Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Matokeo ya utafiti wako ni watanzania wangapi umewafikia?

Wale wale kina synovate na redet.

Wanatamka neno Watanzania kwa kuzingatia ukubwa wa familia zao.

Mwehu kweli.

SIMCHAGUI KIKWETE.
 
Pole sana. Mimi na familia yangu tutakuwa sebuleni kunyonya kwa mrija sera murua za Dr Slaa
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.

hizo ni siasa nyepesi "Askofu Kakobe"
 
Kwa mujibu wa gazeti moja la kila siku sio Dr Slaa pekee kaandaliwa mdahalo huo,Prof Lipumba yeye kaandaliwa tarehe 29/10/2010,Kikwete hajatoa jibu bado kama atashiriki au laa.Mtoa hoja haukusanya maelezo kabla ya kuandika ujumbe wako.Pia hayo ya kusema watanzania wamapanga kumpuuza Padre huyo wa kanisa katoliki haikuwa lugha nzuri kwan tunarudi katika udini tena.Tuandike fact na sio ushabiki:A S 39:
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.
Mi sioni tatizo watz wakikataa..kama ulivosema kumpuuza Slaa (PhD).

At the end of the day, whichever way, wao ndio watakaolipa gharama ya uongozi mbovu.
 
Naisubiri hii!!! Maana ile ya jana na Star TV was amazing!!!
 
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.

Mbona humsemi kamisaa wa jeshi la wananchi na mwalimu wa shule ya msingi alikimbia ualimu kwa kuogopa kushtakiwa kwa kubaka?

Tanzania tumekuwa na viongozi wakiwa wanaitwa vyeo vya kiisalamu kama Sheikh Aboud Jumbe, Sheikh Abeid Aman Karume, Sheikh Rashid Mfaume Kawawa, Al-Haji Ali Hassan Mwinyi, na wengine lakini wakristo hawakuwahi kuona kuwa hilo ni tatizo. Lakini leo hii Slaa ambaye ametumia muda wake mwingi kama mbunge (miaka 15) kuliko muda aliotumikia upadri (miaka 11) amekuwa ni mtu mbaya sana kuwa kiongozi wa taisa hili kutokana na tu na hiyo background yake kwenye dini. Ujinga gani huo jamano, naona kama huko ni kufilisika kabisa kisiasa. Kujenga chuki za namna hiyo kutaiharibu kabisa nchi hii ambayo licha ya mgawanayiko wa dini pia ina makablia mengi sana kuliko ncho yoyote kwenye ukand huu wa afrika. Tutaanza kupondana kidini halafu tutageukiana kibali,a baadaye tutakuwa Balkan ya Afrika
 
ya Jmosi itatisha ....huyumzee bana ana maarifa na akili sana...yaani huyu kama una m mgombea wako tayari umepanga kumchagua basi usimsikilize maana utabadili msimamo hivi hivi....hahaa Kinana mwenyewe kasema ushindi sio lazima...mweeee
 
Bingwa wa hoja
user-offline.png

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateThu Oct 2010
Posts12Thanks0
Thanked 1 Time in 1 Post

Umetumwa na mafisadi wako?
 
mod nisaidieni kuikuza hii pc huyu jamaa aione vzr.
 
Attachments

  • kikwete.jpg
    kikwete.jpg
    25.7 KB · Views: 35
Back
Top Bottom