Mayonene
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 1,595
- 1,419
Halafu ukiisikiliza ile interview ya kusafirisha hela kutoka Airport - BOT - ECO Bank head office - ECO Bank branch unajua tu ni famba.
Kama una account ECO Bank Branch A, hela ikienda Head Office ambapo pana Branch unadeposit hapo hapo.
Ni ujinga tu. Pesa haiwezi kuja hapa nchini bila benki kuu kuwa na taarifa. Ukiileta hivyo lazima ikamatwe airport mpka taratibu zikamilike yule dada wa uganda mna kumuka kilichomkuta tena kwa $1m pekee. Eti una move physical money to BO ikaweverified. Then una peleka makao makuu ya benki nao waka verify. Halafu sasa unapeleka branch kudeposit. hata ,mbwa wangu huwezi kumdanganya hivyo asikubwekee.