Fisadi Kiwembe
Ndugu wana jamii nina hamu kubwa sana ya kusikiliza mdahalo wa Dr Slaa leo ktk ITV saa 1 usiku.Nikawa nawaza,wengi tunategemea umeme wa TANESCO.sasa tujiadhari na hujuma za ukatikaji umeme,kwa kua Dr Slaa ana uhakika wa kua Rais na tayari kuna huju za msg na nyingine,natia shaka huenda umeme usiwe mzuri leo.Hii sio taarifa ila ni tahadhari,umeme ukikatwa leo basi tujue ni hujuma.Tuombe tanesco wahakikishe umeme uko stable nchi nzima ili kumsikiliza mkombozi wa Tanzania ijayo
NITAJARIBU SIMU ili kumuuliza dk slaa, endapo sitofanikiwa nitamomba generla ULIMWENGU kuniulizia maswla haya
1) Uganda imejiunga na OIC huku ikiwa na idadi kubwa ya wakirsto, wanafaidi misaada inayotolewa na taasisi hiyo. licha ya Uganda kuna nchi nyingi kama msumbiji.
lkn kwa kuwa swala hili linazungumzwa waziwazi na waumini hao, na huku dk slaa akiwa na matumaini makubwa (kama wanavyoamini chadema sio MS) jee endapo waumini hao wakadai jee nini utakuwa msimamo wake?
waislam watz wanataka kujiunga. nini malengo ya Chama cha chadema ktk swala hili?
naamini generla ulimwengu ataniulizia swala hili kwa manufaa ya taifa
Mimi mpenzi wa Man U lakini kwa sasa hivi nashughulikia mstakabali wa taifa letu. Sijui hata habari za mpira hadi Dr Slaa atakapokuwa amekwisha kuapishwa kwenda magogonihata mimi naona watafanya hivyo naona pia Star TV wataonyesha mechi ya kati ya Chelsea na Wolve muda huo huo!
Mimi mpenzi wa Man U lakini kwa sasa hivi nashughulikia mstakabali wa taifa letu. Sijui hata habari za mpira hadi Dr Slaa atakapokuwa amekwisha kuapishwa kwenda magogoni
Mimi ningeshauri aende one step further. Chama kinunue airtime on all major TV and Radio Stations Saturday usiku wa kuamkia tarehe 31, ahutubie watanzania wote na kuwapa kwanza shukrani na kuwahimiza wapige kura kwa kumchagua kiongozi makini ambae ataliondolea taifa hili janga la umaskini
NITAJARIBU SIMU ili kumuuliza dk slaa, endapo sitofanikiwa nitamomba generla ULIMWENGU kuniulizia maswla haya
1) Uganda imejiunga na OIC huku ikiwa na idadi kubwa ya wakirsto, wanafaidi misaada inayotolewa na taasisi hiyo. licha ya Uganda kuna nchi nyingi kama msumbiji.
lkn kwa kuwa swala hili linazungumzwa waziwazi na waumini hao, na huku dk slaa akiwa na matumaini makubwa (kama wanavyoamini chadema sio MS) jee endapo waumini hao wakadai jee nini utakuwa msimamo wake?
waislam watz wanataka kujiunga. nini malengo ya Chama cha chadema ktk swala hili?
naamini generla ulimwengu ataniulizia swala hili kwa manufaa ya taifa
So far nshawakumbusha watu kama kumi ivi
Mimi ningeshauri aende one step further. Chama kinunue airtime on all major TV and Radio Stations Saturday usiku wa kuamkia tarehe 31, ahutubie watanzania wote na kuwapa kwanza shukrani na kuwahimiza wapige kura kwa kumchagua kiongozi makini ambae ataliondolea taifa hili janga la umaskini
mbona hukuwa na mashaka na utafiti wa REDET???msulu unawavuka mwaka huu...kutwa mnakumbatia vilema kuomba kura ili muonekane mna huruma nao...hahaaaaaaa
Mdahalo umeahirishwa mpaka uchaguzi ujao teheeeeeeeeeeeeeeeee;;;