Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Fisadi Kiwembe
slaa%26Rose.jpg

4rarnb.jpg
 
Ndugu wana jamii nina hamu kubwa sana ya kusikiliza mdahalo wa Dr Slaa leo ktk ITV saa 1 usiku.Nikawa nawaza,wengi tunategemea umeme wa TANESCO.sasa tujiadhari na hujuma za ukatikaji umeme,kwa kua Dr Slaa ana uhakika wa kua Rais na tayari kuna huju za msg na nyingine,natia shaka huenda umeme usiwe mzuri leo.Hii sio taarifa ila ni tahadhari,umeme ukikatwa leo basi tujue ni hujuma.Tuombe tanesco wahakikishe umeme uko stable nchi nzima ili kumsikiliza mkombozi wa Tanzania ijayo
 
kwenye ITV ya wachaga???? hakyanani stazami

SILAHA
Member

Join Date
Wed Oct 2010
Posts
11
Thanks
0
Thanked 2 Times in 2 PostsRep Power


Huna jipya, maana umejiunga ili ueneze UPUPU!!! chapa mwendo.
 
naamini amejiandaa kwa kila hali, sidhani kam watawezaa kumuudhi... waangalie wasije wakazidi kumpaisha kwa public sympath klutokana na senseless attacks
 
Wadau msisahau kuturushia hapa JF yale yatakayozungumzwa kwa sie ambako hatuoni ITV. Muwe na weekend njema
 
:A S 39::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty: hawawezi sasa hivi vichwa vinagonga hahahahahah
 

Itakula kwenu safari hii, kiwewe kimewapanda mnaweweseka huku na kule matumbo moto nchi inawatoka mikononi. Hamna hoja zozote za kuwaridhisha Watanzania kama mnastahili kuendelea kupewa ridhaa yetu ya kutuongoza tena kwa miaka mitano. Watanzania watalipuka kwa furaha kubwa ndani na nje ya nchi pale matokeo rasmi yatakapotangazwa na kuonyesha Dr Slaa ni mshindi kwa idadi kubwa sana ya kura. GO CHADEMA GO!
 
Mbona slaa anawanyima raha ccm! NAHISI LEO SISIEM WANAANDÅA MAKOTI YA KUVISHA MAGAZETI YOTE YA KESHO AU EVENT YOYOTE ITAKAYO HARIBU AU OUTWEIGH MDAHALO LETS WAIT! Nna hofu mno hasa nikisoma post za jf japo na muunga mkono mia kwa mia aliyedai umeme utakatika!
 
Back
Top Bottom