Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Itakuwa saa ngapi nisikose?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaaaaaaaa.................!!!!!!au mwalimu salma
au mwalimu salma
Waandaaji EABMTI, Mpigieni Dada Rose Mwakitwange 0717190856. wanarusha ITV
Waandaaji EABMTI, Mpigieni Dada Rose Mwakitwange 0717190856. Mimi shachukua kadi yangu, wanarusha ITV
Itakuwa saa ngapi nisikose?
.Jumamosi, Oktoba 23 Mgombea Urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa atajibu maswali ya wananchi moja kwa moja (live) kupitia ITV Televisheni, kuanzia saa moja jioni hadi tatu usiku.
Mwambie rafiki yako na wadau wote wa uchaguzi wasiokuwa kwenye mtandao huu, kwa njia ya simu au ujumbe mfupi wa maandishi, ni wakati murua wa kumuuliza maswali na kumbana kujua anataka kuifanyia nini hasa nchi hii, maana midahalo ndio kama hiyo ya urais hatuoni kama itakuwapo tena.
Tufunge huo mjadala wote tumeletwa na mwenyezi mungu hapa duniani. Mungu awajua walio wake na atawapigania katika mabaya yote. Tuendelee kumtumaini mungu tutashinda tu kwa uwezo wake.
Mengine tutajiumiza vichwa bure tufikirie kulinda kura kwa kwa akili zetu zote na kwa msaada wa mungu.
tutavuka salama Dr.Slaa ni Musa wetu.
Nashauri asifanye hivyo kabisa atajimaliza,hakuna sababu ya kuendelea kutia chumvi Dr.Slaa tayari amekubalika hana haja ya kuendelea kujiuza, hiyo strategy haitakuwa tofauti na ya JK ya kueneza mabango nchi nzima, SLAA ni bidhaa inayouzika kwa wateja ni bidhaa adimu, anatakiwa aendelee na za majukwaa zinatosha sana, magazeti yanafanya kazi kubwa sana pia.
Chonde chonde asifanye hivyo nawaomba washauri wake wabadilishe, the strategy is not healthy, ile aliyofanya juzi pale ITV na Masako inatosha sana wa watu waliizungumzia karibu nchi nzima.TAFADHALIU TUSIZIDISHE CHUMVI MBOGA ITAHARIBIKA.
Ina maana " Dr" Jakaya Kikwete hataudhuria? Oooh nimesahau hana experience ya kufanya presentation!!Si ubajua U-dr ameupata jukwaani? How can he lead the people he is scared of facing?
kwenye ITV ya wachaga???? hakyanani stazami
Jumamosi, 23 Octoba 2010
Kipindi kitaanza kurushwa kuanzia saa 1.00 jioni
Waalikwa wawe wamekaa ifikapo saa 12.00jioni
Ukumbi ni Moven Pick Hotel-Kivukoni Hall
**Ukumbini kwa walio na mwaliko wa kadi pekee