Dr. Shika aanza kuonesha makucha baada ya kupokea zaidi ya Tzs 130bn

ILA PAMOJA NA KWAMBA KAMA NI KWELI YULE JAMAA ANA ZERO BRAIN ILA AMEFANIKIWA KUWAKAMATA WASOMI WENGI WA DAR ES SALAAM NA HATA TANZANIA KWA UJUMLA WAKE.WEW JAMAA KAWAKAMATA WAUZA NGADA, KAWAKAMATA WALIOTELEKEZA WATOTO,KAMKAMATA GWAJIMA NA MBOWE, KAMKAMATA RUGE WA CLOUDS NA MEDIA YOTE, KAWAKAMATA WABUNGE NA MAWAZIRI, KAWAKAMATA WATUMISHI WA UMMA MKOANI KWAKE AISEE HUYU JAMAA NI HATAREEEE. COMENT NANI UNATAKA AWE RAIS WAKO AJAE BAADA YA MAGU (2034.....) MIMI NAANZA NA DAB
 
ILA PAMOJA NA KWAMBA KAMA NI KWELI YULE JAMAA ANA ZERO BRAIN ILA AMEFANIKIWA KUWAKAMATA WASOMI WENGI WA DAR ES SALAAM NA HATA TANZANIA KWA UJUMLA WAKE.WEW JAMAA KAWAKAMATA WAUZA NGADA, KAWAKAMATA WALIOTELEKEZA WATOTO,KAMKAMATA GWAJIMA NA MBOWE, KAMKAMATA RUGE WA CLOUDS NA MEDIA YOTE, KAWAKAMATA WABUNGE NA MAWAZIRI, KAWAKAMATA WATUMISHI WA UMMA MKOANI KWAKE AISEE HUYU JAMAA NI HATAREEEE. COMENT NANAI UNATAKA AWE RAI WAKO AJAE BAADA YA MAGU.MIMI NAANZA NA DAB
ni kwasababu anatumia dola na anamtumia boss wake lakini yana mwisho na pia hakutumia akili ameaibika saaaaaana
 
ILA PAMOJA NA KWAMBA KAMA NI KWELI YULE JAMAA ANA ZERO BRAIN ILA AMEFANIKIWA KUWAKAMATA WASOMI WENGI WA DAR ES SALAAM NA HATA TANZANIA KWA UJUMLA WAKE.WEW JAMAA KAWAKAMATA WAUZA NGADA, KAWAKAMATA WALIOTELEKEZA WATOTO,KAMKAMATA GWAJIMA NA MBOWE, KAMKAMATA RUGE WA CLOUDS NA MEDIA YOTE, KAWAKAMATA WABUNGE NA MAWAZIRI, KAWAKAMATA WATUMISHI WA UMMA MKOANI KWAKE AISEE HUYU JAMAA NI HATAREEEE. COMENT NANI UNATAKA AWE RAIS WAKO AJAE BAADA YA MAGU (2034.....) MIMI NAANZA NA DAB
Ukitaka kujua tabia halisi ya mwanadamu mpe vitu viwili tu.
1.Fedha/pesa
2.Mamlaka/Madaraka
 
Nikweli..Na kuna video IPO YouTube ..

KUNA MUAMALA UNAFANYIKA KWA NAMNA ILIVYOELEZWA HALAFU DOLA 290 IWE YA KULIPA IMF ? FEDHA INAKAGULIWA NA BOT HALAFU ECO BANK NAO WANAIKAGUA? VINOO VYA DHAHABU VINASAFIRISHWA ILI AJE KUPEWA DR. SHIKA ,MBONA STORI ZINGINE HAZISTAHILI HATA KULETWA MBELE YA JUKWAA.
 
ILA PAMOJA NA KWAMBA KAMA NI KWELI YULE JAMAA ANA ZERO BRAIN ILA AMEFANIKIWA KUWAKAMATA WASOMI WENGI WA DAR ES SALAAM NA HATA TANZANIA KWA UJUMLA WAKE.WEW JAMAA KAWAKAMATA WAUZA NGADA, KAWAKAMATA WALIOTELEKEZA WATOTO,KAMKAMATA GWAJIMA NA MBOWE, KAMKAMATA RUGE WA CLOUDS NA MEDIA YOTE, KAWAKAMATA WABUNGE NA MAWAZIRI, KAWAKAMATA WATUMISHI WA UMMA MKOANI KWAKE AISEE HUYU JAMAA NI HATAREEEE. COMENT NANI UNATAKA AWE RAIS WAKO AJAE BAADA YA MAGU (2034.....) MIMI NAANZA NA DAB

Lazima amekufumua jana ila sidhani maana hana hiyo jeuri
 
Watanzania ukichaa huwaishi kabisa...yani huyu mgonjwa aliwadanganya mwanzo na sasa ana wadanganya tena wana kubali hahahaha
Dr Shika endelea kuwalaghai matahira
 
Ndiyo maana CCM ameendelea kutuongoza miaka yote kwa kutudanganya.
 
Back
Top Bottom