, nchi kama Nigeria na Ghana ambao ndio wanaongoza kwa kuchangamkia elimu chuo hiki hakina agent wala marketing officer kwenye nchi hizo kwani Wanigeria na waghana wameamka huwezi kuwadanganya na college isiyokidhi viwango.

Wanaye agenti wa Nigeria (ILA WANAGERIA NI BONGE LA WASANII) Chochote utakacho hapa London wewe waone wanageria. Wako sehemu zote kama vile wahindi. Watanzania ni sehemu ndogo tu. maana kwa intake wanaweza wasizidi 10 nadhani ni jukumu la Ally kuweka data sahihi.

MUHIMU LSC WAJE HAPA JAMVINI NAUHAKIKA ALLY ATAKUJA, alinipigia simu akaniambia yeye si member wa JF nikamwambia ajoin. Atajoin afafanue, haiyamkini lisemwapo jambo lipo kama halipo litakuja, hiyo ndiyo salaam yangu kwa Ally NI KWELI WASIPO JIBU REPUTATION YAO IMEKUWA DAMAGED NAMI NITAWAPONDA.

MAJENGO YAO HAYAJACHAKAA. Hapa panamamlaka zinazo control health and safety Katika hilo waingereza wako makini na majengo yao ni imara si kama yale ya kariakoo.
 
kanda2 said:
nimeeleza toka post ya kwanza kuwa DR.Shayo ni nguli wa Mazingira na elimu ya mazingira kwa kiwango cha PhD,kipi usichoelewa?nikikubana sana utakimbilia kuwa unaonewa kwa kabila lako au dini yako. usitumie kinga hizo kwa kupose kuwa ni mchumi.mtu ambaye mambo ya Valentine's Day umekopi na kupaste,andika Journals kama kweli ni Associate professor wa uchumi.

kanda2,

..unajibu hoja zangu kana kwamba mimi ndiyo Dr.Shayo. nimeshaeleza kwamba mimi sina mahusiano yoyote na ndugu huyo.

..vilevile tone ya posting zangu inaonyesha umejawa na USONGO, HASIRA, na CHUKI isiyo na kipimo dhidi ya Dr.Shayo. kulikoni kaka/dada/ndugu?

..umeeleza kwamba jamaa yako amekupatia taarifa/dossier ya Dr.Shayo, ndiyo ukagundua kwamba siyo mchumi, bali mwanamazingira.

..tunaomba basi kutoka katika hiyo dossier uliyopewa utueleze yafuatayo:

1. Shayo ana 1st degree ya fani gani na kutoka chuo kikuu kipi.
2.Shayo ana Masters ya fani gani na kutoka chuo kikuu kipi.
3.Shayo ana PhD ya fani gani[Thesis] na kutoka chuo kikuu kipi.

NB:

..je bado unatetea madai yako uliyoyatoa mwanzo kwamba Shayo hana hata certificate ya uchumi??
 
Rejea post zangu zote kila kitu nimeeleza acording to my point of view.

SO your point of view overrides that of the college itself? Who are you to discredit what they write on their website and their brochure? UWIC IKO POORLY RANKED, IKIMAANISHA, ASSOCIATE COLLEGE NI BOMU ZAIDI. NAJUA HAYA MASWALI HAKUNA ANAYEWEZA KUYAJIBU, HATA UKIMWITA DEAN WENU LANCASTER.

NINARUDIA TENA MASWALI YANGU, TIMES HAIJAWA-RANK? NAWENYEWE HAWAJAI-QUOTE? NIMEONGEZA NA RANGI YA KIJANI, NIME-UNDERLINE

Umeandika mengi, hujajibu hoja zangu.

Unakataa ranking ya TIMES? Ambayo ndio iko kwenye website ya shule yenu?? Naomba unijibu tu hilo and my conscious will be clear
.

LSC WEBSITE - UWIC RANKING ACCORDING TO TIMES

Naijua LSC, international marketing manager wao anaitwa Nigyar Moussabekova. Anatoka Azeirbeijan. Mwanamke mmoja kafungasha kiafrika. Piga simu, mwulizie, ongea naye, nendeni mkamwone.

Mtu ukizoea majina yanayoeleweka, ukasikia LSC, na kwavile una-expect mtu asome LSE, it can pass you by. It sounds similar if spoken quickly. Na college zenu mnajaribu kutafuta majina yanayovutia, zingine zinadrop Oxford ndani yake, au London (kwavile kila mtu anajua London).

