Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

Nachoka kabisa kila siku nikisikia Tanzania watu wanalalamika ! Inauma sana watu wanajulikana ila tunaongea tu hatua hakuna! Wapo wachache tu wenye kujua uchungu wa taifa la Tanzania ambalo mpaka sasa Boti yake Imetoboka inasubiri kuzama tu. Je itazama na nani ngoja tuone JK na Ubabaishaji wake.
 
- Ha! ha! ha! ha! hilarious lol!

No matter how extremely you can be, hebu nikuulize unajua ghana walifikaje hapa walipo leo. Wewe umeona bunge la ccm wengine ndilo jibu la kila kitu, Je unauhakika hao ccm hajaumizwa na katiba iliyopo? Au hujui kuwa wengine ingwa wamechaguliwa ndani ya ccm walipitia mambo magumu sana kuliko kungekuwa na mgombea binafsi. Mbona walikubali EL akajiuzulu au wakati ule walikuwa wachache? endeleeni kujidaganya wewe na wenye akili kama yako.
 
- Wakati mwingine Dr. Slaa huwa ananiacha hoi sana, I mean wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na nani kama sio wananchi wengi?, sasa watapitishaje matakwa yasiyo ya wananchi wengi wakati sio siri kwamba wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na wananchi wengi!

- I m missing something hapa au what?

William.

Rafiki nimeangalia post zako zote na mpaka ulipofikia nimeona nirudi ulipoanzia,

Ni kweli kabisa, mbunge kwa maana ya mbunge anawawakilisha wananchi ,hivyo statement ya Slaa inakuwa nullified by this truth. Kubuka kuna tofauti ya truths na facts. THE FACTS IS WABUNGE WENGI WA CCM hawawakilishi mawazo ya wananchi! hii ni facts

kwa nini? usifananishe siasa za USA na Tz, unaweza ukauliza kwa nini basi wanachaguliwa. watanzania wengi wanaishia kuchagua, na hawajui wanayemchagua ana uwezo au anafanya nini hasa! wakiona maji, barabara, miradi na kofia basi HUYOHUYO, ndio maana utakuta Lowassa anashangiliwa, Chenge anasujudiwa na Rostam anaaabudiwa! in their majimbos. Huu ni ugonjwa wa watanzania, na kupona kwake ni mimi na wewe tuwavute, tuwaweke sawa. lakini sio kuwaachia eti walichagua wenyewe!

Lingine ninaloliona ni ukweli kuna baadhi ya CDM members, wanaboa, wanahudhi, wajinga, wafuata mkumbo, na wengi wao wako shallow mno! HOJA YA KATIBA siyo ya CDM wala NCCR wala CUF ni yetu wooote! kama kuna members walio m'bana sana Slaa kuhusu kuingia kwenye uchaguzi huu na katiba hii hii, mimi najisifu nimo! na mwanakiji pia, Slaa na CDM hawakuona kama lina umuhimu mpaka waliposhindwa uchaguzi! na kama leo kuna mwana JF ambaye hakuliona hilo! LIA SANA NA TUBU KWA MUNGU wako, ni aibu kubwa mno! kusubiri matokeo!!

Lakini aidha walishindwa au la, aidha waliliona mapema au la, aidha sio wao walioanzisha au la,bado mabadiliko ya KATIBA ni ya watanzania wote,na yeyote anayeonekana kumkashfu mwenzie NDIO ZINAIBUKA HISIA kama za Mtikila! kuwa CDM wanataka katiba yao!

The worse move ever made in politic ni CDM wabunge wake kugwaya kwa move waliyoianza vizuri sana, ILE STYLE ingeendelea leo CDM wangekuwa mbali na macho ya wote yangekuwa kwao! -huwa nasema tumbo hili!!!SASA hoja ya katiba wameibeba wenyewe CCM ambao hawaendi popote pale ni bla blah tu! na linapokuja swala la BUNGE na katiba then is obvious CCM will rule; kwa hoja yako, ila wata-rule kwa matakwa yao na si ya wananchi, this experience is irrefutable

Haya ni majibu ya Slaa huyu huyu angalia post number na, uone mawazo yake ya katiba kabla ya uchaguzi!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ali-na-kueleza-sera-za-chadema-hapa-jf-9.html

angalia post number 161,164 na 167, angalia majibu ya Slaa, angalia kilichotokea Hiyo ilikuwa February!

