Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na ufisadi matatizo mengine ya Tanzania ni UDINI hilo liko wazi asiyeona ni kipofu kama wewe, udini wenyewe ni Ukristo kujidai kuwa ni dini ya Taifa, na taifa limeingizwa kwenye matatizo na wataalaum, mafisadi, maofisa, mawaziri serikali wakristo period!
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?
Kwa lipi hilo alilo nalo jipya la kuwakosesha CCM usingizi?Dkt Wilbrod Peter Slaa endelea kuwakosesha CCM usingizi!
Huyu MS ametumwa kuleta pumba zake humu! Yeye pamoja na mabwana zake hawajui kwamba "kadri chura unapompiga teke unamwongezea mwendo!" JK aanze kufungasha virago kule Magogoni ili ampishe mtu mwenye dhamira safi na nchi yetu!
Mkuu naona kila kukicha unaikimbia statement yako mwenyewe, inaonekana umepanic sana kuona Dr. Slaa ameingia ulingoni. If the statement above is what you believe in, kwa nini huishi kuanzisha mathread yasiyo kichwa wala miguu almost 5 per day kuhusu Dr. Slaa??????
Kama hana jipya, kinachowasukuma kumjadili kila kunapokucha ni nini?Kwa lipi hilo alilo nalo jipya la kuwakosesha CCM usingizi?
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?
kwa lipi hilo alilo nalo jipya la kuwakosesha ccm usingizi?
...........mi naona imekaa kisisiem sisiemimekaa kichadema dema
Kwakuwa imenitaja sana kwenye huu upupu wako naomba nikujibu kuwa ...hata mtumia maaskofu wote Tanzania Padre hawezi kuwa rais Tanzania...
Usikimbie JF baada ya Uchaguzi wala usibadili jina...mimi naona hofu kubwa kwenye maandishi yako hivyo kwa slaa kwakuwa anajua fika hakuna muislamu mwenye chembe ya imani atamachagua padre aliyebobea mambo ya kikatoliki aongoze nchi yetu..BIG NO..
kila nikimsikiliza dk slaa namsikia analalamika kwamba tume ya uchaguzi sio huru.
analaumu utendaji wa jeshi la polisi
analaumu redio kwa upendeleo
kama ni hivyo, tume ndio hiyo, polisi ndio hao, na bado tbc na redio ndio hizo hizo.
kwanini sasa dk slaa asijito ktk kiti cha urais?
Asusie ili kifa ulongo apite kwa kishindo. Hilo msahau kabisa vita mbele waamuzi ni wapinga kura