Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

Elections 2010 Dr. Slaa kujibu maswali "Live" ITV saa moja Usiku Jumamosi Hii

NITAJARIBU SIMU ili kumuuliza dk slaa, endapo sitofanikiwa nitamomba generla ULIMWENGU kuniulizia maswla haya

1) Uganda imejiunga na OIC huku ikiwa na idadi kubwa ya wakirsto, wanafaidi misaada inayotolewa na taasisi hiyo. licha ya Uganda kuna nchi nyingi kama msumbiji.
lkn kwa kuwa swala hili linazungumzwa waziwazi na waumini hao, na huku dk slaa akiwa na matumaini makubwa (kama wanavyoamini chadema sio MS) jee endapo waumini hao wakadai jee nini utakuwa msimamo wake?
waislam watz wanataka kujiunga. nini malengo ya Chama cha chadema ktk swala hili?
naamini generla ulimwengu ataniulizia swala hili kwa manufaa ya taifa

MS natamni aulizwe swali hilo mbona ni rahisi sana kwa Dr wa ukweli. Rasili mali tulizonazo zinatosha kutuondolea umaskini sio lazima tujiunge na jumuia za kimataifa. Dr Slaa amekuwa akisisitiza kuwa sisi sio watu wa kuomba omba misaada, tutabana matumizi serikalini, tutabuni njia zaidi kuhakikiksha wahindi hawakwepi kodi Tutahakiksha kuwa tunatumia rasilimali zetu yaani, dhahabu, almasi, ng'ombe, maziwa, mito, bahari kuwanufausha watanzania, tutahakikisha kuwa mafisadi walioiba pesa zetu wanarudisha na kuziba minya yote. Hatuhitaji misaada ya OIC wala IMF wala Bank ya Dunia. Tunaweza Utnaweza.
 
dua zangu na za watanzania wote ni kwa tanesco wasijekata umeme jamani mdahalo upo pale pale.

kings of kings,babuyao na kigogo nilipata taarifa zisizo rasmi,invisible mdahalo uko pale pale leo game ya chelsea na wolve msiiangalie angalieni mdahalo wa slaa saa moja

chagua chadema chagua slaaaaa
 
dua zangu na za watanzania wote ni kwa tanesco wasijekata umeme jamani mdahalo upo pale pale.

kings of kings,babuyao na kigogo nilipata taarifa zisizo rasmi,invisible mdahalo uko pale pale leo game ya chelsea na wolve msiiangalie angalieni mdahalo wa slaa saa moja

chagua chadema chagua slaaaaa


Unatafuta BAN???
 
dua zangu na za watanzania wote ni kwa tanesco wasijekata umeme jamani mdahalo upo pale pale.

kings of kings,babuyao na kigogo nilipata taarifa zisizo rasmi,invisible mdahalo uko pale pale leo game ya chelsea na wolve msiiangalie angalieni mdahalo wa slaa saa moja

chagua chadema chagua slaaaaa

hII sIO SEHEMU YA KUCHEZEA NA POST ZA KITOTO
TUKO BUSY NA UCHAGUZI SASA HIVI
 
wakizima sijui itakuwaje anyway haitasaidia maana dk slaa tiari yupo kwenye mioyo ya watanzania
 
Hawajui kuwa ndo wanampa umaarufu Dr Slaa cha msingi wangemshauri JK nae apande next week

Hilo kosa JK hawezi kulifanya maana tuna maswali mengi sana tena ya msingi ambayo yeye hana majibu yake na anajua lazima tutamuuliza hahaha...
 
Son of Peasant tulia mwanawane tumalizie kazi, bado wiki moja tu na leo ni siku potential sana. We need a new hope, the hope we can trust for changes in our country. Dr Slaa can do this for our country.
 
Wakuu, atakayeweza kurekodi jamani tadhali fanya hivyo ili na sisi ambao hatutaweza kuuona huo mdahalo tupate nafasi ya kumsikiliza RAISI wetu mtarajiwa.
 
kikwete.JPG

Duh hapo anatoka kwa Mganga wa kienyeji au??
 
watu kama hawa wapo kila mahali huyu son of peasant kwa kweli ananifurahisha sana habari zake ni za uongo kila siku sasa muacheni kama JF wamelala sisi tunasonga mbele chadema hoyeeeeeeee
 
Kwa wale kinamimi ambao hatujaweza kusukumana kwenye mikutano ya kampeni leo ni siku nzuri na sisi tusikie hizo sera zao. Natamani wangekuwepo Top 4 - Dr Kikwete, Dr Slaa, Prof. Lipumba na Hashim Rungwe tuwasikie wote ili tuweze kufanya maamuzi sahihi tarehe 31/10/2010. Kwa sisi ambao hatuna muda wa kuhudhuria mikutano ya kampeni, huu mdahalo utakuwa wa upande mmoja kwani tutakuwa hatujawasikia wengine.
 
jamaa hawaeleki wanaweza kuchakachua umeme usiwake???????? , wasije wakawa wamepewa semina elekezi wanajua wananchi wanataka kmsikiliza rais wao tuungane tuangalie wana jamii
 
sina wasiwasi na dk slaa,i bliv atawakilisha vizuri, nawashauri hao makada na vibaraka wa thithiem wawe makini maana watajikuta kwa sekunde mbili tu atakazoongea slaa watapoteza dira
 
Back
Top Bottom