kandambili2
Member
- Aug 20, 2010
- 67
- 21
Mbona mapema kuanza kujitafutia majibu.kuna kujiamini kweli.kama kupo tuliza boliKama kawaida,Tendwa atawatetea mabosi wake wanaomweka mjini (CCM). CHADEMA inaonesha ukomavu wa kidemokrasia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mapema kuanza kujitafutia majibu.kuna kujiamini kweli.kama kupo tuliza boliKama kawaida,Tendwa atawatetea mabosi wake wanaomweka mjini (CCM). CHADEMA inaonesha ukomavu wa kidemokrasia.
Pingamizi si lelemama.yaliyopelekwa ni malalamiko.wasubiri yafanyiwe kazi.ndipo watakapojiona wamechemsha mawe.heading ibadilishwe wamepeleka malalamiko, hawana jeuri ya kuweka pingamizi hao.
na kwa hakika hata wale wanachama wao na viongozi kwa miaka kumi na tano wameamua kushuka kwenye boti kwa fitina na chuki na ukabila walio nao watu hawa
Mbona unawadanganya wana JF.Au unataka wakuone unavyokurupuka.Au mategemeo ya CHADEMA yalikuwa katika pingamizi.mbona mnahaha.ahahaa si mlijiingiza wenyewe badala ya kwenda karatu mlikozoeleka mkataka makubwa.Basi kama ndivyo subiri matokeo ya wachambuzi.kumbuka kilichopelekwa kwa msajili ni malalamiko si pingamizi .Hatudanganyikiiiiiii.zipo taratibu za kufuatwa.Mgombea wa CCM kwenye kiti cha urais, Mh JM Kikwete amewekewa pingamizi na Chama cha Demokrasia na maendeleo kwa kukiuka sheria aliyoisaini yeye mwenyewe. Imedaiwa kuwa ameongeza mishahara kwa wafanyakazi kinyume na taratibu za nchi kitu ambacho kisheria kinaonekana ni rushwa. Kwahiyo CHADEMA wamepeleka malalamiko yao kwa tume ya uchaguzi wakiomba jina lake lienguliwe kwenye mbio za kuwania uras wa JMT. Je kweli Tendwa ataweza kusimamia haki?
Sungura
Naona sasa mnampa rushwa Tendwa.TumewashtukiaNajua tendwa anaogopa, lakini namshauri atoe uamuzi unaostahili, kama anaona usalama wake utakuwa mashakani ajiandae tutamsindikiza ubalozi wa Uingereza kama alivyofanya John Kithongo wa Kenya, aliwataja wala rushwa wote akakimilia ubalozini. Tendwa tunamuakikishia kwamba Chadema ikishaingia madarakani tutamrudisha nyumbani kama shujaa na usalama wake utakuwa guaranteed.
Ndipo hapa tume huru ya uchaguzi inapohitajika, tendwa asingekuwa na kigugumizi, sasa kama ni mabosi wake unafikiri atafanyaje, mfano ametoa rushwa au kupokea kisha unampeleka kwa hosea
Akifafanua suala hilo Tendwa amesema baada ya maamuzi yake mlalamikaji na mlalamikiwa kama hawataridhika na uamuzi wake wanayo haki ya kwenda kutafuta haki yao kwenye vyombo vya sheria.
Hii ngoma inaweza ikafika hadi Mahakama ya Rufaa . . . . Lissu na Marando na CHADEMA hawatakubali. Uchaguzi unaweza kuahirishwa na sheikh Yahya akapanua soko lake kwa utabiri uliotimia.
Tutaona mengi mwaka huu.
Kwa nini uchaguzi uahirishwe mbona kuna wagombea ubunge wamewekewa pingamizi na kunawaliopita bila kupingwa na uchaguzi unaendelea.Hii ngoma inaweza ikafika hadi Mahakama ya Rufaa . . . . Lissu na Marando na CHADEMA hawatakubali. Uchaguzi unaweza kuahirishwa na sheikh Yahya akapanua soko lake kwa utabiri uliotimia.
Tutaona mengi mwaka huu.
Hii ngoma inaweza ikafika hadi Mahakama ya Rufaa . . . . Lissu na Marando na CHADEMA hawatakubali. Uchaguzi unaweza kuahirishwa na sheikh Yahya akapanua soko lake kwa utabiri uliotimia.
Tutaona mengi mwaka huu.
Ya nini malumbano; Ya nini maneno;
Najiweka pembeni; Naepuka msongamano;
Bora nitulie; Ningoje chakula nile;
Mola nijalie; Yasijirudie tena.
Kwa nini uchaguzi uahirishwe mbona kuna wagombea ubunge wamewekewa pingamizi na kunawaliopita bila kupingwa na uchaguzi unaendelea.
Jina la JK likitolewa uchaguzi unaendelea kama kawaida hata kama kungekuwa hakuna wagombea wengine na akabaki mmoja still huyo angepita bila kupingwa.
Ila kwa hili I can guess heat kwa Msajili otherwise tungesikia pingamizi amelitupilia mbali from day one kama ilivyozoeleka.