Ndugu wana jamii nina hamu kubwa sana ya kusikiliza mdahalo wa Dr Slaa leo ktk ITV saa 1 usiku.Nikawa nawaza,wengi tunategemea umeme wa TANESCO.sasa tujiadhari na hujuma za ukatikaji umeme,kwa kua Dr Slaa ana uhakika wa kua Rais na tayari kuna huju za msg na nyingine,natia shaka huenda umeme usiwe mzuri leo.Hii sio taarifa ila ni tahadhari,umeme ukikatwa leo basi tujue ni hujuma.Tuombe tanesco wahakikishe umeme uko stable nchi nzima ili kumsikiliza mkombozi wa Tanzania ijayo