Mwezi wa tisa nikarudia kuwashauri CDM KUWA HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI.... angalia matusi niliyoyalamba hapa na baadhi ya hawahwa JF members: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/76673-sababu-za-kutopiga-kura.html

Tumepiga kura , kama kura ni suluhisho, matokeo tumeyaona, na ukweli kama anavyosema Malecela Bungeni hawa wenzetu ni waongeaji na kamwe hawatapitisha kitu, CCM ni mafisadi inajulikana hata kwa mtoto mdogo, mtu anaposema katiba ni issue ya Slaa na CDM huwa napata kizunguzungu sana, na kuona kabisa tuna tatizo sehemu, haiwezekani ushiriki uchaguzi unaojua kabisa utashindwa! haiwezekani, tumerogwa tu!

Pamoja na hayo leo wanapokuja na kilio cha katiba naungana nao, thats is my goals and have wanted this for so long! ila anapotokea mtu na kuwagawa CUF, CDM, NCCR, TLP na kusema hawafai kudai katiba, I am confused what is this katiba for??

same CDM will go on for 2015 elections with this katiba and yet after loosing they will cry the same cry!

acha mnitukane tena bwana, CCM ya Malecela wanaboa, CDM wanaboa, yaani taabu tupu ILA KATIKA HILI KUWA DOWANS NI YA MKUU WA KAYA nampa tano Slaa !!!!!si mbaguzi miye nampa mtu haki yake! ukifanya vyema tick, ukikosea kosa, siangalii sura wala sina makundi thats make me LIVE HAPPILY!

Nimesema CCM mafisadi sijakusema wewe kaka! ila ni ngumu sana kujustify kuwa ww haumo!

cheers
 
Kaka William!
Naomba tusitoane macho bure wakati tunatafuta kitu chenye manufaa kwetu sote na vizazi vinavyokuja. Swala la katiba umiliki wake unatokana na wananchi wakiwemo wenye vyama kama wewe na wasio navyo kama mimi.
Mchakato wa uundwaji (sio marekebisho) wa katiba unapaswa kujumuisha makundi yote na ndipo unapounda Bunge la katiba si kwamba unageuza lile linaloexist bali unaunda chombo chenye uwakilishi wa makundi haya (dini, wafanyakazi, siasa, wanazuoni, watoto, vijana, NGOs n.k).
Utaona kwamba makundi haya hayapo Bungeni, kule kuna wana siasa tu.

Kaka hatuhitaji katiba yenye mawazo ya CDM/Slaa, tunataka yenye mawazo yetu wananchi. Nyerere (CCM no. 1) aliwahi kusema katiba yetu inaweza kumfanya kiongozi kuwa dikteta hata bila yeye kutaka.
Kwa hali ilivyo sasa hata CCM (Mkapa, Chiligati, Sitta, Warioba etc) wameongelea need ya katiba mpya kwa hiyo sio swala la wingi wa wabunge wa CCM tena.
AG wa Zanzibar juzi kasema tunaka katiba mpya itakayoaddress maswala ya muungano wetu. Ni ukweli usiopingika kwamba katiba ya sasa ina kigugumizi juu ya mambo mengi sana.

Huyu mzee alikuwa mnafiki sana, katiba ikibadilika jina lake linapotea we subiri tu, no wonder watu hawajui kuwa ndio kalikofanya yote haya yanaoendela leo! halafu anasema kauli tata kana kwamba yeye hayumo! mnafiki!
 
Tatizo huyu mzee wakati anatawala aliona watanzania hawajui kitu, amekuja kuona failures zake baada ya kuachia madaraka. Naamini sentensi kama hizo ilikuwa ni kuomba msamaha kiutu uzima!!!!!!
Ndio maana naamini watawala hawawezi kuleta mezani aina ya katiba itakiwayo kwa sababu hawawezi kuweka vifungu ambavyo vitawabana.
 
