Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Matokeo ya utafiti wako ni watanzania wangapi umewafikia?
Wale wale kina synovate na redet.
Wanatamka neno Watanzania kwa kuzingatia ukubwa wa familia zao.
Mwehu kweli.
SIMCHAGUI KIKWETE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya utafiti wako ni watanzania wangapi umewafikia?
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.
Pole sana. Mimi na familia yangu tutakuwa sebuleni kunyonya kwa mrija sera murua za Dr Slaa
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.
Mi sioni tatizo watz wakikataa..kama ulivosema kumpuuza Slaa (PhD).Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.
Watanzania walio wengi wameonyeshwa kukerwa na kitendo cha Dr slaa kuandaliwa mahojiano maaalumu ITV ambayo yanatajwa kuwa ni moja ya mbinu ya propaganda kwani kuna tetesi kuwa hata watakaopiga simu kuuliza maswali katik kipindi hiko watakuwa wafuasi wake , kutokana na hilo watanzania wengi wanasema watampuuza Dr slaa ambaye anaonyesha kutapatapa baada ya kura zote za maoni kuonyesha yupo nyuma ya kikwete na hata upepo wakisiasa unamvumia vibaya kwani anaonekana ni rais wa magazetini tu lakini hawezi kushinda hivyo watanzania wamepania kumpuuza padre huyo wa kanisa katoliki.
Mwanakijiji hiyo ni time ya huko kwenu au ya kwetu hapa bongo?Kuanzi saa nne asubuh saa za ET. Ni mahojiano ya kina na mgombea.
Kuanzi saa nne asubuh saa za ET. Ni mahojiano ya kina na mgombea.