Dr Slaa: 2015 Nilipelekwa Italia for Presidential Training kwa Mkufunzi wa Angela Mark wa Ujerumani, niliandaliwa Mgombea Urais

Kikwete aliwahi sema Uraisi hausomewi

Slaa hayo ya kusomea uraisi kayatoa wapi?.

Maraisi wote wa Tanzania hakuna aliyewahi kusomea uraisi

Wazungu wimtapeli Slaa kumsomesha elimu feki.yenye cheti feki
Hawasomei ndio lakini watu makini wanapitia coaching za kitalaam kama akina Obama, Macron, Angela Mark, Putin, etc.

Huku kwetu watu wanajiendea endea tu ndio maana tuko hapa tulipo
 
Mimi nilikuwa nimeacha kuingia mitandao ya CH na Maria Space lakini aliyenirudisha ni Dr.Slaa Mzee wetu huwa ni muwazi kama Lissu.
Huko Nyuma hatukuwa tumemwelewa mpaka Lissu alipoamua kugombea Uenyekiti Mambo yamekuwa wazi sana
 
Dr.Slaa ni kama alizulumiwa nafasi yake ya kugombania Uraisi wa Tanzania.

Mbowe alimchinjia mtoni Mzee wa watu na kuleta mtu anayetuhumiwa na UFISADI na RUSHWA kutokea CCM.
 
Unajua kwanini Kila Rais duniani akichaguliwa lazima aende Vatican? Hata Mama alienda?
Varican ni nchi kama nchi nyingine yoyote ulaya. Viongozi wa mataifa mengine huenda huko kwa mialiko ya kidiplomasia.

Hii ya viongozi wote duniani kutembelea Vatican ni hekaya kama helaya nyingine.

Viongozi wengi sana duniani hawajawahi kukanyaga Vatican. Mfano mrahisi ni Xi Jinping, nchi yake haina hata mhusiano ya kidiplomasia na Vatican. Wajinga ndio waliwao na mabeberu.
 
Shallom.

Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni.

Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV.

Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua wakati wa Mapambano Chini ya Ukawa 2015.

Kiukweli mambo mazito yaliwekwa wazi kwenye interview ile.

Dr Slaa amepata nafasi ya kuweka wazi yoote yaliyojiri hadi akaamua kukimbilia Canada kwa msaada wa Balozi wa Kanad na sio kwa msaada wa CCM kama tulivyoaminishwa hapo awali.

Amedai kuwa Kamati na Mifumo husika ilimwandaa kugombea na Kuwa Rais wa JMT. Mifumo hiyo ilimpeleka kwenye mafunzo ya kujiandaa kuongoza Nchi.

Mafunzo hayo yalifanyika chini ya magwiji wa Trainings za Marais akiwemo Mkufunzi wa Chancelor wa Ujermani Bi Angela Mark yaliyofanyika Nchini Italia.

Mambo mengi ameyazungumza interview iko Youtube.

Dr Slaa unisameehe pale nilipokuita Dr Mihogo ilikuwa ni Hasira tu na hatukuujua ukweli.
Uongo mtupu...

Hizo ni siasa tu
 
Hawasomei ndio lakini watu makini wanapitia coaching za kitalaam kama akina Obama, Macron, Angela Mark, Putin, etc.

Huku kwetu watu wanajiendea endea tu ndio maana tuko hapa tulipo
Hao waliofanyiwa coaching kuna nini kikubwa sana cha maana kinachokumbukwa walichokifanya kwenye tawala zao?
 
Free Dr.Slaa
artworks-000058502882-3jbg1l-t500x500.jpg
 
Varican ni nchi kama nchi nyingine yoyote ulaya. Viongozi wa mataifa mengine huenda huko kwa mialiko ya kidiplomasia.

Hii ya viongozi wote duniani kutembelea Vatican ni hekaya kama helaya nyingine.

Viongozi wengi sana duniani hawajawahi kukanyaga Vatican. Mfano mrahisi ni Xi Jinping, nchi yake haina hata mhusiano ya kidiplomasia na Vatican. Wajinga ndio waliwao na mabeberu.
Umesema viongozi wengi sana hawajaenda ila ukataja mfano mmoja tu😅
 
Shallom.

Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni.

Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV.

Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua wakati wa Mapambano Chini ya Ukawa 2015.

Kiukweli mambo mazito yaliwekwa wazi kwenye interview ile.

Dr Slaa amepata nafasi ya kuweka wazi yoote yaliyojiri hadi akaamua kukimbilia Canada kwa msaada wa Balozi wa Kanad na sio kwa msaada wa CCM kama tulivyoaminishwa hapo awali.

Amedai kuwa Kamati na Mifumo husika ilimwandaa kugombea na Kuwa Rais wa JMT. Mifumo hiyo ilimpeleka kwenye mafunzo ya kujiandaa kuongoza Nchi.

Mafunzo hayo yalifanyika chini ya magwiji wa Trainings za Marais akiwemo Mkufunzi wa Chancelor wa Ujermani Bi Angela Mark yaliyofanyika Nchini Italia.

Mambo mengi ameyazungumza interview iko Youtube.

Dr Slaa unisameehe pale nilipokuita Dr Mihogo ilikuwa ni Hasira tu na hatukuujua ukweli.
Ukaamini kabisa maneno yake 😂😂😂. Hata ubalozi alipewa na huyo balozi ea Canada.
 
Back
Top Bottom