Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Fisadi Kiwembe
slaa%26Rose.jpg

Ni kama wakati wako wa kubadilisha jina umefika....
Hivi kuna fisadi kiwembe anayemzidi mgombea wako? Una makusudi kuzidi TANESCO wewe!
Kila linapokuja jambo jema kuhusu CHADEMA utatia dosari tu!

Furaha yangu ni kwamba umefika wakati wenu wa kufunga vinywa vyenu vyenye maneno mabaya!
Chama hicho kitawabakia nyie mnaopendelea Tshirt, kofia, kanga na vitenge (kumbukeni hivo ndo vimepelekea viongozi wabovu nchi hii).

Go go go Dr. Slaa
 
hata mimi naona watafanya hivyo naona pia Star TV wataonyesha mechi ya kati ya Chelsea na Wolve muda huo huo!
 
Ndugu wana jamii nina hamu kubwa sana ya kusikiliza mdahalo wa Dr Slaa leo ktk ITV saa 1 usiku.Nikawa nawaza,wengi tunategemea umeme wa TANESCO.sasa tujiadhari na hujuma za ukatikaji umeme,kwa kua Dr Slaa ana uhakika wa kua Rais na tayari kuna huju za msg na nyingine,natia shaka huenda umeme usiwe mzuri leo.Hii sio taarifa ila ni tahadhari,umeme ukikatwa leo basi tujue ni hujuma.Tuombe tanesco wahakikishe umeme uko stable nchi nzima ili kumsikiliza mkombozi wa Tanzania ijayo

Inategemea na atakachosema "Mzee wa Fitna na Kukomoana aka JK".

Lakini kama ataagiza Tanesco wafanye hujuma, basi Mkwere atachukiwa na Watz mara dufu.
 
NITAJARIBU SIMU ili kumuuliza dk slaa, endapo sitofanikiwa nitamomba generla ULIMWENGU kuniulizia maswla haya

1) Uganda imejiunga na OIC huku ikiwa na idadi kubwa ya wakirsto, wanafaidi misaada inayotolewa na taasisi hiyo. licha ya Uganda kuna nchi nyingi kama msumbiji.
lkn kwa kuwa swala hili linazungumzwa waziwazi na waumini hao, na huku dk slaa akiwa na matumaini makubwa (kama wanavyoamini chadema sio MS) jee endapo waumini hao wakadai jee nini utakuwa msimamo wake?
waislam watz wanataka kujiunga. nini malengo ya Chama cha chadema ktk swala hili?
naamini generla ulimwengu ataniulizia swala hili kwa manufaa ya taifa

malariaaaaaaa,dah umerudi ulifulia nini?
Any way,tutaongelea swala hilo kwenye katiba yetu mpya na tutakaa meza moja tuelewane kwa manufaa ya taifa na nyinyi pia
 
ni kweli...ikitokea kuna mgao sehemu wana jf uwanja uko wazi...labda wakalipue na server za jf!!
 
hata mimi naona watafanya hivyo naona pia Star TV wataonyesha mechi ya kati ya Chelsea na Wolve muda huo huo!
Mimi mpenzi wa Man U lakini kwa sasa hivi nashughulikia mstakabali wa taifa letu. Sijui hata habari za mpira hadi Dr Slaa atakapokuwa amekwisha kuapishwa kwenda magogoni
 
Jenerali mwenyewe anaonekana kaiochoka CCM. Kama Dr. Slaa aliweza kuibuka kidedea kwenye CCM tv (Star Tv) itakuwaje akiwa na Jenerali? Nian uhakika Dr. Slaa atatengeneza kura nyingine milioni 5 baada ya mdahalo huu! The death of CCM is real!
 
Hamzidi kibunango kule tampere. Maana wasuomi wangapi umeweka kinyumba na kuacha? Vipi chama si si emu, mbona kila mmoja anatwanga lwake na jamaa tunaona kadi za chama kwenye mapipa ya taka.
 