JAMANI EEEH, NYIE WOTE MASHAIDI WANGU; NAOMBENI MMSISTIZIE AJIBU SWALI LANGU HAPO JUU NA HAPA CHINI NARUDIA. NAMWANDIKIA KWA SIZE 6, IN RED, AONE NA MUONE. KAMA ASIPOJIBU, NAOMBA MWINGINE AMWULIZE.

JE, BADO UNAKATAA RANKING YA TIMES? AMBAYO IKO KWENYE WEBSITE YENU NA KWENYE BROCHURE YENU? WITH MARKETING STRATEGY YA 'THE BEST NEW UNIVERSITY (UWIC) - 2004', WAKATI TUKO 2009. NA TIMES HAO HAO KWENYE OVERALL RANKING WAMEWAWEKA CHINI YA 77?
 
According to booklet zao na flyer zao wenyewe, na huyo mwanamke mwenyewe, yeye ndio International Marketing Manager. Sasa unasema shule inadanganya? Maana kama unawasemea wao, ujue unapotosha watu au shule yenyewe inapotosha. Do you wanna go that route? Nikitoa proof tofaute na wewe unavyosema, ina maana kuna mmoja anadanganya kati ya wewe na info za shule. kwavile wewe una uhakika, basi shule wanadanganya sio? Na kama wanadanganya ina maana vitu vingine wanadanganya?

- Umeshawasemea kuhusu TIMES Ranking kwamba huitambui, wakati wao wanaitambua na imewapiga chini hadi namba 77. Wakati wanajisifia kama best new university 2004.

- Umewasemea kuhusu International Marketing Manager. Chuo cha maana hakitakiwi ki-mislead. Mimi nimeongea nao na kuwaona kwa nia ya kusaidia waTanzania, kwahiyo wamenidanganya?
 
kanda2,

..unajibu hoja zangu kana kwamba mimi ndiyo Dr.Shayo. nimeshaeleza kwamba mimi sina mahusiano yoyote na ndugu huyo.

..vilevile tone ya posting zangu inaonyesha umejawa na USONGO, HASIRA, na CHUKI isiyo na kipimo dhidi ya Dr.Shayo. kulikoni kaka/dada/ndugu?

..umeeleza kwamba jamaa yako amekupatia taarifa/dossier ya Dr.Shayo, ndiyo ukagundua kwamba siyo mchumi, bali mwanamazingira.

..tunaomba basi kutoka katika hiyo dossier uliyopewa utueleze yafuatayo:

1. Shayo ana 1st degree ya fani gani na kutoka chuo kikuu kipi.
2.Shayo ana Masters ya fani gani na kutoka chuo kikuu kipi.
3.Shayo ana PhD ya fani gani[Thesis] na kutoka chuo kikuu kipi.

NB:

..je bado unatetea madai yako uliyoyatoa mwanzo kwamba Shayo hana hata certificate ya uchumi??

Jokakuu:

Naona kambi yako hapa ni ya kudumu. Lakini haya mambo ya ubishi wa shule ni classic kwa watanzania.

Kuna ubishi wa shule gani ni nzuri na digrii gani ni babu kubwa. Na hii inatokana na ukiritimba wa mwingereza.

Hii ni tofauti sana na Marekani. Marekani, uzuri au ranking ya shule unampa mwanafunzi advantage pale anapoanza. Lakini muda unavyokwenda performance ya mtu ni kitu muhimu kuliko shule aliyokwenda.

Kitu kingine ambacho nakiona kinatofauti hapa. Ni humble begining. Marekani wanapenda underdogs na watu wenye humble begining. Hivyo mtu anaweza kuanza kwenye shule ndogo tu, lakini akiwa ni top performer ni lazima ataandika history tu.
 
Sina usongo na mtu nina usongo na wale wanaotengeneza business cards tu POSE KAMA WACHUMI huku wao ni watu wa mazingira.
Shayo si mchumi huelewi ndugu yangu? anafanya kitengo cha construction na hivi sasa hadi 2012 atakuwa yuko busy sana kutengeneza majengo ya olympic. kama mwanamazingira.
 
Jokakuu:

Naona kambi yako hapa ni ya kudumu. Lakini haya mambo ya ubishi wa shule ni classic kwa watanzania.

Kuna ubishi wa shule gani ni nzuri na digrii gani ni babu kubwa. Na hii inatokana na ukiritimba wa mwingereza.

