Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Kwa hiyo mkuu at a distance of 20km unaweza kuiona taa na kujua ile ni 'balbu, kibatali, chemli au mshumaa'?Kuna tofauti kati ya taa na mwanga bwashee!
Nimesema unaiona taa kwamba ni balbu, kibatali, chemli au mshumaa........uwe unaelewa!
pale bandarini zanzibar pana mambo yanakera sana. Kuna uuzaji wa tiketi za ulanguzi kwa uwazi kabisa hasa tunaotaka usafiri wa Dar, hii inaumiza sana na ni kero mojawapo kwangu. Unaweza kulazimika kununua ticket kwa 50,000/= wakati ulitaka economy class 25,000/=
Mkuu hadi descending and landing time is included in my hypothesis...Flight gani hiyo?
Haifiki hata 10 minutes
Ndio ujue Unguja ni karibu sana pengine pungufu sana ya 20km ukitokea Ununio!Kwa hiyo mkuu at a distance of 20km unaweza kuiona taa na kujua ile ni 'balbu, kibatali, chemli au mshumaa'?
If that is the case then I commit to respect your ability!
Epuka kutetea ujinga hata kama unafaidika kupitia ujinga huo. Utaratibu huo mbovu na unapaswa ukomeshwe mara moja. Cancellation ifanywe katika ofisi husika, si vinginevyo ili tiketi ziuzwe kwa mfumo wa wait list na kwa taarifa sahihi. Je John akinunua tiketi ya Juma then likitokea la kutokea, John ataweza je kuthibitishwa kama alisafiri? Kuuza tiketi kwa njia ya kulangua ni mfumo wa kijinga na wa kimaskini vilevile. Yumkini hiyo syndicated ni "formal", lakini kwa awamu hii itavunjwa tu. Ni suala la muda.Ni uzembe wako tu,tickets unatakiwa uwahi kabla hazijaisha,hizo za economy ya 25,000 unayouziwa ni ya watu walicancel safari zao na kuwapa walanguzi sasa kwasababu we umechelewa na unataka kusafiri inabidi wakuuzie maana kule ofisini nafasi zimeshaisha .
Kwahiyo hapo usimlaumu Dr Shein wala azam ni uzembe wako wa kutokufanya booking mapema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni serikali maskini kupita zote afrika, ama pesa zipo zinaishia mikononi mwa vigogo[emoji23][emoji23][emoji23]hatuna barabara hapa Zanzibar zaidi ya mashimo,usiombe ije mvua, kuna siku shein alisema serikali haina fedha za kuziba mashimo [emoji3]
Kununua ticket ya ulanguzi ni maamuzi ya mtu mwenyewe.Epuka kutetea ujinga hata kama unafaidika kupitia ujinga huo. Utaratibu huo mbovu na unapaswa ukomeshwe mara moja. Cancellation ifanywe katika ofisi husika, si vinginevyo ili tiketi ziuzwe kwa mfumo wa wait list na kwa taarifa sahihi. Je John akinunua tiketi ya Juma then likitokea la kutokea, John ataweza je kuthibitishwa kama alisafiri? Kuuza tiketi kwa njia ya kulangua ni mfumo wa kijinga na wa kimaskini vilevile. Yumkini hiyo syndicated ni "formal", lakini kwa awamu hii itavunjwa tu. Ni suala la muda.
Kwani vingapi vimejengwa bwana Mbona una maswali ya ajabu ajabu, unapojenga nyumba yako, haina maana wewe mwenyewe ulishika tofali na uka jenga Bali uligharamia kila kitu... Hiyo ndiyo dhana ya kujenga haijalishi watajenga wachina au Taifa lingine lolote lile ili mradi Serikali yetu imegharamia hata iwe kwa mkopo basi IMEJENGA.....Mr What,
Nadhani unakosa uelewa wa 'kujengewa' na 'kujenga.'
Unataka akujengee daraja kama hilo wewe kama nani?
TAZARA was an exception; and that was then; this is now!
Basi hukujua kujieleza katika bandiko lako la mwanzo.Kwani vingapi vimejengwa bwana Mbona una maswali ya ajabu ajabu, unapojenga nyumba yako, haina maana wewe mwenyewe ulishika tofali na uka jenga Bali uligharamia kila kitu... Hiyo ndiyo dhana ya kujenga haijalishi watajenga wachina au Taifa lingine lolote lile ili mradi Serikali yetu imegharamia hata iwe kwa mkopo basi IMEJENGA.....
Sasa kwanini unalaumu Kampuni yenye Boti? Wao wameuza ticket kwa Juma.Wewe John unaenda kununua ticket ya Juma. Ukifika getini ukipita unaanza kulaumu watu wa getini kwanini wamekuruhusu upite kwa ticket ya Juma. Wakikuzuia usipite pia unaanza kulaumu kwanini wakuzuie wakati ticket umenunua kwa huyo Juma?Sijajua uzoefu ulionao kwenye eneo hilo la tiketi za kulangua. Tatizo watu mazowea yamewafanya muwe "rigid" hata kwa vitu vyenye kulenga kuboresha huduma na kuleta ustawi kwa wananchi. Kumbuka huyo John anayetumia tiketi ya Juma anapanda kwenye boti ya huyohuyo aliyetoa tiketi, na tiketi haikatwi mpaka pawepo na ID ya abiria, anapandaje kwenye boti hali ya kuwa yeye siye Juma? Kwanini uongozi wa boti usihusike? Kwanini maofisa wanaokagua abiria wasiwajibishwe?
Sidhani kama zile tiketi zinazolanguliwa ni za abiria halisi waliocancel safari zao. Chunguza vizuri.
Itakuwa mzito kuelewa ndugu. Kwanini mfumo huo wa ulanguzi wa tiketi haupo kwenye ndege?Sasa kwanini unalaumu Kampuni yenye Boti? Wao wameuza ticket kwa Juma.Wewe John unaenda kununua ticket ya Juma. Ukifika getini ukipita unaanza kulaumu watu wa getini kwanini wamekuruhusu upite kwa ticket ya Juma. Wakikuzuia usipite pia unaanza kulaumu kwanini wakuzuie wakati ticket umenunua kwa huyo Juma?
Hivyo ndio watu walivyo. Hakuna jema utakalolifanya wakakosa kulikosoa.
Haraka zako ndio zinakufanya uuziwe ticket za ulanguzi. Mimi kila siku naenda kwa aliekuwa authorized agent au ofisi zao wenyewe Azam. Sinunui ticket nje ya ofisi, kwanini wewe ununue nje ya ofisi inayotambuliwa? tuanzie hapo kwanza.
hamna kitu kama hicho. wangeanza kwanza kulipa deni la mkulima aliyeikamata ndege yetu na kutudhalilishaWakijenga zenji nitakuwa naenda kwa mguu au bodaboda
Wivu wa kijinga bakiza huko huko failed state.hamna kitu kama hicho. wangeanza kwanza kulipa deni la mkulima aliyeikamata ndege yetu na kutudhalilisha