Dr. Shika aanza kuonesha makucha baada ya kupokea zaidi ya Tzs 130bn

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Dr. Louis Shika Kid amepokea sehemu kidogo ya mpunga wake $60m kama shilingi bilioni 130 na zaidi za madafu. Dr. Shika amesikika akisema ''Tutaelewana''. Sasa amehama makazi na sasa anaishi makazi bora kabisa ambayo ni ghorofa ambalo kwa ndani linaonesha si haba.

Mkuu,,,hiyo ID yako inaonekana ulifnya research kubwa,,[emoji23]
 
Ukiona wanaanza kumpa dr Shika promo basi ujue kuna kitu kitaibuka au kimeshaibuka serikalini alafu wanataka kuwapumbaza watz coz watz wengi ni watu wa matukio.

Tumelaaniwa walaaah
 
Wamemtumia weee wameshindwa kumpa hata ka baby walker...
Wanaanza tena.

Halafu ukiisikiliza ile interview ya kusafirisha hela kutoka Airport - BOT - ECO Bank head office - ECO Bank branch unajua tu ni famba.

Kama una account ECO Bank Branch A, hela ikienda Head Office ambapo pana Branch unadeposit hapo hapo.
 
Huyu aache ujinga wake huku anawahusisha Waziri Mkuu Na Raisi wa nchi. this is too much
 
Halafu ukiisikiliza ile interview ya kusafirisha hela kutoka Airport - BOT - ECO Bank head office - ECO Bank branch unajua tu ni famba.

Kama una account ECO Bank Branch A, hela ikienda Head Office ambapo pana Branch unadeposit hapo hapo.
Namuonea huruma huyu baba...
Nilikutana nae mahali yupo poa sana kuongea na watu nadhani hawa mafisadi ndio wanachukua hiyo advantage kumtumia kwa maslahi yao binafsi.
 
Back
Top Bottom