Kagemro
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 1,440
- 635
Katerero+ shutama unatokaje hapo kwa mfano?
Akili za Ngono,hazijawahi kumuacha mtu salama.
Ndiyo maana mnapitea....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katerero+ shutama unatokaje hapo kwa mfano?
Mushumbusi ana hizi taarifa?
Upumbavu ni kutukana badala ya kujibu hoja. Kwako wewe kazi ni nini? Yaani huwa mnaongea kama vile mnalisha familia zatu wa humu JF!Hivi huwa Hamna kazi...............
Kutwa,kuchwa ni upumbavu tu.
Mimi ni mtaalamu wa matusi kuliko unavyodhania wewe. Nunauwezo wa kukudhalilisha kwa maneno hadi ukaondoa pua lako jf milele.
Hulka za kuzoea watu kuropokea ujinga ni kipimo halisi cha malezi mabovu uliyopewa na wazazi wako.
Nimeipenda hii ya Muunganiko badala ya Muungano. Yaani umeisoma ramani ya vita. Kuna watu hawajui kuwa Lipumba kushindwa haimsumbui kwani keshashindwa Urais zaidi ya mara nne na maisha yalikuwa yanasonga mbele.Kwenye siasa lolote linawezekana. Hata Professor akimaliza kum fix Maalim kwa sababu anasumbua Muunganiko naye atajiunga chama tawala kuungana na DR. kumaliza UKAWA rasmi. Ni maoni tu.