Rafiki nimeangalia post zako zote na mpaka ulipofikia nimeona nirudi ulipoanzia,
Ni kweli kabisa, mbunge kwa maana ya mbunge anawawakilisha wananchi ,hivyo statement ya Slaa inakuwa nullified by this truth. Kubuka kuna tofauti ya truths na facts.
THE FACTS IS WABUNGE WENGI WA CCM hawawakilishi mawazo ya wananchi! hii ni facts
kwa nini? usifananishe siasa za USA na Tz, unaweza ukauliza kwa nini basi wanachaguliwa. watanzania wengi wanaishia kuchagua, na hawajui wanayemchagua ana uwezo au anafanya nini hasa! wakiona maji, barabara, miradi na kofia basi HUYOHUYO,
ndio maana utakuta Lowassa anashangiliwa, Chenge anasujudiwa na Rostam anaaabudiwa! in their majimbos. Huu ni ugonjwa wa watanzania, na kupona kwake ni mimi na wewe tuwavute, tuwaweke sawa.
lakini sio kuwaachia eti walichagua wenyewe!
Lingine ninaloliona ni ukweli kuna baadhi ya CDM members, wanaboa, wanahudhi, wajinga, wafuata mkumbo, na wengi wao wako shallow mno! HOJA YA KATIBA siyo ya CDM wala NCCR wala CUF ni yetu wooote! kama kuna members walio m'bana sana Slaa kuhusu kuingia kwenye uchaguzi huu na katiba hii hii,
mimi najisifu nimo! na mwanakiji pia, Slaa na CDM hawakuona kama lina umuhimu mpaka waliposhindwa uchaguzi! na kama leo kuna mwana JF ambaye hakuliona hilo! LIA SANA NA TUBU KWA MUNGU wako, ni aibu kubwa mno! kusubiri matokeo!!
Lakini aidha walishindwa au la, aidha waliliona mapema au la, aidha sio wao walioanzisha au la,bado mabadiliko ya KATIBA ni ya watanzania wote,na yeyote anayeonekana kumkashfu mwenzie NDIO ZINAIBUKA HISIA kama za Mtikila! kuwa CDM wanataka katiba yao!
The worse move ever made in politic ni CDM wabunge wake kugwaya kwa move waliyoianza vizuri sana, ILE STYLE ingeendelea leo CDM wangekuwa mbali na macho ya wote yangekuwa kwao! -
huwa nasema tumbo hili!!!SASA hoja ya katiba wameibeba wenyewe CCM ambao hawaendi popote pale ni bla blah tu! na
linapokuja swala la BUNGE na katiba then is obvious CCM will rule; kwa hoja yako, ila wata-rule kwa matakwa yao na si ya wananchi, this experience is irrefutable
Haya ni majibu ya Slaa huyu huyu angalia post number na, uone mawazo yake ya katiba kabla ya uchaguzi!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ali-na-kueleza-sera-za-chadema-hapa-jf-9.html
angalia post number 161,164 na 167, angalia majibu ya Slaa, angalia kilichotokea Hiyo ilikuwa February!
Mwezi wa tisa nikarudia kuwashauri CDM KUWA HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI.... angalia matusi niliyoyalamba hapa na baadhi ya hawahwa JF members:
https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/76673-sababu-za-kutopiga-kura.html
Tumepiga kura , kama kura ni suluhisho, matokeo tumeyaona, na ukweli kama anavyosema
Malecela Bungeni hawa wenzetu ni waongeaji na kamwe hawatapitisha kitu, CCM ni mafisadi inajulikana hata kwa mtoto mdogo, mtu anaposema katiba ni issue ya Slaa na CDM huwa napata kizunguzungu sana, na kuona kabisa tuna tatizo sehemu,
haiwezekani ushiriki uchaguzi unaojua kabisa utashindwa! haiwezekani, tumerogwa tu!
Pamoja na hayo leo wanapokuja na kilio cha katiba naungana nao, thats is my goals and have wanted this for so long! ila anapotokea mtu na kuwagawa CUF, CDM, NCCR, TLP na kusema hawafai kudai katiba, I am confused what is this katiba for??
same CDM will go on for 2015 elections with this katiba and yet after loosing they will cry the same cry!
acha mnitukane tena bwana, CCM ya Malecela wanaboa, CDM wanaboa, yaani taabu tupu ILA KATIKA HILI KUWA DOWANS NI YA MKUU WA KAYA nampa tano Slaa !!!!!si mbaguzi miye nampa mtu haki yake! ukifanya vyema tick, ukikosea kosa,
siangalii sura wala sina makundi thats make me LIVE HAPPILY!
Nimesema CCM mafisadi sijakusema wewe kaka! ila ni ngumu sana kujustify kuwa ww haumo!
cheers