Dr.Slaa: Msemaji wa Wakatoliki feki aliwahi kucheza deal na Waziri Mkuu wa sasa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema.

Dr. Slaa amesema kilichofanyika ni uhuni na kuna watu wakubwa wapo nyuma yao. Amesema haamini kama huo ukumbi ni wa Ubalozi kwa sababu hauna hata picha za kanisa wala alama yeyote ya kanisa. Wahuni hao hao wala hawakuanza na sala wala hawakusimamiwa na watumishi wa ubalozi.
 
Huyu Kizee ni mdini
 
Dr Slaa kabakisha Nguvu za kusukuma Mavi tuu hayo maneno kayasema wapi?
 
Kizee mdini sana huyu, akiona Rais dini tofauti na yeye lazima alete chokochoko zake
Umeshindwa kutofautisha ukosoaji wa udhaifu wa muhimili na uhusika wa imani ya mtu mmojammoja?Hapo amemtaja "mroma" feki na Mwigulu mkristo.Sasa Rais muislam amefikaje hapo?Unaweza mijadala ya kutumia akili njema kweli?
 
Kizee mdini sana huyu, akiona Rais dini tofauti na yeye lazima alete chokochoko zake
sasa wewe una tofauti gani na SAMIA anayesema watu wanamuhoji kuhusu mauji kwasababu ya udini wake na ukike wake?
Umefilisika kichwani wewe.unajadili udini karne hii? hivi dini ya kweli au bora kwa mwafrika wa mwanerumango ni ipi haswa?
 
Back
Top Bottom