Tetesi: Dr.Slaa Katibu Mkuu ajae CCM?

Tetesi: Dr.Slaa Katibu Mkuu ajae CCM?

CCM hawawezi subutu ni bora wamsafishe bashite wampe hiyo nafac
.
.
SIJAWAHI KUWAZA ILA NAWAZA TU KWA UTAWALA HUU YOTE YANAWEZEKANA.
 
Dr. Slaa alitamka kumleta Lowassa CDM ilikuwa sawa na kuchota kinyesi chooni na kukilteta Sebureni. Maana ni kwamba CCM ni Kinyesi Kikuu Chooni na Lowassa ni Kinyesi kwenye ndoo.

Sasa kwa mantiki hiyo atakiuka matamshi yake? Kumbuka jamaa ni mtumishi wa Mungu.
 
Mimi ni mtaalamu wa matusi kuliko unavyodhania wewe. Nunauwezo wa kukudhalilisha kwa maneno hadi ukaondoa pua lako jf milele.
Hulka za kuzoea watu kuropokea ujinga ni kipimo halisi cha malezi mabovu uliyopewa na wazazi wako.

Karibu
 
Kwenye siasa lolote linawezekana. Hata Professor akimaliza kum fix Maalim kwa sababu anasumbua Muunganiko naye atajiunga chama tawala kuungana na DR. kumaliza UKAWA rasmi. Ni maoni tu.
 
Kwenye siasa lolote linawezekana. Hata Professor akimaliza kum fix Maalim kwa sababu anasumbua Muunganiko naye atajiunga chama tawala kuungana na DR. kumaliza UKAWA rasmi. Ni maoni tu.
Nimeipenda hii ya Muunganiko badala ya Muungano. Yaani umeisoma ramani ya vita. Kuna watu hawajui kuwa Lipumba kushindwa haimsumbui kwani keshashindwa Urais zaidi ya mara nne na maisha yalikuwa yanasonga mbele.
 
Back
Top Bottom