Hii ni tofauti sana na Marekani. Marekani, uzuri au ranking ya shule unampa mwanafunzi advantage pale anapoanza. Lakini muda unavyokwenda performance ya mtu ni kitu muhimu kuliko shule aliyokwenda.

Kitu kingine ambacho nakiona kinatofauti hapa. Ni humble begining. Marekani wanapenda underdogs na watu wenye humble begining. Hivyo mtu anaweza kuanza kwenye shule ndogo tu, lakini akiwa ni top performer ni lazima ataandika history tu.

Dont try and patronise us with ur humble beginnings malachy. Majority of Tanzanians have humble beginnings and it starts from village life.

The issue here is power of choice with the little money you have
. Shule nyingi zinapata pesa zao through alumni pia. Mfano, City University wana Cass Business School, ambao mmoja was former students wao ni mwenye Easy Jet, jamaa pumps money there, pia huwa anatembelea kutoa Lecture. How would you value a lecture from someone as successful as Stelious? Mtu kama huyu atatembelea lini LSC? Kuna Business school inaitwa Tanaka (part of IC), hii ina miaka michache tu na tayari iko juu na wanafunzi wake wanashinda awards. Sponsor wake mkubwa ni alumni, sasa hivi hii Business School is one of the top ones in the UK.

Hivi kuna topic ngapi hapa za technologia, sayansi au masomo ambazo watu huongelea? Every one wants to be a politician and you have no flippin' idea how to get rid of CCM. If all of us run to LSC without using our power of choice, how we gonna run our country? If our PM, who is well informed sends his child to LSC (according to Mnozya), when he can send the child to Scandinavia to study for free (minus living expenses), what does that tell us? The same Scandinavians we ask to draft our contracts, yet we dont value their education?

Watanzania tunataka tuongelee mambo ambayo hatuna uwezo nayo, lakini tunataka tuitwe experts. You earn to be an expert. We dont earn it, we find short-cuts, ndio mambo ya online degrees, ndio mambo ya sub-standard degrees.
 
Zakumi said:
Jokakuu:

Naona kambi yako hapa ni ya kudumu. Lakini haya mambo ya ubishi wa shule ni classic kwa watanzania.

Kuna ubishi wa shule gani ni nzuri na digrii gani ni babu kubwa. Na hii inatokana na ukiritimba wa mwingereza.

Hii ni tofauti sana na Marekani. Marekani, uzuri au ranking ya shule unampa mwanafunzi advantage pale anapoanza. Lakini muda unavyokwenda performance ya mtu ni kitu muhimu kuliko shule aliyokwenda.

Kitu kingine ambacho nakiona kinatofauti hapa. Ni humble begining. Marekani wanapenda underdogs na watu wenye humble begining. Hivyo mtu anaweza kuanza kwenye shule ndogo tu, lakini akiwa ni top performer ni lazima ataandika history tu.

Zakumi,

..ni kweli tabia ya kuabudu shahada toka baadhi ya University chimbuko lake ni Uingereza.

..kuna mifano halisi ya watu kama Prof.Sarungi ambaye alinyanyaswa sana wakati anaanza kazi Muhimbili, kisa hakuwa na vyeti toka Uingereza. sote tunajua rekodi ya Prof.Sarungi kama mtabibu na Mkurugenzi pale Muhimbili.

..Wamarekani, kutokana na historia yao wameweka vigezo vingi zaidi katika kuchuja na kuchagua wanafunzi ktk vyuo vikuu. katika mazingira hayo ndiyo unakuta hata wale wenye humble begginings wanapata nafasi ktk vyuo vyenye majina makubwa.

..nakubaliana na wewe kwamba tabia ya Wamarekani kupenda underdogs ndiyo inayowawezesha wanafunzi WENYE VIPAJI, lakini wamesoma ktk shule ndogo, kuweza kujiunga na shule zenye majina makubwa.

..pamoja na hayo lazima tutofautishe kati ya "shule ndogo" na shule ya hovyo-hovyo ya kitapeli. kuna shule za hovyo-hovyo ambazo hazitambuliwi na mamlaka husika hizo zinapaswa kuepukwa.

..there is a positive side kwenye hii "LIGI" inayoendelea hapa. nadhani tusiishie kuhoji ubora wa vyuo vikuu vya nje tu, bali hata vyuo vilivyoko hapa Tanzania, pamoja na shule za sekondari na msingi.

