Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
]Hata kama akiukosa urais[/B] atafanikiwa kuingiza upinzani bungeni kwa asilimia kubwa. CHADEMA...TANZANIA MPYA, MWANZO MPYA!!
Although you are free to make any comments lakini nakerwa sana hiyo bold, sorry mkuu, i just cant stand pessimism!
 
Bravooooo! Dr.Slaa.
hapa sasa ndo mambo yanaanza kunoga!!
Hesabu kura yangu leo ukijumlisha na ya kwako tumepata mbili,...,...,...
 
Mbona watu mmefurahia sana uteuzi wa Slaa kuwa mgombea uraisi wakati matokeo ya uchaguzi ni foregone conclusion? Nashindwa kuelewa hapa....
 
karibu dk slaa, lkn nasikia anaziwania sana kura za wakatoliki

Kwisha habari yake, ni ukweli kwamba sabodo amefanya kazi yake vizuri..tamaa na njaa ya padre imedhihirika..Urais hatapata hata akiimba usiku kucha kwasababu hana sifa ya kuwa rais wa nchi ya mchanganyiko kama yetu..anafaa kuongoza kanisani zaidi...wakatoliki suibirini 2015 ...please..

Kizuri ni kwamba jimbo la karatu limerudi kwa CCM bila yeye ...kosa la kiufundi lingine kwa chadema njaa na tamaa mbaya sana...

mimi ninamaswala haya kwa dk slaa
1)endapo atashinda uchaguzi na kuwa rais nini atafanya katka kurudisha mahakama ya kadhi
2) vipi kuhusu swla la oic
3) vipi kuzibadilisha kuwa siku za mapumziko kuwa j3 na j4 badala ya j1 na j2 au kuongeza ijumaa
?

.....he!he!he!ee...hapa kweli malaria yamepanda kwa kichwa aiseee!
 
Kwa kweli kilio cha watanzania kimesikika. Hongera sana Dr. Slaa kwa kuchaguliwa kugombea URais. Ndugu zangu watanzania ni wakati wa kupiga kampenii za nguvu kuiondoa CCM. Mungu ibariki Tanzania, tuondoe foleni za barabarani ambazo inasemekana ndio utajiri wa watanzania.:target:
 
Ili Nisishawishiwe na Wagombea wengine Nitamkabidhi Dr. Slaa Kadi yangu ya Kupiga Kura halafu atanirudishia Baada ya Uchaguzi
 
Mi naamini Chadema pamoja na Dr. Slaa wapo makini na hawajafanya kosa kama watu wengi wanavyofikiria hapa!! kuwa na mgombea Urais ambaye anakubalika hii inachangia sana wananchi kuwa na imani na Chama na kuwachagua wabunge wa chama hicho.....nakumbuka mwaka 1995 ule umaarufu wa Mrema ulikipatia NCCR mageuzi wabunge....lakini toka wakati huo hakuna tena mbunge kutoka chama hicho!! kwa hiyo hoja ya kwamba chaddema itapunguza idadi ya Wabunge siioni mantinki yake kama watu wanafikiria nje ya box!! Go Slaaa Go....
We r not think just for tomorrow meal......................
 
Hii ni habari njema, at least now my VOTE has got someone. Hivi wadau kupiga kura ni lazima ujiandikishe kwenye hilo daftari sijui lanini!!!! au kuwa na kitambulisho tu inatosha!

Sababu sikuona umuhimu wa kujiandikisha kupigia watu kura ambao hawajali kura yangu!!!!!! but now at least i can do!
 
Ni habari njema. Watanzania sasa tuna sababu ya kusema tunaelekea kwenye uchaguzi. Dr. Slaa anamzidi JK kiwango kwa vigezo vingi.
 
Mi naamini Chadema pamoja na Dr. Slaa wapo makini na hawajafanya kosa kama watu wengi wanavyofikiria hapa!! kuwa na mgombea Urais ambaye anakubalika hii inachangia sana wananchi kuwa na imani na Chama na kuwachagua wabunge wa chama hicho.....nakumbuka mwaka 1995 ule umaarufu wa Mrema ulikipatia NCCR mageuzi wabunge....lakini toka wakati huo hakuna tena mbunge kutoka chama hicho!! kwa hiyo hoja ya kwamba chaddema itapunguza idadi ya Wabunge siioni mantinki yake kama watu wanafikiria nje ya box!! Go Slaaa Go....
We r not think just for tomorrow meal......................

Sema kama watu Wachache hapa wanavyofikiria
 
Hatimaye sasa nuru imeanza kuonekana. Pamoja na imani, lakini matendo yanachukua nafasi kubwa zaidi katika ufanisi wa jambo. Hivyo basi ni wakati wa kujiandaa kuianza vita hii ya kuhamasisha waTanzania wenzetu kushiriki kuanzia kupiga kura na kuzilinda. Tunafahamu kuwa waalimu wamerubuniwa kwa miaka mingi kuwa mawakala na shinda kwa mbinu ya ccm. Ni wakati pia wa kuyafanyia kazi haya!
 
Dr Slaa,
Nakupongeza kwa kukubali uteuzi huu sasa. Swala muda kwenye siasa za kugombea ni muhimu sana. Alilipuuza SAS likamgharimu sana 2005. Najua unaweza usipate kura nyingi za kukuwezesha kuwa Rais kwa sababu umechelewa mno kukubali ombi hili la Watanzania wengi kwako. Miezi hii mitatu iliyobaki kabla ya uchaguzi ni kazi ngumu sana kubadili hali ya mambo. Ujue pia kuna ile sheria mbovu iliyopitishwa enzi ya Mkapa ya "simple majority" kumpata Rais wetu.
Ulishavuka ile hadhi ya Ubunge na Urais ndio mahala pako kwa sasa. Kinachonitia moyo ni kuwa UMEOMBWA na WATANZANIA kugombea sio kikundi cha watu fulani kwa maslahi yao. Hauna marafiki wa karibu kwenye siasa, hauna mitandao, haujatuibia, unawajua CCM na fitna zao, vyombo vya dola vinakufahamu vizuri na natumaini havitakuvuruga.
 
vipi kuhusu kwamba yeye ametumwa na wakatoliki kugombea?

..mzee ebu tuliza kidogo malaria yako and ask urself a few questions kabla hujapost. Hao wanachadema waliompendekeza wote ni RC? hawa wanazuoni na wanaharakati mbalimbali waliomshauri agombee ni RCs? who are RCs in this country wakuingia kny vyama na kudictate maamuzi ya vyama ya nani awe mgombea?

Toa hoja nyingine, sio hiyo ya KI-RC bana!
 
Do you the existence of IGNORE LIST? If Yes then do ze Nidiful
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom