Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

Nachoka kabisa kila siku nikisikia Tanzania watu wanalalamika ! Inauma sana watu wanajulikana ila tunaongea tu hatua hakuna! Wapo wachache tu wenye kujua uchungu wa taifa la Tanzania ambalo mpaka sasa Boti yake Imetoboka inasubiri kuzama tu. Je itazama na nani ngoja tuone JK na Ubabaishaji wake.
 
 

Rafiki nimeangalia post zako zote na mpaka ulipofikia nimeona nirudi ulipoanzia,

Ni kweli kabisa, mbunge kwa maana ya mbunge anawawakilisha wananchi ,hivyo statement ya Slaa inakuwa nullified by this truth. Kubuka kuna tofauti ya truths na facts. THE FACTS IS WABUNGE WENGI WA CCM hawawakilishi mawazo ya wananchi! hii ni facts

kwa nini? usifananishe siasa za USA na Tz, unaweza ukauliza kwa nini basi wanachaguliwa. watanzania wengi wanaishia kuchagua, na hawajui wanayemchagua ana uwezo au anafanya nini hasa! wakiona maji, barabara, miradi na kofia basi HUYOHUYO, ndio maana utakuta Lowassa anashangiliwa, Chenge anasujudiwa na Rostam anaaabudiwa! in their majimbos. Huu ni ugonjwa wa watanzania, na kupona kwake ni mimi na wewe tuwavute, tuwaweke sawa. lakini sio kuwaachia eti walichagua wenyewe!

Lingine ninaloliona ni ukweli kuna baadhi ya CDM members, wanaboa, wanahudhi, wajinga, wafuata mkumbo, na wengi wao wako shallow mno! HOJA YA KATIBA siyo ya CDM wala NCCR wala CUF ni yetu wooote! kama kuna members walio m'bana sana Slaa kuhusu kuingia kwenye uchaguzi huu na katiba hii hii, mimi najisifu nimo! na mwanakiji pia, Slaa na CDM hawakuona kama lina umuhimu mpaka waliposhindwa uchaguzi! na kama leo kuna mwana JF ambaye hakuliona hilo! LIA SANA NA TUBU KWA MUNGU wako, ni aibu kubwa mno! kusubiri matokeo!!

Lakini aidha walishindwa au la, aidha waliliona mapema au la, aidha sio wao walioanzisha au la,bado mabadiliko ya KATIBA ni ya watanzania wote,na yeyote anayeonekana kumkashfu mwenzie NDIO ZINAIBUKA HISIA kama za Mtikila! kuwa CDM wanataka katiba yao!

The worse move ever made in politic ni CDM wabunge wake kugwaya kwa move waliyoianza vizuri sana, ILE STYLE ingeendelea leo CDM wangekuwa mbali na macho ya wote yangekuwa kwao! -huwa nasema tumbo hili!!!SASA hoja ya katiba wameibeba wenyewe CCM ambao hawaendi popote pale ni bla blah tu! na linapokuja swala la BUNGE na katiba then is obvious CCM will rule; kwa hoja yako, ila wata-rule kwa matakwa yao na si ya wananchi, this experience is irrefutable

Haya ni majibu ya Slaa huyu huyu angalia post number na, uone mawazo yake ya katiba kabla ya uchaguzi!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ali-na-kueleza-sera-za-chadema-hapa-jf-9.html

angalia post number 161,164 na 167, angalia majibu ya Slaa, angalia kilichotokea Hiyo ilikuwa February!

Mwezi wa tisa nikarudia kuwashauri CDM KUWA HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI.... angalia matusi niliyoyalamba hapa na baadhi ya hawahwa JF members: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/76673-sababu-za-kutopiga-kura.html

Tumepiga kura , kama kura ni suluhisho, matokeo tumeyaona, na ukweli kama anavyosema Malecela Bungeni hawa wenzetu ni waongeaji na kamwe hawatapitisha kitu, CCM ni mafisadi inajulikana hata kwa mtoto mdogo, mtu anaposema katiba ni issue ya Slaa na CDM huwa napata kizunguzungu sana, na kuona kabisa tuna tatizo sehemu, haiwezekani ushiriki uchaguzi unaojua kabisa utashindwa! haiwezekani, tumerogwa tu!

Pamoja na hayo leo wanapokuja na kilio cha katiba naungana nao, thats is my goals and have wanted this for so long! ila anapotokea mtu na kuwagawa CUF, CDM, NCCR, TLP na kusema hawafai kudai katiba, I am confused what is this katiba for??

same CDM will go on for 2015 elections with this katiba and yet after loosing they will cry the same cry!

acha mnitukane tena bwana, CCM ya Malecela wanaboa, CDM wanaboa, yaani taabu tupu ILA KATIKA HILI KUWA DOWANS NI YA MKUU WA KAYA nampa tano Slaa !!!!!si mbaguzi miye nampa mtu haki yake! ukifanya vyema tick, ukikosea kosa, siangalii sura wala sina makundi thats make me LIVE HAPPILY!

Nimesema CCM mafisadi sijakusema wewe kaka! ila ni ngumu sana kujustify kuwa ww haumo!

cheers
 


Huyu mzee alikuwa mnafiki sana, katiba ikibadilika jina lake linapotea we subiri tu, no wonder watu hawajui kuwa ndio kalikofanya yote haya yanaoendela leo! halafu anasema kauli tata kana kwamba yeye hayumo! mnafiki!
 