..kuna wazazi wanaandikisha watoto wao shule/chuo bila kufanya uchunguzi na uchambuzi wa kina halafu wanakuja ku-realize wamefanya makosa when it is already too late.

NB:

..katika mazingira ya Tanzania ya leo, na muelekeo wa kidunia, sishauri mzazi yeyote atumie pesa yake kumsomesha mwanae ktk chuo ambacho hawafundishi kwa KIINGEREZA.
 
Joka kuu.

Lazima mtu akifuatilie chuo kabla ya kujiunga,mie siwezi kufanya MBA chuo chako cha London Southbank sio kama naabudu vyuo ila hakina facilities na walimu wa maana.

Hapa Tanzania hakuna chuo kisichofundisha kwa lugha ya kizungu au wewe unakijua?
mwanzoni nilisema kuwa Southbank sio chuo bora na ukweli umedhihiri.vyema watu wafanye utafiti wa hali juu nina hakika tangazo la chuo cha LSC kwa michuzi litakuwa limewaingiza mkenge watu wengi.vizuri tukaanda thread ya ubora wa vyuo vya ndani na nje pamoja na mashule kama ulivyosema DR hapo juu hili linawasaidia watu wengi,unajua kuna familia hazina watu walifika juu kielimu kama yangu lakini mijadala kama hii inatusaidia.

MZONYA.

Ulisema wenye chuo watakuja pamoja na Ally Abdallah hadi sasa hatujawaona ina maana hawana jibu la kuvunja hoja hizi au wanajiandaa kuzitafuta.kwanini Abdallah asikupe wewe majibu uyatundike?
 
JokaKuu:

Watu kutofanya uchaguzi wa vyuo ni tatizo hata kwa wanafunzi wanaosoma katika vyuo vya bongo.

Watu wanasoma kwa sababu kitu wanakiita hot cake. Lakini sio kwa sababu ya mapenzi ya shule yenyewe.

Kwanini mtu afike form IV au VI na asijue mwelekeo wake? Watu wanasoma tu hili wafaulu na ndio maana inakuwa vigumu kufanya maamuzi. Na ndio maana watu wanakuwa na digrii mbalimbali na kuhamua kujiita wachumi kwa sababu aliwahi kunusa uchumi.
 
Joka kuu.

Lazima mtu akifuatilie chuo kabla ya kujiunga,mie siwezi kufanya MBA chuo chako cha London Southbank sio kama naabudu vyuo ila hakina facilities na walimu wa maana.

Hapa Tanzania hakuna chuo kisichofundisha kwa lugha ya kizungu au wewe unakijua?
mwanzoni nilisema kuwa Southbank sio chuo bora na ukweli umedhihiri.vyema watu wafanye utafiti wa hali juu nina hakika tangazo la chuo cha LSC kwa michuzi litakuwa limewaingiza mkenge watu wengi.vizuri tukaanda thread ya ubora wa vyuo vya ndani na nje pamoja na mashule kama ulivyosema DR hapo juu hili linawasaidia watu wengi,unajua kuna familia hazina watu walifika juu kielimu kama yangu lakini mijadala kama hii inatusaidia.

MZONYA.

Ulisema wenye chuo watakuja pamoja na Ally Abdallah hadi sasa hatujawaona ina maana hawana jibu la kuvunja hoja hizi au wanajiandaa kuzitafuta.kwanini Abdallah asikupe wewe majibu uyatundike?

Kumbuka hii ni week end days na J3 ni Bank holday huko UK.
 
Toka alhamisi wameahidi kuja kujibu,au hawana majibu wanayatengeneza hivi sasa?Ijumaa na Alhamisi zilkuwa siku za kazi.
joka kuu.
mara unasema tusiabudu vyuo vya waingereza halafu mwisho wa sentensi yako unatushauri tutumie lugha ya waingereza kuwa ni muhimu katika dunia ya leo.unajichanganya sana au umekuwa kama DR.SHAYO yeye sio mchumi lakini anagawa business cards kama associate professor,
lazima tuvifuatilie vyuo vya UK kwani elimu yetu imekopi huko.kama unaumia kwa vile chuo chako kimekuwa cha mwisho lakini huo ndio ukweli.
 
kanda2,

..nakubaliana na wewe na wachangiaji wengine kwamba ni lazima kufanya uchunguzi wa kina kabla haujajiunga na chuo kikuu chochote-- ndani au nje ya nchi.