Rafiki nimeangalia post zako zote na mpaka ulipofikia nimeona nirudi ulipoanzia,

Ni kweli kabisa, mbunge kwa maana ya mbunge anawawakilisha wananchi ,hivyo statement ya Slaa inakuwa nullified by this truth. Kubuka kuna tofauti ya truths na facts. THE FACTS IS WABUNGE WENGI WA CCM hawawakilishi mawazo ya wananchi! hii ni facts

kwa nini? usifananishe siasa za USA na Tz, unaweza ukauliza kwa nini basi wanachaguliwa. watanzania wengi wanaishia kuchagua, na hawajui wanayemchagua ana uwezo au anafanya nini hasa! wakiona maji, barabara, miradi na kofia basi HUYOHUYO, ndio maana utakuta Lowassa anashangiliwa, Chenge anasujudiwa na Rostam anaaabudiwa! in their majimbos. Huu ni ugonjwa wa watanzania, na kupona kwake ni mimi na wewe tuwavute, tuwaweke sawa. lakini sio kuwaachia eti walichagua wenyewe!

Lingine ninaloliona ni ukweli kuna baadhi ya CDM members, wanaboa, wanahudhi, wajinga, wafuata mkumbo, na wengi wao wako shallow mno! HOJA YA KATIBA siyo ya CDM wala NCCR wala CUF ni yetu wooote! kama kuna members walio m'bana sana Slaa kuhusu kuingia kwenye uchaguzi huu na katiba hii hii, mimi najisifu nimo! na mwanakiji pia, Slaa na CDM hawakuona kama lina umuhimu mpaka waliposhindwa uchaguzi! na kama leo kuna mwana JF ambaye hakuliona hilo! LIA SANA NA TUBU KWA MUNGU wako, ni aibu kubwa mno! kusubiri matokeo!!

Lakini aidha walishindwa au la, aidha waliliona mapema au la, aidha sio wao walioanzisha au la,bado mabadiliko ya KATIBA ni ya watanzania wote,na yeyote anayeonekana kumkashfu mwenzie NDIO ZINAIBUKA HISIA kama za Mtikila! kuwa CDM wanataka katiba yao!

The worse move ever made in politic ni CDM wabunge wake kugwaya kwa move waliyoianza vizuri sana, ILE STYLE ingeendelea leo CDM wangekuwa mbali na macho ya wote yangekuwa kwao! -huwa nasema tumbo hili!!!SASA hoja ya katiba wameibeba wenyewe CCM ambao hawaendi popote pale ni bla blah tu! na linapokuja swala la BUNGE na katiba then is obvious CCM will rule; kwa hoja yako, ila wata-rule kwa matakwa yao na si ya wananchi, this experience is irrefutable

Haya ni majibu ya Slaa huyu huyu angalia post number na, uone mawazo yake ya katiba kabla ya uchaguzi!
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ali-na-kueleza-sera-za-chadema-hapa-jf-9.html

angalia post number 161,164 na 167, angalia majibu ya Slaa, angalia kilichotokea Hiyo ilikuwa February!

Mwezi wa tisa nikarudia kuwashauri CDM KUWA HAKUNA HAJA YA UCHAGUZI.... angalia matusi niliyoyalamba hapa na baadhi ya hawahwa JF members: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/76673-sababu-za-kutopiga-kura.html

Tumepiga kura , kama kura ni suluhisho, matokeo tumeyaona, na ukweli kama anavyosema Malecela Bungeni hawa wenzetu ni waongeaji na kamwe hawatapitisha kitu, CCM ni mafisadi inajulikana hata kwa mtoto mdogo, mtu anaposema katiba ni issue ya Slaa na CDM huwa napata kizunguzungu sana, na kuona kabisa tuna tatizo sehemu, haiwezekani ushiriki uchaguzi unaojua kabisa utashindwa! haiwezekani, tumerogwa tu!

Pamoja na hayo leo wanapokuja na kilio cha katiba naungana nao, thats is my goals and have wanted this for so long! ila anapotokea mtu na kuwagawa CUF, CDM, NCCR, TLP na kusema hawafai kudai katiba, I am confused what is this katiba for??

same CDM will go on for 2015 elections with this katiba and yet after loosing they will cry the same cry!

acha mnitukane tena bwana, CCM ya Malecela wanaboa, CDM wanaboa
, yaani taabu tupu ILA KATIKA HILI KUWA DOWANS NI YA MKUU WA KAYA nampa tano Slaa !!!!!si mbaguzi miye nampa mtu haki yake! ukifanya vyema tick, ukikosea kosa, siangalii sura wala sina makundi thats make me LIVE HAPPILY!

