Chadema wanatakiwa wapige kampeni na si kulialia. Hii ni dalili ya kushindwa kabla ya mchezo.
Itakavyokuwa lakini CHADEMA wanaonyesha maana ya mkuu wa nchi kusimamia SHERIA! Kama Ukiwa na Rais kama huyu ambaye amesainisha sheria kwa mbwembwe halafu haitekelezi unatarajia nini Akishinda? Umeona aliposema kuwa WEZI WA EPA WALIORUDISHA HELA KAWASAMEHE! Kwani wewe unafikiri Dini ya KIISLAMU inaruhusu dhuluma? Wewe ni Muislam wa wapi! Unachagua mtu anayeleta usawa na sio kuangalia mambo ya kibaguzi! Kama waislam wanaikubali CUF mara zote NNE mbona hawajashinda hadi wametafuta Huruma ya CCM kuingia serekalini huko Zanzibar? Tena wamekubali kuwa Vivuli mana hawatakuwa watendaji.CHADEMA jamani hawana sera na hawajiamini pamoja na mabomu yao yote hayo.
Wanataraji huruma ya Tendwa.Kosa ni la kwao wenyewe kuweka mgombea asiye na elimu inayohitajiwa na watanzania wa sasa.Mgombea wao hakubaliki kabisa hasa miongoni mwa jamii ya waislamu.
Wanalilia na huruma ya Mungu.Ati Kikwete afe,vipi nyinyi!.Kuumwa si kufa.Safari ya Dkt Slaa ni ndefu.Hata ikitokea dharura basi si Chadema watakaochukua nchi bali ni CUF.
ACHA MAMBO YA KIDINI! Uliza ndugu zako au majirani au marafiki zako wangapi wamefaidika na CCBRT? Ndio utajua kuwa dini ni imani tu, na bora mtu wa dini anayesimamia haki kuliko mtu asiyesimamia haki.ingekuwa tunachagua PAPA basi Dr slaa(Daktari wa mambo ya imani ya kikristo) angetufaa, ila kwa urais wa Jamhuri ya Muungano wamchelewa na wamepwerewa pwere
sasa huyu mkwere nadhani hadi uchaguzi upite atakuwa ashakufa kwa stresses!
Watu wengi ukiwamo wewe Mozze munasema ubaguzi wa kidini na dini ni vitu visivyo na maana,lakini kivitendo daima munaonesha kushindwa kujitenga navyo.Hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kwani dini ni sehemu ya ubinadamu.Itakavyokuwa lakini CHADEMA wanaonyesha maana ya mkuu wa nchi kusimamia SHERIA! Kama Ukiwa na Rais kama huyu ambaye amesainisha sheria kwa mbwembwe halafu haitekelezi unatarajia nini Akishinda? Umeona aliposema kuwa WEZI WA EPA WALIORUDISHA HELA KAWASAMEHE! Kwani wewe unafikiri Dini ya KIISLAMU inaruhusu dhuluma? Wewe ni Muislam wa wapi! Unachagua mtu anayeleta usawa na sio kuangalia mambo ya kibaguzi! Kama waislam wanaikubali CUF mara zote NNE mbona hawajashinda hadi wametafuta Huruma ya CCM kuingia serekalini huko Zanzibar? Tena wamekubali kuwa Vivuli mana hawatakuwa watendaji.
Kama una akili timamu utawaunga mkono CHADEMA mana wanachotetea sio cha dini bali kinamgusa kila mtu! Wale mafidadi kwani waliiba hela za nani? Si kila mtu Mkristo kwa Muislam anateseka! sasa wewe kama unasema Kikwete anachaguliwa kwa mantiki ya Uislam kakusaidia nini? Bora Mkapa aliyetoa chuo kikuu, Nyerere aliyetaifisha shule za kidini ili watu wote wawe na usawa wa elimu.....
CHADEMA wanasimamia haki ya wote, hakuan ruhusa kwa RAIS kufunja sheria, mana ameapa tena kwa kuishika kuran kuwa watasimamia sheria!
ACHA MAMBO YA UBAGUZI WA KIDINI HAUTAKUFIKISHA POPOTE!
Chadema wanatakiwa wapige kampeni na si kulialia. Hii ni dalili ya kushindwa kabla ya mchezo.
Una uhuru wa kutoa maoni yako. Hujui mimi ni imani gani hivyo usikisie! Ninachojaribu kuweka hapa ni ukweli! OIC na mambo mengine hayo ni matakwa ya wananchi na sio Rais...kama katiba hairuhusu hata umweke shehe mkuu atakwama tu! Lakini wananchi wakiridhia hakuna atakayekwamisha!Hiyo habari ya CCBRT ni habari nyengine na ni matokeo ya ubaguzi wa kidini na kiutawala.Kwani Wakristo wangapi watafaidika pindi nchi ikijiunga na OIC au mashirika ya kiislamu ambayo hufanya kazi zake bila ubaguzi yakiachwa kufanya shughuli zake Tanzania?.
Watu wengi ukiwamo wewe Mozze munasema ubaguzi wa kidini na dini ni vitu visivyo na maana,lakini kivitendo daima munaonesha kushindwa kujitenga navyo.Hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa kwani dini ni sehemu ya ubinadamu.
Hata mgombea wenu Dkt Slaa ana hadaa kama hizo mdomoni alizorithi kwa baba yake Nyerere,lakini kivitendo anatetea dini yake na dhehebu lake la ukatoliki,ndio maana bungeni mambo yenye faida na watanzania wote lakini yanayoanzia kwenye uislamu hakutaka kuyatetea pamoja na kidomo domo chake chote.
Kuhusu kutokushinda kwa CUF sababu zinajulikana kuwa ni ubaguzi wa kidini na wizi wa kura.Kwa sababu ikiwa ni usomi wakati huo na sasa hakuna chama chenye wagombea wasomi kama CUF hata CCM hawaingii.
Kusema kwa dkt Slaa si tiketi ya kuongoza nchi.Wangapi ni wasemaji sana lakini katika utekelezaji ni sifuri.Huyu ana mwelekeo huo huo kwa sababu inasemekana katika CHADEMA kuna udikteta wa hali ya juu lakini yuko doro mno hata kuuzungumzia.
Ulipomjibu Mtu wa pwani umesema: ACHA MAMBO YA KIDINI! Uliza ndugu zako au majirani au marafiki zako wangapi wamefaidika na CCBRT? Ndio utajua kuwa dini ni imani tu, na bora mtu wa dini anayesimamia haki kuliko mtu asiyesimamia haki.
Hiyo habari ya CCBRT ni habari nyengine na ni matokeo ya ubaguzi wa kidini na kiutawala.Kwani Wakristo wangapi watafaidika pindi nchi ikijiunga na OIC au mashirika ya kiislamu ambayo hufanya kazi zake bila ubaguzi yakiachwa kufanya shughuli zake Tanzania?.
huko ni kupoteza muda wenu wa kampeni na pesa. pole Chadema
Mbona vyama vingine havijaweka pingamizi??
Mbona vyama vingine havijaweka pingamizi??