Huna akili wewe bataa wee,mdahalo umeahirishwa wewe unasikilizia tanesco,wa wapi wewe
 
Mdahalo umeahirishwa mpaka uchaguzi ujao teheeeeeeeeeeeeeeeee;;;
 
kweli Mengi Kabadilika gjhafla, Mengi mkuu wangu CCm hawabebeki
 
Mimi ningeshauri aende one step further. Chama kinunue airtime on all major TV and Radio Stations Saturday usiku wa kuamkia tarehe 31, ahutubie watanzania wote na kuwapa kwanza shukrani na kuwahimiza wapige kura kwa kumchagua kiongozi makini ambae ataliondolea taifa hili janga la umaskini

very good point
 
NITAJARIBU SIMU ili kumuuliza dk slaa, endapo sitofanikiwa nitamomba generla ULIMWENGU kuniulizia maswla haya

1) Uganda imejiunga na OIC huku ikiwa na idadi kubwa ya wakirsto, wanafaidi misaada inayotolewa na taasisi hiyo. licha ya Uganda kuna nchi nyingi kama msumbiji.
lkn kwa kuwa swala hili linazungumzwa waziwazi na waumini hao, na huku dk slaa akiwa na matumaini makubwa (kama wanavyoamini chadema sio MS) jee endapo waumini hao wakadai jee nini utakuwa msimamo wake?
waislam watz wanataka kujiunga. nini malengo ya Chama cha chadema ktk swala hili?
naamini generla ulimwengu ataniulizia swala hili kwa manufaa ya taifa

mbona hukuwa na mashaka na utafiti wa REDET???msulu unawavuka mwaka huu...kutwa mnakumbatia vilema kuomba kura ili muonekane mna huruma nao...hahaaaaaaa
 
WITO WANGU: Dr.Slaa ulikuwa shinyanga ukatwambia waliokagua lori la bakhresa Tunduma walisema walikuta karatasi feki za kura,kumbuka kwenda Itv na ushaidi, pia ulisema rasilimali zitalindwa kumbuka kutueleza jinsi tulivoibiwa na makampuni hewa,ili litawakumbusha wapiga kura uchungu wa mali zao.Kwa mtindo huu utata wa Watz walioshindwa kukubali ukweli. Dr. karibu ikulu. Ombi la mwisho,naomba ukiwa kama Rais, tembelea jamiiforums.com, home of Great Thinkers ukachague wabunge 10
wa kuteuliwa,sifa wanazo na nia ya kweli naona wanayo pia katiba inakuruhusu. Ukishindwa kuteua wabunge 10 kutoka hapa,basi naomba ulifanye Tawi la Chadema la mtandaoni,lenye wanaCCM wachache. Usipuuze ushauri huu,watu takribani 6700 waliokupigia kura kati ya hawa wanaokaribia 9,000 ni sawa na kijiji kimoja Tanzania chenye wanaCHADEMA wako wakiwemo robo ya jumla ambapo wataitwa wapinzani.
 
Mimi ningeshauri aende one step further. Chama kinunue airtime on all major TV and Radio Stations Saturday usiku wa kuamkia tarehe 31, ahutubie watanzania wote na kuwapa kwanza shukrani na kuwahimiza wapige kura kwa kumchagua kiongozi makini ambae ataliondolea taifa hili janga la umaskini

Mheshimiwa Professor Baregu, na Kaimu Katibu Mkuu Chadema, sikieni kilio hicho. Kama vipi pitisheni wito wa mchnago kwa ajili ya airtime kwenye TV za maana Jumamosi October 30
 
mbona hukuwa na mashaka na utafiti wa REDET???msulu unawavuka mwaka huu...kutwa mnakumbatia vilema kuomba kura ili muonekane mna huruma nao...hahaaaaaaa

Duh hapo red pana ukweli nini?
 
Back
Top Bottom