Nimesema CCM mafisadi sijakusema wewe kaka! ila ni ngumu sana kujustify kuwa ww haumo!

cheers

- Duh! Very interesting maana all over the map hata pa kushika sioni naomba nikuachie yote, anyways ahsante na hizi name calling ni mambo ya territory hayo karibu sana.

William.
 
Katiba ya Wananchi itapatikana kwa njia ya Bungeni kule Dodoma na wala si Chumbani Ikulu pale Magogoni.

Utaratibu huu wa 'Wananchi kujiandikia katiba' badala ya 'Serikali kutuandikia Katiba' ukipuuzwa, kuna shida kubwa 2015.
 
- Wananchi wamewaongeza wabunge wengi Upinzani, lakini bado wakachagua majority wabunge wa CCM, ni FACT it has nothing to do na anything na ni wabunge wa CCM ambao ni majority bungeni, ndio wenye kauli ya mwisho kuhusu ishu zote muhimu za taifa na ndio Demokrasia yenyewe.

Mkuu sometimes uache kuongea mawazo yako binafsi bali ukweli ambao upo wazi na bayana. CCM wametumia mbinu chafu ambazo hawakuanza leo. Wabunge hawana kauli ya mwisho, wananchi wana kauli ya mwisho.

Viongozi wa CCM na vikaragosi vyao wanafikiri wataendelea kula kuku ama kuokota tende kama Baghdad, mwisho wao/wenu umefika na hamuwezi kufanya chochote kile kwa sababu wenye uamuzi wa mwisho ni Watanzania na sio Chama Cha Majambazi ambayo yamejikita katika kufuja pesa za walipa kodi.

Yes ndio sababu unaingia kwa real name kwa sababu unafahmu what will come next ukiropoka yale ambayo yanalinda tumbo la familia yako.
 
Mimi naona either way kutakuwa na swala la kutokuaminiana tu; mfano bungeni speaker na wabunge wengi ni CCM wanaweza kuhadaa wananchi in favour ya chama lao

Ikulu itaonekana imetoka kwa executive,

Mimi naona tuweke benefit of doubt kwa tume halafu tuone members na jinsi walivyoshirikisha wananchi.
 
Mkuu sometimes uache kuongea mawazo yako binafsi bali ukweli ambao upo wazi na bayana. CCM wametumia mbinu chafu ambazo hawakuanza leo. Wabunge hawana kauli ya mwisho, wananchi wana kauli ya mwisho.

- Well, it is very interesting jinsi unavojaribu kutumia nguvu kubwa sana kunilazimisha nifkiri as you want, uchaguzi umeisha mkuu mbinu za uchaguzi wa siasa hazijawahi kuwa safi hata huku majuu, wananchi ni kweli wana kauli ya mwisho lakini sio kiholela holela kuna utaratibu tuliojiwekea yaani kufuata katiba katiba kurekebisha katiba.

Viongozi wa CCM na vikaragosi vyao wanafikiri wataendelea kula kuku ama kuokota tende kama Baghdad, mwisho wao/wenu umefika na hamuwezi kufanya chochote kile kwa sababu wenye uamuzi wa mwisho ni Watanzania na sio Chama Cha Majambazi ambayo yamejikita katika kufuja pesa za walipa kodi.

- Na mimi nikikujibu kwa lugha yako wote tutaonekana tunafanana, kwenye maisha kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, matatizo ya inferiority kwamba wenye mawazo flani ambayo sio sawa na yako basi ni vikaragosi na matusi mengi ya nguoni ni dalili za kuonyesha uwezo wako kufikiri unapoaniza na kuishia, pole sana mkuu naona umehangaika sana na hii thread sasa huwezi tena kujificha ha! ha! ha! ha!

William.
 
Yes ndio sababu unaingia kwa real name kwa sababu unafahmu what will come next ukiropoka yale ambayo yanalinda tumbo la familia yako.
[/QUOTE]

- Haya ni ya territory tafuta mengine mapyaa maana ni ya kawaida sana hakuna la ajabu ha! ha! ha!

William.
 
