NITAJARIBU SIMU ili kumuuliza dk slaa, endapo sitofanikiwa nitamomba generla ULIMWENGU kuniulizia maswla haya
1) Uganda imejiunga na OIC huku ikiwa na idadi kubwa ya wakirsto, wanafaidi misaada inayotolewa na taasisi hiyo. licha ya Uganda kuna nchi nyingi kama msumbiji.
lkn kwa kuwa swala hili linazungumzwa waziwazi na waumini hao, na huku dk slaa akiwa na matumaini makubwa (kama wanavyoamini chadema sio MS) jee endapo waumini hao wakadai jee nini utakuwa msimamo wake?
waislam watz wanataka kujiunga. nini malengo ya Chama cha chadema ktk swala hili?
naamini generla ulimwengu ataniulizia swala hili kwa manufaa ya taifa
MS natamni aulizwe swali hilo mbona ni rahisi sana kwa Dr wa ukweli. Rasili mali tulizonazo zinatosha kutuondolea umaskini sio lazima tujiunge na jumuia za kimataifa. Dr Slaa amekuwa akisisitiza kuwa sisi sio watu wa kuomba omba misaada, tutabana matumizi serikalini, tutabuni njia zaidi kuhakikiksha wahindi hawakwepi kodi Tutahakiksha kuwa tunatumia rasilimali zetu yaani, dhahabu, almasi, ng'ombe, maziwa, mito, bahari kuwanufausha watanzania, tutahakikisha kuwa mafisadi walioiba pesa zetu wanarudisha na kuziba minya yote. Hatuhitaji misaada ya OIC wala IMF wala Bank ya Dunia. Tunaweza Utnaweza.