Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kwamba alichokisema ni uongo au umeandika ili tu uipate bku 7 ???Slaa umri nao unachangia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba alichokisema ni uongo au umeandika ili tu uipate bku 7 ???Slaa umri nao unachangia!
Na wewe nenda kachukue hiyo bku 7!Kwamba alichokisema ni uongo au umeandika ili tu uipate bku 7 ???
Mm SIna akili za kugalagala chini mbele ya viongozi kama wale wa RuangwaNa wewe nenda kachukue hiyo bku 7!
Kachukue tu utampa yeyote!Mm SIna akili za kugalagala chini mbele ya viongozi kama wale wa Ruangwa
Dr.slaa wacha unafiki bwana wako magufuli alichagia ujenzi wa msikiti dodoma na hatukusikia chochote kutoka kwako au kwa hao jamaa zao wanaokuunga mkono leo samia kuchangia kanisa imekuwa nongwa ,ingawa mimi kwa Imani yangu siungi mkono muislamu kuchangia kanisa lakini najuwa rais amefanya hivyo kisiasa tu.Kwenye mazungumzo yaliyofanyika club house Dr. Slaa amesema kwa utaratibu anaoufahamu Rais hana mafungu makubwa kiasi hicho (milioni 150) kwaajili ya eneo moja, na fedha hizi zinawekwa katika kifungu cha Ofisi ya Rais na balaa ni kwamba fedha hizi hazikaguliki kwasababu fungu la 23 la Ikulu halikaguliwi na CAG!
Kwa maana hiyo chochote kitakachofanyika inabaki kuwa siri ya Ikulu, siri ya Rais. Jambo hili kama ni kweli Rais ametoa mfuko binafsi hatuwezi kuziingilia lakini kama ametoa kwenye mfuko wa 23 (kama sijakosea) ni lazima watanzania tulipigie kelele, hili si sahihi huu ni wizi, huu ni ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kazi mambazo hazijaidhinishwa na bunge wala hazijawahi kuidhinishwa na bunge miaka yote tangu uhuru wetu mpaka leo, marais wamepita wengi hatujawahi kuona kitu cha namna hii.
Ni jambo la kusikitisha, tuendelee kulipigia kelele kwasababu tusipopiga kelele hii imeshapanda kuwa milioni 150, kesho itafika bilioni moja, kesho kutwa itafika bilioni 3!
Kuosha rungu Kigali😁Wakati anaisaliti UKAWA, akapelekwa Rwanda kuponda raha na mabinti wa kihima, alikuwa anatumia fungu hilohilo
Mkuu mmngeanza kuhoji wakati Magufuli alipoanza kutoa milioni tano tano barabarani kwa watu mbali mbali pamoja na kuchangia makanisa na misikiti.Kwenye mazungumzo yaliyofanyika club house Dr. Slaa amesema kwa utaratibu anaoufahamu Rais hana mafungu makubwa kiasi hicho (milioni 150) kwaajili ya eneo moja, na fedha hizi zinawekwa katika kifungu cha Ofisi ya Rais na balaa ni kwamba fedha hizi hazikaguliki kwasababu fungu la 23 la Ikulu halikaguliwi na CAG!
Kwa maana hiyo chochote kitakachofanyika inabaki kuwa siri ya Ikulu, siri ya Rais. Jambo hili kama ni kweli Rais ametoa mfuko binafsi hatuwezi kuziingilia lakini kama ametoa kwenye mfuko wa 23 (kama sijakosea) ni lazima watanzania tulipigie kelele, hili si sahihi huu ni wizi, huu ni ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kazi mambazo hazijaidhinishwa na bunge wala hazijawahi kuidhinishwa na bunge miaka yote tangu uhuru wetu mpaka leo, marais wamepita wengi hatujawahi kuona kitu cha namna hii.
Ni jambo la kusikitisha, tuendelee kulipigia kelele kwasababu tusipopiga kelele hii imeshapanda kuwa milioni 150, kesho itafika bilioni moja, kesho kutwa itafika bilioni 3!
👏👏👏Dr. Slaa hapa kaonesha unafiki wake kweupeee!Hapa Slaa simuungi mkono kwa unafiki huo.
Michezo ya kugawa pesa na kutengeneza matukio kujiongezea umaarufu aliyaanzisha Magufuli ambaye Slaa alimuunga mkono na alikua kimya.
Samia alikua deputy wa Magufuli anapita alipopita boss wake japokuwa ni kosa ila pengine ameona ndio umaarufu wenyewe na Samia akaongezea mtindo wa kununua magoli ya Simba na Yanga.
Kwenye hili Slaa hana moral probity kulizungumza atamuonea Samia tu wakati kwa Magufuli aliufyata.
👏👏👏Dr. Slaa hapa kaonesha unafiki wake kweupeeeHapa Slaa simuungi mkono kwa unafiki huo.
Michezo ya kugawa pesa na kutengeneza matukio kujiongezea umaarufu aliyaanzisha Magufuli ambaye Slaa alimuunga mkono na alikua kimya.
Samia alikua deputy wa Magufuli anapita alipopita boss wake japokuwa ni kosa ila pengine ameona ndio umaarufu wenyewe na Samia akaongezea mtindo wa kununua magoli ya Simba na Yanga.
Kwenye hili Slaa hana moral probity kulizungumza atamuonea Samia tu wakati kwa Magufuli aliufyata.
Mkuu usaliti wa Dr. Slaa haukuanza leo, ulianza toka utotoni! Kawaulize wazee zaidi yake huko kwao utapata full pdf la usaliti na unafiki wake na pia utaelewa chimbuko la usaliti wake! Ni Mnafiki mwenye cheo cha juu!Udini unamtafuna, ndiyo maana ilikuwa tatizo kwake kumpigania Lowassa.
Alikuwa tayari kusaliti Ukawa ili kumfanyia kampeni mkatoliki mwenzake.(Magufuli).
Magufuli alinyamazisha harakati za kisiasa, serikali yake ilimpoteza Saanane, ilimshambulia Tundu Lisu, lakini yote hayo aliyanyamazia.
Ati leo naye anajiona mzalendo!!
Mnafiki mkubwa
Watu wote wakinyamaza sidhani km ndiyo maendeleoMkuu mmngeanza kuhoji wakati Magufuli alipoanza kutoa milioni tano tano barabarani kwa watu mbali mbali pamoja na kuchangia makanisa na misikiti.
Mwanzoni Rais Samia alisema yeye na Magufuli hawana tofauti, umoja wao ni kwa mambo ya namna hiyo. Bahati mbaya zaidi Magufuli alishaweka precedence mbaya matumizi ya namna hiyo!
Tusiangalie tulipo angaukia bali tulipo jikwaa. Kipindi hiko kila mtu alikuwa kimya pamoja na Dr. Slaa!