- Well, it is very interesting jinsi unavojaribu kutumia nguvu kubwa sana kunilazimisha nifkiri as you want, uchaguzi umeisha mkuu mbinu za uchaguzi wa siasa hazijawahi kuwa safi hata huku majuu, wananchi ni kweli wana kauli ya mwisho lakini sio kiholela holela kuna utaratibu tuliojiwekea yaani kufuata katiba katiba kurekebisha katiba.

Wapi nimetumia nguvu kubwa? labda wewe ndio unatumia hizo nguvu na wala sijasema uchaguzi unaendelea ni wapi hapo nimesema hivyo?

- Na mimi nikikujibu kwa lugha yako wote tutaonekana tunafanana, kwenye maisha kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, matatizo ya inferiority kwamba wenye mawazo flani ambayo sio sawa na yako basi ni vikaragosi na matusi mengi ya nguoni ni dalili za kuonyesha uwezo wako kufikiri unapoaniza na kuishia, pole sana mkuu naona umehangaika sana na hii thread sasa huwezi tena kujificha ha! ha! ha! ha!

Hii ni post ya tatu kutoka kwangu kwenye hii thread sasa ni wapi hapo ninapotumia nguvu kubwa? Mimi sihangaiki na wala sitishwi nyau na nyie watoto mliokulia kwenye system ya kutafuna mpunga wa walipa kodi. We are sick and tired of you people kila kona ni majina yale yale tu mnafikiri Tanzania ni ya kwenu peke yenu?

Mkuu tumekuchoka mawazo yako yanajulikana kwa sababu tayari unafaidika sana na Chama Cha Majambazi nothing new there. Sasa mmebaki kupapatika papatika tu kama kuku lakini hamuwezi kufanya chochote kwa sababu Tanzania ni ya kila Mtanzania sio nyinyi peke yenu mnakuja na ukuwadi wenu humu.

Ndio sababu watu makini siku hizi wanakaa kimya kutokana na pumba zenu ambazo hazina tija kwa taifa. I know you will come and tell me that I use 100 IDs etc etc what type of a loser is you? Grow up man, you do not need to agree with anybody for that matter.
 
- Wananchi wamewaongeza wabunge wengi Upinzani, lakini bado wakachagua majority wabunge wa CCM, ni FACT it has nothing to do na anything na ni wabunge wa CCM ambao ni majority bungeni, ndio wenye kauli ya mwisho kuhusu ishu zote muhimu za taifa na ndio Demokrasia yenyewe.

William.

HIVI KATIBA MPYA YA KENYA ILIPITISHWA NA MAJORITY WA BUNGENI?
Maana naoan umenganagnia majority majority utafikiri wabunge ndio watao pitisha hiyo KATIBA!, Hakuna kokote duniani ambapo BUNGE liliwahi kupitisha KATIBA mpya bali ni WANANCHI NDIO WENYE WAJIBU HUO!

Hata ZNZ ni wazi Majority CCM walikuwa hawataki lakini kwa shinikizo lilifanikiwa!!!!! na hapa LITAKUWA TU, UTAKE USITAKE!!
 
- Well, it is very interesting jinsi unavojaribu kutumia nguvu kubwa sana kunilazimisha nifkiri as you want, uchaguzi umeisha mkuu mbinu za uchaguzi wa siasa hazijawahi kuwa safi hata huku majuu, wananchi ni kweli wana kauli ya mwisho lakini sio kiholela holela kuna utaratibu tuliojiwekea yaani kufuata katiba katiba kurekebisha katiba.

- Na mimi nikikujibu kwa lugha yako wote tutaonekana tunafanana, kwenye maisha kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake, matatizo ya inferiority kwamba wenye mawazo flani ambayo sio sawa na yako basi ni vikaragosi na matusi mengi ya nguoni ni dalili za kuonyesha uwezo wako kufikiri unapoaniza na kuishia, pole sana mkuu naona umehangaika sana na hii thread sasa huwezi tena kujificha ha! ha! ha! ha!

William.

Hivi aliyekuambia tunataka MAREKEBISHO NANI?
Tumesema ni KATIBA MPYA mpaka kieleweke, we vipi?
 
Wapi nimetumia nguvu kubwa? labda wewe ndio unatumia hizo nguvu na wala sijasema uchaguzi unaendelea ni wapi hapo nimesema hivyo?

