Mkkj,
..kwa tabia zake za upendeleo kwa wa-Zenj zilizojionyesha alipokuwa Katibu Mkuu wa wizara ya elimu ya juu ni bora Dr.Bilal akabakia hukohuko Zenj.
I could not agree with u more thanks mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkkj,
..kwa tabia zake za upendeleo kwa wa-Zenj zilizojionyesha alipokuwa Katibu Mkuu wa wizara ya elimu ya juu ni bora Dr.Bilal akabakia hukohuko Zenj.
Kwa hiyo nini future ya Karume (raisi wa sasa wa Zanzibar)?
duh.. huyu nilishamsahau.. nilifikiria ukitoka Urais wa Zanzibar anaenda kuretire tu.. ila last year alikuwa anapitishwa pitishwa sana bara kwenye shughuli shughuli so.. yawezekana kabisa ndiyo atakuwa mgombea mwenza.
Mimi nafikiri wamefanya kosa kubwa kumuweka Shein kule kugombea. Hili litakiwa libakia kuwa la kina Bilal, Vuai na wengine huko.. lakini kwa kumuweka Shein wamekoroga tu kwa sababu Vuai is controversial kwenye masuala ya Muungano.. binafsi simtaki.
There are currently 250 users browsing this thread. (69 members and 181 guests)
Obuntu,Njilembera,Ndamwe,SILENT WHISPER,KEIKEI,Shagihilu,MawazoMatatu,Gaijin,Kingwele,Easymutant,chapa,Eddie,Saharavoice,kipipili,De javu,Limbani,Jasusi,mwandupe,Mama 5J's,Roya Roy,nguvumali,Awo,Hofstede,lyangalo,Natasha Ismail,Belo,Mganyizi,Kinyambiss,ELNIN0,Mkaguzi,Mathias,Kiazi Kikuu,Akili Unazo!,Liz Senior,Jituoriginal,Marigwe,Butola,BornTown,Chiluba,Mike-Austin,Arsene Wenger,Domhome,Ngongo,hope 2,Chacha wa Mwita,Sabasaba,MJM,nyabina,Bob Nash,kashwagala,Thadeus,N-handsome,Kaitaba,Middle,DOUGLAS SALLU,Kyachakiche,Dfour,RedDevil,kasyabone tall,Mess,The Good,KAPONGO,care4all,abdu,Mkungo,m-bongotz,Shalom,
Jamani.. basi muwe mnafuatilia ratiba ya kutangazwa wagombea.. lililofanyika leo ni kuwasikiliza watarajiwa, kuwachuja na kubakisha majina matatu ambayo yatapelekwa kwenye NEC kupigiwa kura na Mkutano Mkuu itakapofika J'pili ndiyo utatangaza for sure wagombea wake wote ikiwepo mgombea mwenza wa JK. Mimi niko interested zaidi kujua nani atakuwa mgombea mwenza kwa sababu kama Shein atakuwa mgombea wa Zanzibar Dr. Bilal anaweza kuwa Mwenza wa Kikwete.. sidhani kama watamtupa safari hii lazima atoke na consolation prize.
Binafsi naamini tunamhitaji Bilal zaidi kwenye Muungano kuliko wanavyomhitaji Zanzibar
Future ya nini tena wakati atakuwa mstaafu, kwani future ya mstaafu ni nini. au mpaka afie ofisini? ameshakuwa rais kwa miaka kumi that is enough. Kwani future ya Salmini ilikuwa nini?Kwa hiyo nini future ya Karume (raisi wa sasa wa Zanzibar)?
Mkuu Invisible,
Ni saa 12 jioni Tanzania na:
Note: Mbona Wageni ni WENGI zaidi?
Jamani!
Kichwa cha habari kimenistua sana.ATI "MZEE WA MIKASI"........ nilishtuka kidogo!
Mkulima.. lakini ni Mkutano Mkuu wa CCM ndio unapiga kura kumchagua nayo ni kesho.. maana NEC ilikuwa ichuje majina matatu tu au ndio wamebadili utaratibu tena?
je kuna taarifa yoyote mpya kabisa kutoka Dodoma.