Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Slaa amechuja
Dr.Slaa kaishasahau kama watu wanakumbuka sakata la posho.
Hiyo habari ni ya kwako bwana na wala siyo itv yani umepotosha sana na kikubwa zaidi kilicho kufanya uandike ivyo ni chuki uliyo nayo zidi ya dr slaa.
akika ninawaambieni alipangalo mungu binadamu awezi kuli...........
Surel but the situation is even good for other politicians who have a defined carrier/professional....Dr Slaa hana carrier or professional yeyote na ndio maana maamuzi mengi ndani ya chama ni kujiimarisha awepo hapo na kumfurahisha Mtei.
pity
Sio posho tu mkuu aseme anapata mshahara kiasi gani na kodi anakatwa kiasi gani. atuwekee hapo ndio tutamwamini.siasa ni ulaghai jamaa anatudanganya wakati anapiga hela kama mbunge cdm
Amevurugwa huyu kiongozi wetu
Mwaka huu mtakoma kulinga na chuki zenu. Subirini awanyowe huko Kalenga ndo mtamjua vizuri kuwa ni Dr wa ukweli na si kanjanja.Kizee kinaongopea mpaka kinasahau kilichosema.
Muulize Slaa hiyo chuki gani aliyofanyiwa na Chadema mpaka akaidai posho zote za kibunge ikiwa ni sehemu la sharti la yeye kugombea u rais!
Chadema msitufanye wa tz kuwa hatunazo kauli zenu na matendo mbona haviendani leo slaa unatuhadaa kwamba hautaki posho wakati mwenyekiti wako mbowe ni mjumbe ktk kudai posho tumewagundua hamfai ndo maana mlimfukuza zitto ili asiwaumbue.
Mungu yupi kampanga mzinzi na mpora wake za watu awe Rais?
Akiwahutubia wananchi leo mjini iringa katika uzinduzi wa kampeni za jimbo la kalenga DK slaa amesema atazunguka nchi nzima kupinga posho kuongezeka zaidi ya laki tatu. nimestuka huyu amesahau ndani ya chama chake mh lema alijitokeza wazwazi kumpinga mh Zitto kuhusu suala la posho vilevile mbunge selasini aliweka wazi kuwa anaunga mkono suala la posho kuongezeka likamalizikia kwa shibuda aliesema anashangaa mtu kukataa posho.
Wabunge hwawa walidai watachukua posho za bunge licha ya chama kuweka msimamo wa kupinga posho lakini sikusikia hata siku moja akiwakemea au kuwaandikia barua kutoa onyo kwa kwenda kinyume na msimamo wa chama.
Cha kushangaza nikuwa DK slaa alipoombwa kugombea uraisi alikumbuka posho za kibunge na kuweka masharti ya kulipwa km mbunge ndipo agombee. je uzalaendo wako kimsingi ukowap juu yaposho na maslahi binfsi.
Source: ITV News
Mwaka huu mtakoma kulinga na chuki zenu. Subirini awanyowe huko Kalenga ndo mtamjua vizuri kuwa ni Dr wa ukweli na si kanjanja.
Dr.Slaa kaishasahau kama watu wanakumbuka sakata la posho.
Dr.Slaa acha usanii na ulaghai wabunge wa Chadema wote wanachukuwa posho isipokuwa Zitto peke yake, mbona haukuonyesha mfano wa kuandamana nchi nzima kupinga posho.