Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Mpuuzi. Unafikiri Dr Slaa ni mtu wa kuandaliwa maswali kama viongozi wa chama chako? Mdahalo ni LIVE hakuna kuchakachua. Nikufahamishe kuwa jukwaa hili lina option ya kuwa msomaji tu si lazima uchangie kama huna uwezo wa kujenga hoja za msingi. Nikukumbushe pia hapa si pa watu wa wakushikiwa akili.
 
Hawa CCM bana, kwa sasa wameshiwa hoja kabisa!! JK (Dr mezani) hawezi kuwa sawa na Dr. Slaa (PHD).

VOTE FOR CHEDEMA!!
 

Wewe hakika ni bingwa wa upupu aka shehe ubwabwa.
 
Dr slaa wa ukweli.sio wa kuchakachua.unataka hutaki huyo ni Rais wetu from Nov 1
 
Ni sawa nitapuuza pia sitampigia simu kumwuliza swali nitampigia simu tarehe moja kumpongeza mimi na wengine wote watanzania unaosema tunajipanga kupuuza mahojiano so upo sahihi kabisa.
 

wajuvi tushajua lengo lako ni kuongeza idadi thread hapa JF
 

Matatizo ya mama kutumia maziwa ya kopo toka china badala ya kukunyonyesha ziwa lake matokeo yake ndo hayo.
 

Duh,u-sheikh Yahya hadi kwenye vipindi vya tv ambavyo bado havijarushwa hewani?
 
Rudi hatua chache nyuma, anza upya, kwa nguvu zaidi!!!
 


:washing::smash:
 
kesho nitatengeneza decoder yangu niweze kuuona mahojiano hayo bila chenga. Mtakoma msiopenda
 
Kweli we kabichwa ka hoja, na mi napenda kushukuru kwa kutuutaarifu, mwambie na dingi ake Lizi ackose iyo kesho kutazama, ikiwezekana wakae wote sebuleni kwan ka wiki kao ka mwisho kukaa apo Feri.
 

U just joined Jana 21 Oct,
u started with ujinga, i do not wonder ww ni CCM of which ur all wajinga,
only a week left to prove wa-tz wamechoka, idiot
GO ON DR Slaa
 
hii ni pumba ya mwaka...ni muhimu kupost kitu kwa kujali maslai ya watanznai sio kusukumwa na mahaba yako kwa chama chako..kimsingi wewe huwezi wasemea watanzania wanataka nini! you better https://jamii.app/JFUserGuide off...
tuta mtazama DR. Slaa kama wewe hutamtazama poa..na kwa taarifa yako mahojiano ya Dr Slaa yamekuwa gumzo kubwa mijini na vijijini...watu wote wanasema lazima wamuone..
mwaka huu mtameza viwembe mfe kwani Dr Slaa anawafanya ktu mbaya
 
Wasiwasi wangu ni kuwa wanaweza waambia TANESCO wazime umeme na kusingizia fault. Wakifanya hivyo itakuwa pouwa sana kwana ndiyo watakuwa wanazidisha hasira za wananchi juu yao na jiji lenyewe Dar joto. Kila mtu akijisikia vibaya hasira kwa CCM inapanda kwa nyuzi 100 zaidi
 
Nimelipenda jina...Bingwa wa Hoja! Tanzania tuna mabingwa na watu mahiri kila kona. Sijui nani nhuwa natoa vyeo vyetu hivi...au ndio kule kutofikiri sana kunachangia kukurupuka na maneno yasiyoleta maana?
Anyway, kuhusu suala la mdahalo, sikubaliana na hoja yako maana watanzania tuko karibu 40 Milion. Ukianza kusema on behalf of 40 Milion people lazima uwe umehitimu u professor ule wa kuongeza nguvu za kiume.
 

Idiot! wewe labda bingwa wa hoja za ****** (TUSI BAYA). Tena uombe radhi kabla hatujaanza ku-ignore posts zako. nA WASIWASI WEWE NI MALARIA SUGU UMEKUJA NA ID NYINGINE! IDIOT!
 

Naomba kutofautiana kidogo, Mafisadi ndio wanaoisubiri hayo mahojiano kwa Woga na hamu sababu Slaa ni Jinamizi la kutisha kwao USIPIME!
 
It's called, get-a-real-job muhf*, and ooh! muungwana says p'se get your mouf off his johnson coz he wanna go take a leak...head-first-fall for all yu infidels mnaojikomba kwa mafisadi, ever heard the ancient tale of SODOMISED PUPPETS? Now stay put!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…