Hii ni post ya tatu kutoka kwangu kwenye hii thread sasa ni wapi hapo ninapotumia nguvu kubwa? Mimi sihangaiki na wala sitishwi nyau na nyie watoto mliokulia kwenye system ya kutafuna mpunga wa walipa kodi. We are sick and tired of you people kila kona ni majina yale yale tu mnafikiri Tanzania ni ya kwenu peke yenu?

Mkuu tumekuchoka mawazo yako yanajulikana kwa sababu tayari unafaidika sana na Chama Cha Majambazi nothing new there. Sasa mmebaki kupapatika papatika tu kama kuku lakini hamuwezi kufanya chochote kwa sababu Tanzania ni ya kila Mtanzania sio nyinyi peke yenu mnakuja na ukuwadi wenu humu.

Ndio sababu watu makini siku hizi wanakaa kimya kutokana na pumba zenu ambazo hazina tija kwa taifa. I know you will come and tell me that I use 100 IDs etc etc what type of a loser is you? Grow up man, you do not need to agree with anybody for that matter.

- Mkuu kama nilivyosema kule juu nikiendelea kujadili kwa mwendo wako nitashuka kwenye level yako, yaani hakuna mada wala hoja ila matusi hapana hayo sio yangu mkuu, najadili hoja kistaarabu maana siasa sio vita wala ugomvi, pole sana kaka!

William.

-
 
HIVI KATIBA MPYA YA KENYA ILIPITISHWA NA MAJORITY WA BUNGENI?
Maana naoan umenganagnia majority majority utafikiri wabunge ndio watao pitisha hiyo KATIBA!, Hakuna kokote duniani ambapo BUNGE liliwahi kupitisha KATIBA mpya bali ni WANANCHI NDIO WENYE WAJIBU HUO!

Hata ZNZ ni wazi Majority CCM walikuwa hawataki lakini kwa shinikizo lilifanikiwa!!!!! na hapa LITAKUWA TU, UTAKE USITAKE!!

- Mkuu mambo mengine kwanza muwe mnayasoma vizuri, Katiba ya Kenya imebadilika nini zaidi tu ya kumuingiza Raila kwenye mlo na kwa kushinikizwa na Wazungu, mwananchi wa kawaida wa Kenya hajasaidiwa lolote, bado nusu ya ardhi ya Kenya ni mali ya familia ya Kenyatta.

- Hakuna katiba inarekebishwa nje ya bunge mkuu, yaani hata haya mambo madogo sana ya siasa nayo lazima tukumbushane hapa, hakuna anayekataa marekebisho ya katiba tatizo ni namna ya kuirekebisha, huku ukiwapuuuza majority ndani ya bunge, mkuu hata huko Kenya ni mpaka pale wabunge wa Upinzani walipokuwa wengi sana bungeni ndio yalifanyika hayo mabadiliko madogo sana ya katiba!

- Mimi sibadili katiba ila ninachangia kama wewe, si ni haki yangu kuwa na mawazo yangu kama na wewe ulivyo na yako acha hasira mkuu!
ha!, ha! ha! ha!

William.
 
- Haya ni ya territory tafuta mengine mapyaa maana ni ya kawaida sana hakuna la ajabu ha! ha! ha!

William.[/QUOTE]

This arrogant will need displine, Enzi za baba yako zimepita, don't expose ur idiotism here, u r CCM beneficiary we know, you carry a head with
VACUUM INSIDE at least this guy ana brainView attachment 19546 not you, use ur brain to command ur mouth to talk not vice versa, u r tooooo low more than i thought, na unapenda ligi za mchangani nilikuambia, nothing u know, even just to contribute
u r hopeless, peleka uCCM wako kwenye familia yenu, period
 
This arrogant will need displine, Enzi za baba yako zimepita, don't expose ur idiotism here, u r CCM beneficiary we know, you carry a head with
VACUUM INSIDE at least this guy ana brainView attachment 19546 not you, use ur brain to command ur mouth to talk not vice versa, u r tooooo low more than i thought.

- Mkuu unajua sisi watu wa mjini matusi ni kawaida sana kwanza hapa hujatukana, na siwezi kushuka hiyo level hapana, however ninakukaribisha kurudi kwenye mada anytime ukimaliza matusi yako, ha! ha! ha!

William.
 
Back
Top Bottom