Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Ni habari ambazo zimepatikana na Dr. Slaa amezitoa usiku wa kuamkia leo katika Clubhouse. Kuwa amezinyaka hizo taarifa. Ijumaa ya tarehe 20 Mbowe alikuwa tayari atumie busara aachie nafasi.
Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.
Lakini amepokea ujumbe kutoka kwa Wakubwa kuwa asijaribu kumruhusu Lissu awe Mwenyekiti. Atajiharibia hasa katika biashara zake. So akae kwa kutulia ama sivyo ataangukia pabaya.