pamiho
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 271
- 36
Fisadi Kiwembe
![]()
Ni kama wakati wako wa kubadilisha jina umefika....
Hivi kuna fisadi kiwembe anayemzidi mgombea wako? Una makusudi kuzidi TANESCO wewe!
Kila linapokuja jambo jema kuhusu CHADEMA utatia dosari tu!
Furaha yangu ni kwamba umefika wakati wenu wa kufunga vinywa vyenu vyenye maneno mabaya!
Chama hicho kitawabakia nyie mnaopendelea Tshirt, kofia, kanga na vitenge (kumbukeni hivo ndo vimepelekea viongozi wabovu nchi hii).
Go go go Dr. Slaa