Nimebahatika kumwuliza hivyo, akasema tumtumie maswali au tutume mwandishi wetu Ijumaa wiki hii ili ajibu maswali yote na ikibidi kama tuna mapendekezo atatoa ufafanuzi kwa mapana.
Mimi naona kuwa Dr Slaa kugombea urais ni serious miscalculation. Dr Slaa ametufaa sana katika nchi hii katika nafasi ya ubunge. Nina uhakika mchango wake baada ya uchaguzi huu utakuwa mchango finyu sana na tena usio na nguvu yoyote maana atakuwa anazungumza kama mgombea urais aliyeshindwa, atakachosema itahesabiwa ni 'maneno ya mkosaji', na ataingia rasmi katika fungu la 'wapuuzwa' akina Mrema, Lipumba etc. What a wrong move ya kutusababisha kumkosa Dr Slaa bungeni! Yaani hapo tutakosa vyote, urais hapati na ubunge keshautema! Too bad! I am mourning!
Kwa uchungu na masikitiko makubwa, jimbo la Karatu litarudi CCM rasmi maana mwenyewe kaachia lindo! Too sad!Uteuzi wa Dr. Slaa ni strategic; mbali na kuwatoa jasho CCM na kuchangamsha kampeni, vilevile itasaidia kuwapa CHADEMA na upinzani wabunge wa kutosha kuongeza nguvu ya upinzani bunge lijalo.
Kushinda uraisi?? sina hakika kama Chadema wana mtandao wa atawi wa kutosha nchni kulinda kura zao ZISIIBIWE. Dr Slaa, tuko nyuma yako katika hili ingawa vilevile haitakuwa vizuri kuliachia jimbo la Karatu liende CCM?
Koas moja halihalilishi jingine..CHADEMA tutafuata taratibu zote zilizowekwa.Tunaenda hatua kwa hatua biula kuvunja kanuni zilizopo.Mambo ya Kubembelezana haya ndio maana siku zote tunakuwa kama Makondoo! CHADEMA nao wamwage Mboga tu watengeneze fulana na Mabango wayasambaze halafu wamsikilize Tendwa! Mwaga Mboga nimwage Ugali Ndicho kilichobaki ukimsema Umngojee Tendwa amkemee aliyemteua ni kupoteza Muda tu
Koas moja halihalilishi jingine..CHADEMA tutafuata taratibu zote zilizowekwa.Tunaenda hatua kwa hatua biula kuvunja kanuni zilizopo.
Mtu B nakubaliana na wewe katika hili..ILA naona pia kwamba wameshapiga mahesabu faida na hasara za DR. Slaa kugombe Urais mwaka huu...Muhimu ni kwamba kuna uwezekano mupinzani ukapata nguvu zaidi na wabunge wakaongezeka zaidi bungeni kutoka upinzani..ambalo ni la muhimu pi. Ikumbukwe kuwa pamoja na umuhimu wa Dr Slaa bungeni bado kura yake inabaki kuwa ni MOJA tu kulinganisha na zaidi ya 200 za CCM.
Hilo la kupooza baada ya uchaguzi itategemea mipango ya CHADEMA na upinzani kwa ujumla.....wana mikakati gani ya kuendeleza wimbi hilo baad aya uchaguzi? Maana kama CCM wana mikakati tayari for 2015, sioni ni kwa nini upinzani usiwe na mikakati hiyo kuanzia sasa..na mi nadhani, hili ni sehemu ya mikakatgi hiyo....kwa sababu mojawapo ni kwamba wananchi wengi wamelewa CCM...amini usiamini inahitajika nguvu kubwa kuwashawishi kinyume chake hasa mwaka huu unapoumzungumzie mtu kama JK mwenye kila kitu at his disposal! So mtu kama Dr. Slaa, ana uwezo mkubwa wa ushawishi wa kwanz akuwaelimisha watu na pia kuwaaamsha kutoka usingizini ili ikifika 2015 walau wawe wameelewa na iwe kazi rahisi kuleta mabadiliko
hapa mi naangalia zaidi 2015.......
Nimebahatika kumwuliza hivyo, akasema tumtumie maswali au tutume mwandishi wetu Ijumaa wiki hii ili ajibu maswali yote na ikibidi kama tuna mapendekezo atatoa ufafanuzi kwa mapana.
Du!,
Nimepata tetesi sasahivi wanamuandaa Prof. Mwesiga Beregu!. Kama kweli ni Dr. Slaa, CCM ikubali isikubali, JK mwaka huu, kazi anayo.
Huyu jamaa huwa ananinyevua sana...
Itabidi tupige kura za maoni wangapi hawampendi Maralia Sugu.