Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

mwisho wa siku,, tuko na kitu cha kuonesha. Mturuki alipotea porini na mpaka sasa hajulikani aliko
Kapotea according to mtu anayesumbuliwa na wivu baada ya mchina kuwaingiza mkenge kwa kuwaletea mikebe ya changaa.
 
Kapotea according to mtu anayesumbuliwa na wivu baada ya mchina kuwaingiza mkenge kwa kuwaletea mikebe ya changaa.
cheki,, nyinyi sio wa kuonewa wivu... nyinyi ni wa kuhurumiwa tu na wala usininukuu vibaya. yaani munatia huruma kwa kipande cha 200km ambacho mpaka sasa hakijulikani kilipofikia. mulidhani kujenga reli ni kama kugawanya mapaipai?
 
Badala uhurumie mitungi yenu ya changaa inayopiga hasara, 60s technology, reli isiyoenda popote iliyoishia porini, mmepigwa pesa nyingi,
Ni kama hiyo reli yenu ilikuwa kwenye karakana kule china wakaona waje wawakamatishe washamba nyie 😂😂😂

Rais wa Zanzibar Mh Dr Shein amesema kabla hajamaliza muhula wake wa uongozi atahakikisha sheria ya kuwatambua Wazanzibari (Watanzania wanaoishi nje ya nchi inakuwepo).

Pia Msemaji wa Zanzibar amesema mipango ya kujenga daraja la kuiunganisha Zanzibar na Tanzania bara imekamilika na taratibu za zabuni mbalimbali zinafanyiwa kazi.

Chanzo: Star Tv Habari

Maendeleo hayana vyama!
Hao waheshimiwa wapiti huu uzi
 
Mwenyekiti wa Baraza la Diaspora Duniani(TDC Global)Norman Jasson amesema kuwa Watanzania waishio Nchi za nje (Diaspora)wapo kwenye mkakati wa kujenga daraja lenye urefu wa takribani Kilomita 30.01 kutoka DSM hadi Zanzibar .
_
Kwa sasa wanasubiri Baraka za Serikali ili kuanza upembuzi yakinifu ili kujua gharama za ujenzi wa daraja hilo, Daraja hilo litakuwa na njia 3, moja ni kupitisha magari yanayotoka DSM kwenda Zanzibar na njia ya pili ni magari yanayotoka Zanzibar kuja DSM na njia ya tatu ni kwa ajili ya watembea kwa miguu na waendesha baiskeli.
_
Mapendekezo matatu ya ujenzi wa Daraja hilo yametolewa ambayo ni moja, kujenga Daraja la kupita ndani ya Bahari, pili Daraja la kupita juu na tatu ni daraja linaloelea majini ambalo ndilo lililopendekezwa na ujenzi wake ni rahisi maana hutengenezwa Nchi Kavu na kusafirishwa na Meli na kisha kuunganishwa.
_
Daraja la ndani ya maji halikuchaguliwa kwasababu ndani ya maji DSM badi Zanzibar kuna mkondo wa maji na maporomoko, Daraja la juu halikuchaguliwa kwasababu Bahari ya Hindi eneo hilo kuna kina kirefu, Daraja la kuelea limechaguliwa kwasababu ujenzi wake ni rahisi na gharama zake ni nafuu na garantii yake ni miaka 100.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuachege ujinga.Hao diaspora wajenge daraja kutoka magomeni mpaka posta via jangwani.Hayo ya Zanzibar ni kutafuta pride ambayo haina maslahi kwa Watanzania wengi.Kama vipi watafute speed boat kubwa zaidi na nauli iwe bei nafuu maybe 7000/=.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein, amewahakikishia wanadiaspora kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itasimamia na kuhakikisha kuwa sheria ya Diaspora inakamilika kabla ya mwezi Mei, 2020.

Amemshirikisha yule wa kule!!? Au ndiyo kuelekea kuwasha vibatari na kuachana na umeme wa masimango
 
kweli kumbe Bara mpaka Kisiwa cha Zanzibar ni 23miles au 35km
yanawezekana hayo ya daraja la 36km
lkn wenzetu hasa waOman watanuna hao!!!! maana visiwa vyao
nimeikuta mahali hii kitu

Mkuu hao waoman unawafaham?
 
Ukileta Uchadema, Uccm, UAct etc unadefeat hoja na kutanguliza tofauti zetu za Kisiasa. Hebu tujadili hoja tafadhari.
 
Your comment shows how short minded you are. Kwanini isiwezekane daraja kujengwa kati ya Zanzibar na Tanzania Bara? Kwasababu Chadema imeshindwa kujenga ofisi za chama unafikiri basi wengine hawawezi kufanya mambo makubwa?
Katafute mavi ya kuku ubanje!
Watu hawana kijio,wewe watakajenga daraja?
Au ndo mushaanza kampeni zenu CCM
Chimbeni mafuta ya Zanzibar na gesi tuate kazi na Uchumi kwanza
Kelbu n,ye lussu,
Tokani na Vundo lenu la Koya okoo.
Kutinwana wengine bado ,mutajenga daraja?
 
DAR TO ZANZIBAR DARAJA.jpg

Mwenyekiti wa Baraza la Diaspora Duniani (TDC Global) Norman Jasson amesema kuwa Watanzania waishio Nchi za nje (Diaspora) wapo kwenye mkakati wa kujenga daraja lenye urefu wa takribani Kilomita 30.01 kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar.

Kwa sasa wanasubiri Baraka za Serikali ili kuanza upembuzi yakinifu ili kujua gharama za ujenzi wa daraja hilo, Daraja hilo litakuwa na njia 3, moja ni kupitisha magari yanayotoka DSM kwenda Zanzibar na njia ya pili ni magari yanayotoka Zanzibar kuja DSM na njia ya tatu ni kwa ajili ya watembea kwa miguu na waendesha baiskeli.

Mapendekezo matatu ya ujenzi wa Daraja hilo yametolewa ambayo ni moja, kujenga Daraja la kupita ndani ya Bahari, pili Daraja la kupita juu na tatu ni daraja linaloelea majini ambalo ndilo lililopendekezwa na ujenzi wake ni rahisi maana hutengenezwa Nchi Kavu na kusafirishwa na Meli na kisha kuunganishwa.

Daraja la ndani ya maji halikuchaguliwa kwasababu ndani ya maji DSM badi Zanzibar kuna mkondo wa maji na maporomoko, Daraja la juu halikuchaguliwa kwasababu Bahari ya Hindi eneo hilo kuna kina kirefu, Daraja la kuelea limechaguliwa kwasababu ujenzi wake ni rahisi na gharama zake ni nafuu na garantii yake ni miaka 100.
 
Duh! Mkuu MziziMkavu pamoja na kuishi nje miaka yote hii ila hili limenipita,Ngoja nifuatilie kujua ukweli..

Mbona Shida za Watanzania ni zaidi ya Daraja!!

Yani Afya,Maji,Umeme,Elimu..nk si Kipaumbele !! Duh!
 
Back
Top Bottom