Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.
Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.
na waliouliwa sababu ya chama je hao hawajajitoaMbowe ana uchungu sana amefilisiwa mali zake kwa ajili ya kuwa CHADEMA kila mtu anajua !Sasa huwezi kumuondoa tu kwenye kuongoza chama eti kwa sababu we unataka !
Mwl. Nyerere alishawahi kusema he could not leave his party to the dogs !
Nyerere aliongelea nchi na sio chama. Kauli kuhusu chama ni ile aliyosema CCM sio mama yake mzazi.Mbowe ana uchungu sana amefilisiwa mali zake kwa ajili ya kuwa CHADEMA kila mtu anajua !Sasa huwezi kumuondoa tu kwenye kuongoza chama eti kwa sababu we unataka !
Mwl. Nyerere alishawahi kusema he could not leave his party to the dogs !
Aliesema haya maneno ni Dr Slaa ambae simuamini maishaNi habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.
Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.
Watu hawamuamini Mungu itakuwa binadamu.Aliesema haya maneno ni Dr Slaa ambae simuamini maisha
Atakaemuamini Slaaa ukapimwe akiliWatu hawamuamini Mungu itakuwa binadamu.
Hakuna ukweli wowoteNi habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.
Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.
Slaa hahitaji kuaminiwa. Na watu wasipomuamini hampunguzii kitu. Watu hawamuamini Mungu na Mungu bado yupo. Mtu yeyote anayemuamini mtu mwingine hana akili.Atakaemuamini Slaaa ukapimwe akili
Dr Slaa ana kimada kwenye kundi la Covid19... akae kimya.Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.
Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.
Akitaka wasimpe maelekezo arudishe hela walizompa.Kumbe maelekezo yanatoka kwa wakubwa!
Ha ha ha....wanawake huwa hamfichiani siri. Anyway ni mwanaume si jambo la ajabu.Dr Slaa ana kimada kwenye kundi la Covid19... akae kimya.