..katika mazingira ya ushindani wa ajira yalivyo Tanzania nashauri watu wasome ktk vyuo vinavyofundisha kwa Kiingereza. kwa wale wanaopelekwa shule na waajiri wao kupitia wafadhili[Norad,Danida,..] wanaweza kwenda popote.

Zakumi said:
Watu wanasoma tu hili wafaulu na ndio maana inakuwa vigumu kufanya maamuzi. Na ndio maana watu wanakuwa na digrii mbalimbali na kuhamua kujiita wachumi kwa sababu aliwahi kunusa uchumi.

Zakumi,

..kuna wasomi wanahitimu na double-major au minors, mfano: Economics and Maths, Accounting and Finance, Civil Engineering and Enviroment etc etc.

..wako wengine, na mifano imetolewa hapa wanafanya Advanced degree in fields that are different from their 1st degree. tumesikia mifano ya MBAs waliosoma Medicine,Engineering,Pharmacy etc.

..katika mazingira kama niliyoyaeleza hapo juu, sidhani kama hizo titles zina uzito sana. maendeleo ya science and technology yameibua fields mpya kabisa. nimesoma kuna wataalamu wanaitwa Financial Engineers!!! kinachoangaliwa ktk dunia ya leo ni nini mtaalamu anaweza kufanya, and it doesnt hurt to specialize in more than one field.
 
Last edited:
kanda2,

..nakubaliana na wewe na wachangiaji wengine kwamba ni lazima kufanya uchunguzi wa kina kabla haujajiunga na chuo kikuu chochote-- ndani au nje ya nchi.

..katika mazingira ya ushindani wa ajira yalivyo Tanzania nashauri watu wasome ktk vyuo vinavyofundisha kwa Kiingereza. kwa wale wanaopelekwa shule na waajiri wao kupitia wafadhili[Norad,Danida,..] wanaweza kwenda popote.

Zakumi,

..kuna wasomi wanahitimu na double-major au minors, mfano: Economics and Maths, Accounting and Finance, Civil Engineering and Enviroment etc etc.

..wako wengine, na mifano imetolewa hapa wanafanya Advanced degree in fields that are different from their 1st degree. tumesikia mifano ya MBAs waliosoma Medicine,Engineering,Pharmacy etc.

..katika mazingira kama niliyoyaeleza hapo juu, sidhani kama hizo titles zina uzito sana. maendeleo ya science and technology yameibua fields mpya kabisa. nimesoma kuna wataalamu wanaitwa Financial Engineers!!! kinachoangaliwa ktk dunia ya leo ni nini mtaalamu anaweza kufanya, and it doesnt hurt to specialize in more than one field.

Jokakuu,

Financial Engineers unamaanisha nini? Tueleweshane tu.
 
Kuhusu Kiingereza. Mtu aliyesoma shule ya msingi, Sekondari a high school Tanzania ni lazima a-grasp kiingereza. Hivyo digrii ya kwanza inawezwa kusoma katika lugha yoyote hile.

Watanzania ni miaka mingapi tunajifunza kiingereza kabla ya kwenda vyuoni? Miaka zaidi ya kumi.

Pamoja na kusoma zaidi ya miaka kumi bado tunachapia. Na sababu kubwa ni misingi mibovu katika elimu ya msingi na sekondari. Nilisoma digrii katika lugha isiyo ya kiingereza. Nili-struggle, lakini niliyosoma ni primier katika nchi hile. Hivyo exposure niliyopata pale ilikuwa kubwa. Na kama ningetaka exposure hiyo katika chuo kinachofundisha kiingereza basi pesa nyingi sana zingenitoka.

Kuhusu digrii ni lazima tutofautishe. Kuna professional digrii na academic digrii.

MBA ni professional digrii. Kigezo kikubwa katika MBA ni digrii ya kwanza. Na katika vyuo vingine ni digrii ya kwanza na uzoefu wa kazi. Lengo la MBA ni kuandaa viongozi. Hivyo viongozi wanatoka katika fani mbalimbali.

Katika Academic digrii, uhusiano wa digrii unazosomea ni lazima uwepo. Katika vyuo vyote vikubwa uchaguzi wa mwanafunzi kujiunga na Masters au Phd. autegemehi sana uwezo wa mwanafunzi kulipa ada. Unategemea sana academic credentials na uamuzi wa graduate school au department.
 
Back
Top Bottom