Mimi nilikuwa nimeacha kuingia mitandao ya CH na Maria Space lakini aliyenirudisha ni Dr.Slaa Mzee wetu huwa ni muwazi kama Lissu.Mzee yuko vizuri sana
Endelea kuelewa visunguraKatika vitu nashukuru ni kukataa ulevi wa dini.
Hawasomei ndio lakini watu makini wanapitia coaching za kitalaam kama akina Obama, Macron, Angela Mark, Putin, etc.Kikwete aliwahi sema Uraisi hausomewi
Slaa hayo ya kusomea uraisi kayatoa wapi?.
Maraisi wote wa Tanzania hakuna aliyewahi kusomea uraisi
Wazungu wimtapeli Slaa kumsomesha elimu feki.yenye cheti feki
Huko Nyuma hatukuwa tumemwelewa mpaka Lissu alipoamua kugombea Uenyekiti Mambo yamekuwa wazi sanaMimi nilikuwa nimeacha kuingia mitandao ya CH na Maria Space lakini aliyenirudisha ni Dr.Slaa Mzee wetu huwa ni muwazi kama Lissu.
Acha kudumaza akili zako kwenye udiniPadre awe rais,never..
Dr.Slaa ni kama alizulumiwa nafasi yake ya kugombania Uraisi wa Tanzania.Huko Nyuma hatukuwa tumemwelewa mpaka Lissu alipoamua kugombea Uenyekiti Mambo yamekuwa wazi sana
Unamdanganya nani!?..tz hatuwezi ruhusu padre awe rais,kwa akili zao zile za akina kitima zilizojaa chuki, neverAcha kudumaza akili zako kwenye udini
Varican ni nchi kama nchi nyingine yoyote ulaya. Viongozi wa mataifa mengine huenda huko kwa mialiko ya kidiplomasia.Unajua kwanini Kila Rais duniani akichaguliwa lazima aende Vatican? Hata Mama alienda?
Uongo mtupu...Shallom.
Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni.
Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV.
Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua wakati wa Mapambano Chini ya Ukawa 2015.
Kiukweli mambo mazito yaliwekwa wazi kwenye interview ile.
Dr Slaa amepata nafasi ya kuweka wazi yoote yaliyojiri hadi akaamua kukimbilia Canada kwa msaada wa Balozi wa Kanad na sio kwa msaada wa CCM kama tulivyoaminishwa hapo awali.
Amedai kuwa Kamati na Mifumo husika ilimwandaa kugombea na Kuwa Rais wa JMT. Mifumo hiyo ilimpeleka kwenye mafunzo ya kujiandaa kuongoza Nchi.
Mafunzo hayo yalifanyika chini ya magwiji wa Trainings za Marais akiwemo Mkufunzi wa Chancelor wa Ujermani Bi Angela Mark yaliyofanyika Nchini Italia.
Mambo mengi ameyazungumza interview iko Youtube.
Dr Slaa unisameehe pale nilipokuita Dr Mihogo ilikuwa ni Hasira tu na hatukuujua ukweli.
Kama visungura vitafanya nisimbague Hamis kwasababu ni Muislamu, NAENDELEA NAVYO.Endelea kuelewa visungura
Hao waliofanyiwa coaching kuna nini kikubwa sana cha maana kinachokumbukwa walichokifanya kwenye tawala zao?Hawasomei ndio lakini watu makini wanapitia coaching za kitalaam kama akina Obama, Macron, Angela Mark, Putin, etc.
Huku kwetu watu wanajiendea endea tu ndio maana tuko hapa tulipo
HahahaUongo mtupu...
Hizo ni siasa tu
Umesema viongozi wengi sana hawajaenda ila ukataja mfano mmoja tuπVarican ni nchi kama nchi nyingine yoyote ulaya. Viongozi wa mataifa mengine huenda huko kwa mialiko ya kidiplomasia.
Hii ya viongozi wote duniani kutembelea Vatican ni hekaya kama helaya nyingine.
Viongozi wengi sana duniani hawajawahi kukanyaga Vatican. Mfano mrahisi ni Xi Jinping, nchi yake haina hata mhusiano ya kidiplomasia na Vatican. Wajinga ndio waliwao na mabeberu.
KazanaKama visungura vitafanya nisimbague Hamis kwasababu ni Muislamu, NAENDELEA NAVYO.
Ukaamini kabisa maneno yake πππ. Hata ubalozi alipewa na huyo balozi ea Canada.Shallom.
Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni.
Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV.
Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua wakati wa Mapambano Chini ya Ukawa 2015.
Kiukweli mambo mazito yaliwekwa wazi kwenye interview ile.
Dr Slaa amepata nafasi ya kuweka wazi yoote yaliyojiri hadi akaamua kukimbilia Canada kwa msaada wa Balozi wa Kanad na sio kwa msaada wa CCM kama tulivyoaminishwa hapo awali.
Amedai kuwa Kamati na Mifumo husika ilimwandaa kugombea na Kuwa Rais wa JMT. Mifumo hiyo ilimpeleka kwenye mafunzo ya kujiandaa kuongoza Nchi.
Mafunzo hayo yalifanyika chini ya magwiji wa Trainings za Marais akiwemo Mkufunzi wa Chancelor wa Ujermani Bi Angela Mark yaliyofanyika Nchini Italia.
Mambo mengi ameyazungumza interview iko Youtube.
Dr Slaa unisameehe pale nilipokuita Dr Mihogo ilikuwa ni Hasira tu na hatukuujua ukweli.
Kuwataja wote ni kupoteza muda. Katika marais 44 wa Marekani, ni 14 tu waliowahi kukutana na Papa.Umesema viongozi wengi sana hawajaenda ila ukataja mfano mmoja tuπ
HahahahUkaamini kabisa maneno yake πππ. Hata ubalozi alipewa na huyo balozi ea Canada.