Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Dkt Wilbrod Peter Slaa endelea kuwakosesha CCM usingizi!
 
Pamoja na ufisadi matatizo mengine ya Tanzania ni UDINI hilo liko wazi asiyeona ni kipofu kama wewe, udini wenyewe ni Ukristo kujidai kuwa ni dini ya Taifa, na taifa limeingizwa kwenye matatizo na wataalaum, mafisadi, maofisa, mawaziri serikali wakristo period!

Du!!!!!! kama taifa tunaenda mbele tunarudi nyuma?????? Sikuwahi hata kufikiri kuna watu katika jamii tuliyoishi miaka yoote hiyo this is how they think!!!!!!!!!

Hii ni more than Dr. Slaa, it is just another agenda!
 
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?

KULIKO ASUSIE UCHAGUZI NI BORA USILE KWA SIKU 14!!UNATA ASUSIE HILI IWEJE??UNAMNYIMAAKI YAKE YA KIKATIBA??Malaria sugu aijakutoka umependa mpaka umepitiliza lakini wanasema:-
TOO MUCH IS HU......!!!!
 


Mkuu naona kila kukicha unaikimbia statement yako mwenyewe, inaonekana umepanic sana kuona Dr. Slaa ameingia ulingoni. If the statement above is what you believe in, kwa nini huishi kuanzisha mathread yasiyo kichwa wala miguu almost 5 per day kuhusu Dr. Slaa??????
Huyu MS ametumwa kuleta pumba zake humu! Yeye pamoja na mabwana zake hawajui kwamba "kadri chura unapompiga teke unamwongezea mwendo!" JK aanze kufungasha virago kule Magogoni ili ampishe mtu mwenye dhamira safi na nchi yetu!
 
Kwa kweli Dr. Slaa ni mtu makini na sio siri wasomi wenzagu wa chuo kikuu niliokutana nao wanaonyesha kumuunga mkono sana. Wapo na wengine wengi waliokuwa wamekata tamaa ya kupiga kura wamesema ari ya kura imerudi kwa kishindo na kura zote kwa Dr. Slaa. kwa kweli hao wapambe wa mafisadi matumbo moto na kutokana na hilo tujiandae kusikia mengi kumuhusu Dp. Slaa na kwa sababu hawajakomaa vema kipropaganda wanadhani kumpaka matope ni kumfanya akose umaarufu! wamechemka na wasubiri upinzani wa uhakika tunataka mtu mwenye dhamira ya kweli katrika maneno na vitendo. Wote wanaopenda maendeleo na Mafanikio ya Tanzania tumepewa Dr. Slaa tushindwe wenyewe, Hebu tumpe akasafishe kwa vitendo huko Bandarini, TRA, POLISI, SEKTA YA NISHATI NA KWENYE SEKTA NYINGINE. Pesa zinazopotea zikirudishwa katika mkondo nsahihi hata mishahara itapanda lakini kwa sasa tutamuonea J. K bure amefanya kwa uaminifu na kwa uwezo wake. sasa tunahitaji Mtu mwenye nia ya Dhati na hili linawezekana Dr. amekuja kipindi muafaka sana aungwe mkono . anayepinga na ajibu kwa hoja tu na Watanzania wanaosoma watabagua pumba na mchele.
 
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?

MS kuna drip za kwinini tumia hizo kutibu hoyo malaria yako
 
MS amepatwa na homa tangu Dr. Slaa achaguliwe na chama chake kugombea urais wanaCCM wanaweweseka kila kukicha, hii inaonyesha jinsi gani Dr. Slaa alivyo tishio kwa mafisadi, Mwaka huu ni wa Dr. Slaa wakubali wakatae mabadiliko ya kweli ni lazima hatukumbatii mafisadi kama wao sasa wanahaha kila kukicha kutafuta sababu ya kumchafula Dr. Slaa.

