Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara

Baba zao na mama zao wanakufa huku, wanashindwa kuja kuzika sababu hawana nauli. Uwezo wa kujenga Hilo daraja wanapata wapi?
Wanafia huko nje, maiti zinakaa miezi nane ndipo ziletwe bongo.
Wanashindwa kusaidiana wakati wa dhiki watawezaje kujitolea daraja na wao wamechoka?
 
Weka picha ya daraja la kuelea tuione
 
Wakifarikigi huko abroad pesa za jeneza na kuwasafirisha mbinde, leo eti wanataka kujenga daraja!
 
Its an idea, why not?! Kwanini tuko wepesi kuponda mawazo ya watu?! Kwani kutoa mada kama hii ni dhambi au kosa la jinai?!
 
Wakifarikigi huko abroad pesa za jeneza na kuwasafirisha mbinde, leo eti wanataka kujenga daraja!
Umenikumbusha miaka kama mitatu imepita kuna jamaa alifia France haaaa haaaa kusafirisha mwili wake ilikuwa inshu ilibidi Ndugu zake huku bongo wachangishane ili kuongezea pesa ya kuleta mwili sasa hilo daraja wanajenga kwa pesa gan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jambo lingine nyuma yake subirini.....hao wabeba ma box wanao fanya 'odd jobs' kule hawana uwezo wa kua organised kiasi hicho kabisa kuna bepari analetwa kwa mgogo wa diaspora abinafusishiwe akusanye pesa yake miaka yote, anataka kuzima kalele za raia tu, namna hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo halitaweza kutokea hata miaka 100,
Walikuwa wamekosa cha kuongea tu

Sent using i phone x
 
Aisee wajenge daraja kama la kigamboni au la salenda ilo la kuelea au chini ya maji kwa TZ tunaweza kuua watu,njia tatu ni design nzuri sana.

Hapo safi diaspora tungependa muongeze ufatiliaji maana watu wa serikalini hawatafuatilia kwa nguvu kwasababu hawana 20% hapo.
 
Pia Msemaji wa Zanzibar amesema mipango ya kujenga daraja la kuiunganisha Zanzibar na Tanzania bara imekamilika na taratibu za zabuni mbalimbali zinafanyiwa kazi.
Jengeni ile Banda ri ya Mpiga duri kwanza ikiwa nyinyi ni wa kweli na wenye Mapenzi na Zanzibar.
Inavyo onesha Br. Shein kashindwa kusimamia Ahadi zake za Uchaguzi alizo toa wakati wa kampeni,
Alisahau kuwa Tanganyika ndo walio muweka madarakani,na maamuzi ya nini afanye yako kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…