Huyu mzee alikuwa mnafiki sana, katiba ikibadilika jina lake linapotea we subiri tu, no wonder watu hawajui kuwa ndio kalikofanya yote haya yanaoendela leo! halafu anasema kauli tata kana kwamba yeye hayumo! mnafiki!

Tatizo huyu mzee wakati anatawala aliona watanzania hawajui kitu, amekuja kuona failures zake baada ya kuachia madaraka. Naamini sentensi kama hizo ilikuwa ni kuomba msamaha kiutu uzima!!!!!!
Ndio maana naamini watawala hawawezi kuleta mezani aina ya katiba itakiwayo kwa sababu hawawezi kuweka vifungu ambavyo vitawabana.
 

- Duh! Very interesting maana all over the map hata pa kushika sioni naomba nikuachie yote, anyways ahsante na hizi name calling ni mambo ya territory hayo karibu sana.

William.
 
Katiba ya Wananchi itapatikana kwa njia ya Bungeni kule Dodoma na wala si Chumbani Ikulu pale Magogoni.

Utaratibu huu wa 'Wananchi kujiandikia katiba' badala ya 'Serikali kutuandikia Katiba' ukipuuzwa, kuna shida kubwa 2015.
 

Mkuu sometimes uache kuongea mawazo yako binafsi bali ukweli ambao upo wazi na bayana. CCM wametumia mbinu chafu ambazo hawakuanza leo. Wabunge hawana kauli ya mwisho, wananchi wana kauli ya mwisho.

Viongozi wa CCM na vikaragosi vyao wanafikiri wataendelea kula kuku ama kuokota tende kama Baghdad, mwisho wao/wenu umefika na hamuwezi kufanya chochote kile kwa sababu wenye uamuzi wa mwisho ni Watanzania na sio Chama Cha Majambazi ambayo yamejikita katika kufuja pesa za walipa kodi.


Yes ndio sababu unaingia kwa real name kwa sababu unafahmu what will come next ukiropoka yale ambayo yanalinda tumbo la familia yako.
 
Katiba ya Wananchi itapatikana kwa njia ya Bungeni kule Dodoma na wala si Chumbani Ikulu pale Magogoni.

Utaratibu huu wa 'Wananchi kujiandikia katiba' badala ya 'Serikali kutuandikia Katiba' ukipuuzwa, kuna shida kubwa 2015.

Mimi naona either way kutakuwa na swala la kutokuaminiana tu; mfano bungeni speaker na wabunge wengi ni CCM wanaweza kuhadaa wananchi in favour ya chama lao

Ikulu itaonekana imetoka kwa executive,

Mimi naona tuweke benefit of doubt kwa tume halafu tuone members na jinsi walivyoshirikisha wananchi.
 
 
Yes ndio sababu unaingia kwa real name kwa sababu unafahmu what will come next ukiropoka yale ambayo yanalinda tumbo la familia yako.
[/QUOTE]

- Haya ni ya territory tafuta mengine mapyaa maana ni ya kawaida sana hakuna la ajabu ha! ha! ha!

William.
 
 

HIVI KATIBA MPYA YA KENYA ILIPITISHWA NA MAJORITY WA BUNGENI?
Maana naoan umenganagnia majority majority utafikiri wabunge ndio watao pitisha hiyo KATIBA!, Hakuna kokote duniani ambapo BUNGE liliwahi kupitisha KATIBA mpya bali ni WANANCHI NDIO WENYE WAJIBU HUO!

Hata ZNZ ni wazi Majority CCM walikuwa hawataki lakini kwa shinikizo lilifanikiwa!!!!! na hapa LITAKUWA TU, UTAKE USITAKE!!
 
 
 

- Mkuu mambo mengine kwanza muwe mnayasoma vizuri, Katiba ya Kenya imebadilika nini zaidi tu ya kumuingiza Raila kwenye mlo na kwa kushinikizwa na Wazungu, mwananchi wa kawaida wa Kenya hajasaidiwa lolote, bado nusu ya ardhi ya Kenya ni mali ya familia ya Kenyatta.

- Hakuna katiba inarekebishwa nje ya bunge mkuu, yaani hata haya mambo madogo sana ya siasa nayo lazima tukumbushane hapa, hakuna anayekataa marekebisho ya katiba tatizo ni namna ya kuirekebisha, huku ukiwapuuuza majority ndani ya bunge, mkuu hata huko Kenya ni mpaka pale wabunge wa Upinzani walipokuwa wengi sana bungeni ndio yalifanyika hayo mabadiliko madogo sana ya katiba!

- Mimi sibadili katiba ila ninachangia kama wewe, si ni haki yangu kuwa na mawazo yangu kama na wewe ulivyo na yako acha hasira mkuu!
ha!, ha! ha! ha!

William.
 
- Haya ni ya territory tafuta mengine mapyaa maana ni ya kawaida sana hakuna la ajabu ha! ha! ha!

William.[/QUOTE]

This arrogant will need displine, Enzi za baba yako zimepita, don't expose ur idiotism here, u r CCM beneficiary we know, you carry a head with
VACUUM INSIDE at least this guy ana brainView attachment 19546 not you, use ur brain to command ur mouth to talk not vice versa, u r tooooo low more than i thought, na unapenda ligi za mchangani nilikuambia, nothing u know, even just to contribute
u r hopeless, peleka uCCM wako kwenye familia yenu, period
 

- Mkuu unajua sisi watu wa mjini matusi ni kawaida sana kwanza hapa hujatukana, na siwezi kushuka hiyo level hapana, however ninakukaribisha kurudi kwenye mada anytime ukimaliza matusi yako, ha! ha! ha!

William.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…