Dr.slaa afunguka kuhusu posho - uzalendo wa DK SLAA ukowapi???

Dr.slaa afunguka kuhusu posho - uzalendo wa DK SLAA ukowapi???

Slaa amechuja

Yaani kachuja mbaya! Kutwa kudandia hoja! Hivi ndio matatizo ya wana kalenga hayo waliomtuma akawatatulie? Mbona haelezi ndani ya miaka mitano,chadema itafanya vp kuleta maendeleo!?
 
Hiyo habari ni ya kwako bwana na wala siyo itv yani umepotosha sana na kikubwa zaidi kilicho kufanya uandike ivyo ni chuki uliyo nayo zidi ya dr slaa.
akika ninawaambieni alipangalo mungu binadamu awezi kuli...........

Mungu yupi kampanga mzinzi na mpora wake za watu awe Rais?
 
Surel but the situation is even good for other politicians who have a defined carrier/professional....Dr Slaa hana carrier or professional yeyote na ndio maana maamuzi mengi ndani ya chama ni kujiimarisha awepo hapo na kumfurahisha Mtei.

pity

Sewage...
 
Chadema msitufanye wa tz kuwa hatunazo kauli zenu na matendo mbona haviendani leo slaa unatuhadaa kwamba hautaki posho wakati mwenyekiti wako mbowe ni mjumbe ktk kudai posho tumewagundua hamfai ndo maana mlimfukuza zitto ili asiwaumbue.
 
Muulize Slaa hiyo chuki gani aliyofanyiwa na Chadema mpaka akaidai posho zote za kibunge ikiwa ni sehemu la sharti la yeye kugombea u rais!

...hivi ccm wameshampata wa kusimama na Dr 2015? au bado wanabrainstorm?
 
Chadema msitufanye wa tz kuwa hatunazo kauli zenu na matendo mbona haviendani leo slaa unatuhadaa kwamba hautaki posho wakati mwenyekiti wako mbowe ni mjumbe ktk kudai posho tumewagundua hamfai ndo maana mlimfukuza zitto ili asiwaumbue.

...Mchukueni Zitto wenu basi, tunawapa bure kabisa star wenu.
 
Akiwahutubia wananchi leo mjini iringa katika uzinduzi wa kampeni za jimbo la kalenga DK slaa amesema atazunguka nchi nzima kupinga posho kuongezeka zaidi ya laki tatu. nimestuka huyu amesahau ndani ya chama chake mh lema alijitokeza wazwazi kumpinga mh Zitto kuhusu suala la posho vilevile mbunge selasini aliweka wazi kuwa anaunga mkono suala la posho kuongezeka likamalizikia kwa shibuda aliesema anashangaa mtu kukataa posho.

Wabunge hwawa walidai watachukua posho za bunge licha ya chama kuweka msimamo wa kupinga posho lakini sikusikia hata siku moja akiwakemea au kuwaandikia barua kutoa onyo kwa kwenda kinyume na msimamo wa chama.

Cha kushangaza nikuwa DK slaa alipoombwa kugombea uraisi alikumbuka posho za kibunge na kuweka masharti ya kulipwa km mbunge ndipo agombee. je uzalaendo wako kimsingi ukowap juu yaposho na maslahi binfsi.

Source: ITV News

Kibabu kiongo na kinafiki sana hicho.
 
Mwaka huu mtakoma kulinga na chuki zenu. Subirini awanyowe huko Kalenga ndo mtamjua vizuri kuwa ni Dr wa ukweli na si kanjanja.

Huwa mnakimbia kuleta up dates hali inapokuwa mbaya!
 
Dr.Slaa acha usanii na ulaghai wabunge wa Chadema wote wanachukuwa posho isipokuwa Zitto peke yake, mbona haukuonyesha mfano wa kuandamana nchi nzima kupinga posho.

Mkuu.
Zitto ni Mbunge wa Mahakama
 
PATA MATOKEO 2013 KUPITIA SIMU YAKO YA MKONONI
ANDIKA MATOKEO INDEX NO TUMA KWENDA 15573
MFANO MATOKEO P0119/0001 OR S0560/0001 TUMA KWENDA 15573

PATA MHITASARI WA MATOKEO YA SHULE
ANDIKA MATOKEO JINA LA SHULE
MFANO MATOKEO MZUMBE
TUMA KWENDA 15573 gharama 150/sms, sambaza kwa wengine
 
utaifakwanza hivi huwa unajisahau nini??
Zito hayupo wala si kiongozi wa CDM!!
Hapo kashikiliwa na mahakama!!
Serikali na bunge lote ni la MaCCM, CDM hawana maamuzi watasema mwisho mwenye uamuzi ni MaCCM!!
 
Last edited by a moderator:
wanasiasa ndio wanaoharibu nchi yoyote duniani. Wana ndimi mbilimbili.
 
Back
Top Bottom