DR.SLAA MAPAMBANO NDIO YAMEANZA WALA USIRUDI NYUMA KUWAOGOPA HAWA MAFISADI USHINDI CHADEMA NI LAZIMA 2010 WANAFANYA KILA WAWEZALO KUKUPAKA MATOPE LAKII HAWAJUI KUWA BADALA YA KUKUPAKA MATOPE NDIO KWANZA WANAKUNGARISHA UNAZIDI KUNGARA!!
 
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?

Asusie ili kifa ulongo apite kwa kishindo. Hilo msahau kabisa vita mbele waamuzi ni wapinga kura
 
kwa lipi hilo alilo nalo jipya la kuwakosesha ccm usingizi?

kwa sera zake za ukweli za kupiga vita ufisadi na kuwafichua maovu yote mliyoyafanya na mnayoyafanya nyie wanaccm ndio maana kila kukucha mnamjadili huko ndio kuwakosesha usingizi!
 
MS kwanini usiendelee kuandika hizi pumba zako kwenye toilet paper zenu hapo Sinza? Tumekuchoka . Msalimie RA, kwaheri.
 
Kwakuwa imenitaja sana kwenye huu upupu wako naomba nikujibu kuwa ...hata mtumia maaskofu wote Tanzania Padre hawezi kuwa rais Tanzania...

Usikimbie JF baada ya Uchaguzi wala usibadili jina...mimi naona hofu kubwa kwenye maandishi yako hivyo kwa slaa kwakuwa anajua fika hakuna muislamu mwenye chembe ya imani atamachagua padre aliyebobea mambo ya kikatoliki aongoze nchi yetu..BIG NO..

Badili hiyo niliyobold na andika hivi; ...hakuna muislamu mwenye chembe ya udini...
 
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?

Asijito ndiyo kitu gani?
 
Wameanza kuhofia na wanataka asusie ili washinde kwa kishindo! Ama kweli hawa wapiga debe wameanza kutapatapa........na bado!
 
Asusie ili kifa ulongo apite kwa kishindo. Hilo msahau kabisa vita mbele waamuzi ni wapinga kura

Asusie ili kifa ulongo apite kwa kishindo. Hilo msahau kabisa vita mbele waamuzi ni wapinga kura

aha aha aha !!!!
 
Malaria Sugu, Tumaini,
Ukatoliki unaowatisha wa Dr Slaa ni upi huo? Dr Slaa amewahi kuwa PADRE na akawa Katibu wa TEC lakini tayari ana MKE! Ameendelea kidogo kama alivyokuwa Sir George Kahama.
 
badala ya kuuliza swali ungefuatilia kwanza ukweli wa hayo yanayosemwa na kama ukudhihirisha kuwa kweli ungekuwa wa kwanza kuandamana kushinikiza uchaguzi usifanyike kwasababu tayari watu wameshafikiri kwa ajili yako au wameshatoa idea na wewe km ntz unanafasi kubwa yktk musdtakabali wa taifa hili...................ulivyoandika unaonesha ni jinsi gani cc watz tulivyo kwamba unafikiri nchi ni ya slaa......yeye inawezekana pamoja na kupiga kelele nyingi zilizoleta manufaa makubwa kwa watz akiwemo wewe mwandishi ana uwezo mkubwa kiuchumi kuliko wewe na wengine lakini hiyo sio ishu ila cha muhimu ni uzalendoi................tuangalie hizi thread sio tu kuandika kwa sababu slaa amesema kwanza fatilia ukweli na pili wewe km mtz fanyia kazi matokeo ya utafiti huo...................Kwa taarifa yako anachokisema slaa ni ukweli na kuendelea kuwaachia mafisadi ni makosa we fikiri ingekuwaje slaa huyohuyo unayemsema angeamua kutogombea ubunge 2005 je taifa libgekuwa limesaidiwa na nani...............kuna njia nyingi unapotaka kupambana na mojawapo ni kuamua kujiunga pamoja na wabaya wako ili uwajue vilivyo na kisha iwe rahisi kuwalipua...........inabidi agombee kwa sababu weledi kama sisi na wewe ukiamua ndio tuna uwezo w2a kuamua tumpe nani kura zetu na kwa sababu gani..............
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom