Mkuu ni saa 11 au saa 10? maana kuna mtu yuko mlangoni anasema wanaingia ukumbini saa kumiUWONGO!
Ni mpaka saa 11 jioni ya leo (mida ya Tanzania) ambapo CCM watampigia kura mmoja wa watatu ambaye ndiye atakuwa mwakilishi wa CCM kwenye uchaguzi wa urais wa Zanzibar 2010
Wakuu, kutokana na muafaka mgombea urais atakayeshindwa anakuwa waziri kiongozi.
Kama Shein atashindwa na seif, Shein anakuwa Waziri kiongozi. kwa Protokali, Waziri Kiongozi ni mdogo sana kwa makamu wa Rais. Hapo naona Shen kuchanaganyikiwa na hasa ukitilia maanani bosi wake sasa ni Seif. Sidhani kama Shein alilifikiria hili.
Mgombea mwenza wa JK sio Salim Ahmed Salim?Mie nadhani hapo Bilal ataambiwa awe mgombea mwenza JK na hivyo atapunguza msuguano Zenji. Wakati Shein ataukwaa urais wa Zenji. Wakishashinda then Bilal watakuja kumuweka pembeni mbeleni.
Haitatokea! Kwa chama chenyewe CCM. Yeye si katika wao. Km hatampata katika hao walioomba kugombea Urais Zenji atafanya km Mkapa kwenda kumtafuta mtu asiyefahamika katika siasa ili iwe rahisi kumcontrol.Mgombea mwenza wa JK sio Salim Ahmed Salim?
Breaking news!
Dr Mohamed Gharib Bilal nje,Dr Ali Mohamed Shein MGOMBEA ZNZ.
Mzee The Good wakati unaogelea kujiokoa kwenye jahazi linalozama unachoangalia kwa wakati huo ni kama utafika salama ufukweni huangalii kama utatoka ufukweni na kikoi ua bila kikoi utakapofika ufukweni ndipo utajitambua kuwa uko uchi, kwa hiyo kazi moja ya Shein kwanza ni kuhakikisha anapita mchujo mambo ya protokali baadae.Wakuu, kutokana na muafaka mgombea urais atakayeshindwa anakuwa waziri kiongozi.
Kama Shein atashindwa na seif, Shein anakuwa Waziri kiongozi. kwa Protokali, Waziri Kiongozi ni mdogo sana kwa makamu wa Rais. Hapo naona Shen kuchanaganyikiwa na hasa ukitilia maanani bosi wake sasa ni Seif. Sidhani kama Shein alilifikiria hili.
breaking news!
Dr mohamed gharib bilal nje,dr ali mohamed shein mgombea znz.
Breaking news!
Dr Mohamed Gharib Bilal nje,Dr Ali Mohamed Shein MGOMBEA ZNZ.
aisee....... yetu maskio yaani huyu mzee chali tena kwa mara ya pili? duh shughuli pevu huko.
1.kama ndio hivyo,kilichomwangusha mzee bilali nadhani uvumi kuwa anakimbilia urais.....tofauti na maneno ya nyerere kuwa ikulu si mahali pa kupakimbilia....inatakiwa unyatie kidizaini....kama vile hutaki vileeeeee!!!!!!?breaking news!
Dr mohamed gharib bilal nje,dr ali mohamed shein mgombea znz.
Mkutano mkuu hauchagui mgombea unapitisha jina lililoletwa toka NEC kwa kura ya ndiyo au hapana, majina matatu yameshapitishwa na kamati kuu CC kinachoendelea sasa ni kikao cha NEC kinachochagua jina moja kati ya matatu yaliyopitishwa na CC kulipeleka kwenye mkutano mkuu kesho.majina matatu tu ndo yaliyopitishwa na mkutano wa kumpitisha huyo mgombea mmoja ni kesho, hizo ndo habari rasmi, chukuwa hiyo toka jikoni